June 11, 2016

Nuh Mziwanda athibitisha Jike Shupa alimuimbia Shilole kwa kumtumia video queen anayefanana naye kama pacha

Nuh Mziwanda ameelezea jinsi uhusiano wake na Shilole ulivyokuwa kwa dakika 3:50! Kwa video ya wimbo wake Jike Shupa aliomshirikisha Alik... thumbnail 1 summary
Nuh Mziwanda ameelezea jinsi uhusiano wake na Shilole ulivyokuwa kwa dakika 3:50!
Kwa video ya wimbo wake Jike Shupa aliomshirikisha Alikiba, Nuh ameuelezea uhusiano huo ulitawaliwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hamisa Mobeto asema bado kuna watu wanadhani mtu kuwa model ni uhuni

Mwanamitindo Hamisa Mobeto amewataka wazazi kuuwaacha watoto kike/wakiume waingie kwenye fashion na kuachana na dhana ya kwamba kufanya mod... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo Hamisa Mobeto amewataka wazazi kuuwaacha watoto kike/wakiume waingie kwenye fashion na kuachana na dhana ya kwamba kufanya modeling ni uhuni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nuh Mziwanda kuja na collabo na Tekno

Nuh Mziwanda amesema anakaribia kukamilisha collabo yake na msanii wa Nigeria, Tekno. Wimbo wa Jike Shupa ni moja kati ya nyimbo ambazo z... thumbnail 1 summary
Nuh Mziwanda amesema anakaribia kukamilisha collabo yake na msanii wa Nigeria, Tekno.
Wimbo wa Jike Shupa ni moja kati ya nyimbo ambazo zinafanya vizuri kwenye redio kutokana na ujumbe uliokuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WCB yatoa mwongozo wa adhabu wanazotoa kama msanii wao akifanya makosa

Uongozi wa label ya ‘WCB’ umesema umejipanga kikamilifu kudhibiti swala la nidhamu kwa wasanii wake. Akizungumza na waandishi wa habari hivi... thumbnail 1 summary
Uongozi wa label ya ‘WCB’ umesema umejipanga kikamilifu kudhibiti swala la nidhamu kwa wasanii wake.


Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni, mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Babu Tale amesema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli kapata mbadala wa Charles Kitwanga wizara ya mambo ya ndani

June 11 2016 taarifa kutoka Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Dar es Salaam imetoa taarifa kuhusu maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kumteu... thumbnail 1 summary
June 11 2016 taarifa kutoka Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Dar es Salaam imetoa taarifa kuhusu maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kumteua mbunge wa BuchosaDk Charles John Tizebe kuwa waziri wa kilimo na mifugo na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwenyekiti awanunulia wananchi filimbi ili kujihami na matukio ya kihalifu

Baada ya matukio ya kutisha kutokea mara kwa mara katika mtaa wa Utemini kata ya Mkolani Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza, mwenyekiti wa ... thumbnail 1 summary
Baada ya matukio ya kutisha kutokea mara kwa mara katika mtaa wa Utemini kata ya Mkolani Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza, mwenyekiti wa mtaa huo, Jukaeli Kiula, ameamua kuzinunulia filimbi kaya 60 kwa lengo la kujihami na matukio ya kihalifu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHAZ 9: Hii ndio couple iliyovunja rekodi duniani kwa ufupi.

Mtu wangu najua umeshaona couple nyingi duniani zenye kukuvutia na nyingine za kufurahisha, Leo June 11 2016 nimekusogezea picha tisa za ... thumbnail 1 summary
Mtu wangu najua umeshaona couple nyingi duniani zenye kukuvutia na nyingine za kufurahisha, Leo June 11 2016 nimekusogezea picha tisa za couple ya watu wafupi duniani, zikiwaonyesha katika maisha yao ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA VIJANA WA CHADEMA KUMUANDAMA,MKE WA DR SLAA AANIKA HAYA KUHUSU CHADEMA..!!

Ameandika Josephine Mshumbushi mke wa Dr.W.Slaa katika ukurasa wake rasmi wa Facebook thumbnail 1 summary
Ameandika Josephine Mshumbushi mke wa Dr.W.Slaa katika ukurasa wake rasmi wa Facebook

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OBAMA AMPITISHA BI CLINTON KUWANIA URAIS MAREKANI.

Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza kumuunga mkono Hillary Clinton kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic katika uchaguzi mkuu u... thumbnail 1 summary
Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza kumuunga mkono Hillary Clinton kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA14: Msafara wa Mazishi ya Bondia Mkongwe Muhammad Ali

Maelfu wamejipanga barabarani ili kumuaga bondia Maarufu Muhammad Ali wakati msafara ukipita kuelekea mji wa kwao Louisville, Kentucky am... thumbnail 1 summary
Maelfu wamejipanga barabarani ili kumuaga bondia Maarufu Muhammad Ali wakati msafara ukipita kuelekea mji wa kwao Louisville, Kentucky ambapo June 10 2016 alizikwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Young Killer kusaini WCB? Hili ndio jibu lake (Exclusive Video)

Hivi karibuni kulizuka tetesi kuwa huenda Young Killer akawa msanii mwingine atakayeungana na timu ya WCB. Picha aliyoonekana akiwa na ... thumbnail 1 summary
Hivi karibuni kulizuka tetesi kuwa huenda Young Killer akawa msanii mwingine atakayeungana na timu ya WCB.
Picha aliyoonekana akiwa na Diamond kwenye studio za Wasafi ndiyo iliyosababisha tetesi hizo. Tumemuuliza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama ulikosa uzinduzi wa Euro 2016 na perfomance ya David Guetta

Michuano ya UEFA Euro 2016 ilianza rasmi kufanyika Ufaransa usiku wa June 10 2016 kwa kupigwa mchezo kati ya Ufaransa dhidi ya Romania, k... thumbnail 1 summary
Michuano ya UEFA Euro 2016 ilianza rasmi kufanyika Ufaransa usiku wa June 10 2016 kwa kupigwa mchezo kati ya Ufaransa dhidi ya Romania, kabla ya kuanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jay Z amteua Romeo Santos kuwa CEO wa Roc Nation Latin

Msanii maarufu na mshindi wa tuzo kibao, Romeo Santos ameteuliwa kuwa CEO wa Roc Nation Latin. “Romeo has had tremendous success as a com... thumbnail 1 summary
Msanii maarufu na mshindi wa tuzo kibao, Romeo Santos ameteuliwa kuwa CEO wa Roc Nation Latin.
“Romeo has had tremendous success as a composer and producer and can spot true talent,” alisema Jay Z.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Wolper ndiye aliyeomba twende wote kwa wazazi wangu – Harmonize

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amefunguka na kueleza wazo la kwenda kumtambulisha mpenzi wake Jacqueline Wolper kwa wazazi wake lil... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amefunguka na kueleza wazo la kwenda kumtambulisha mpenzi wake Jacqueline Wolper kwa wazazi wake lilikujaje.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sijawahi kuwa na menejimenti tangu nimeanza muziki – Malaika

Msanii wa Bongo Fleva, Malaika amesema kuwa tangu ameanza muziki hajawahi kuwa na menejimenti ila kuna watu wamejitokeza kutoka Norway wa... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo Fleva, Malaika amesema kuwa tangu ameanza muziki hajawahi kuwa na menejimenti ila kuna watu wamejitokeza kutoka Norway wapo tayari kufanya hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huu ni ushauri ambao Shaa alipewa na Lady Jaydee na hatousahau maishani mwake

Shaa alipewa ushauri muhimu na Lady Jaydee ambao hadi leo hatousahau na umemsaidia kwenye maisha yake ya muziki. thumbnail 1 summary
Shaa alipewa ushauri muhimu na Lady Jaydee ambao hadi leo hatousahau na umemsaidia kwenye maisha yake ya muziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mel Gibson kuja na muendelezo wa filamu ya The Passion of the Christ

Muongozaji mahiri wa filamu nchini Marekani, Mel Gibson amepanga kuja tena na muendelezo wa filamu yake ya mwaka 2004, The Passion of the... thumbnail 1 summary
Muongozaji mahiri wa filamu nchini Marekani, Mel Gibson amepanga kuja tena na muendelezo wa filamu yake ya mwaka 2004, The Passion of the Christ.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Messi katumia dakika 29 kufunga hat-trick dhidi ya Panama Copa America 2016

Bado michuano maalum ya Copa America 2016 ambayo inatumika kama kusherehekea miaka 100 ya mashindano hayo inaendelea, kama ulikuwa hujui ... thumbnail 1 summary
Bado michuano maalum ya Copa America 2016 ambayo inatumika kama kusherehekea miaka 100 ya mashindano hayo inaendelea, kama ulikuwa hujui alfajiri ya June 11Argentina ilicheza dhidi ya Panama katika mchezo wake wa pili wa Kundi D.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waingereza wajipanga kusherehekea birthday ya miaka 90 ya Malkia Elizabeth

Sherehe kubwa ya siku tatu mfululizo ya birthday ya Malkia Elizabeth II itaanza Jumamosi hii nchini Uingereza. Tarehe rasmi ya kuzaliwa... thumbnail 1 summary
Sherehe kubwa ya siku tatu mfululizo ya birthday ya Malkia Elizabeth II itaanza Jumamosi hii nchini Uingereza.
Tarehe rasmi ya kuzaliwa kwa malkia huyo ni 21 April, 1926, ambapo alifikisha miaka 90.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ni sababu ukiwa tajiri haimaanishi utakuwa na furaha muda wote

Pengine ule msemo kuwa pesa haiwezi kununua furaha una ukweli zaidi ya hata unavyofikiri. Hii ni kwasababu kuna tafiti nyingi zinazohitim... thumbnail 1 summary
Pengine ule msemo kuwa pesa haiwezi kununua furaha una ukweli zaidi ya hata unavyofikiri.
Hii ni kwasababu kuna tafiti nyingi zinazohitimisha kuwa utajiri na furaha si vitu vinavyoendana kama inavyotegemewa. Sababu moja kwa mfano, ni kwamba watu matajiri huonekana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Ufaransa wamefanikiwa kuanza kwa ushindi Euro 2016 katika ardhi yao

Mtu wangu wa nguvu najua ulikuwa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanasubiria michuano ya Euro 2016 kufanyika, hiyo inatokana na mvuto wa ... thumbnail 1 summary
Mtu wangu wa nguvu najua ulikuwa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanasubiria michuano ya Euro 2016 kufanyika, hiyo inatokana na mvuto wa mashindano hayo kukusanya nyota mbalimbali kupitia timu zao za taifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 11, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 11 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na har... thumbnail 1 summary
June 11 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rama Dee adai wasanii hawana haja ya kwenda kushoot video nje ya Tanzania

Msanii wa muziki wa R&B wa Tanzania, Rama Dee anashangaa jinsi wasanii wa muziki wa Tanzania wanavyokwenda nje kushoot video za muziki ... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa R&B wa Tanzania, Rama Dee anashangaa jinsi wasanii wa muziki wa Tanzania wanavyokwenda nje kushoot video za muziki wakati ndani wana kila kitu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Punga maarufu Dar lapania kumpokonya Jux kwa Vanessa!

Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichana mwenzake, bali kutoka kwa sho... thumbnail 1 summary
Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichana mwenzake, bali kutoka kwa shoga maarufu Instagram, James Delicious.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Diamond baada ya kusikia ada za namba binafsi za magari TZ zimepanda

Wakati Bajeti kuu ya serikali inasomwa Dodoma bungeni juzi ndio ilijulikana kwamba ada ya namba binafsi za magari nchini Tanzania imepand... thumbnail 1 summary
Wakati Bajeti kuu ya serikali inasomwa Dodoma bungeni juzi ndio ilijulikana kwamba ada ya namba binafsi za magari nchini Tanzania imepandishwa, ni kwa wale ambao wamekua wakiandika majina badala ya namba za mfumo wa kawaida.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: