April 13, 2016

Obama: Tulikosea Sana Kuivamia Libya na Kumuondoa Muammar Gaddafi

Rais wa Marekani Barack Obama amekiri kwa mara ya kwanza kwamba serikali yake ilifeli katika kutatua mzozo wa Libya. thumbnail 1 summary
Rais wa Marekani Barack Obama amekiri kwa mara ya kwanza kwamba serikali yake ilifeli katika kutatua mzozo wa Libya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ommy Dimpoz Atoa Msemo Wenye Utata Mtandaoni, Upo Hapa

Mkali wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hii. “Tafuta Hela Ndo Utaju... thumbnail 1 summary
Mkali wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hii.
“Tafuta Hela Ndo Utajua kama wewe ni Handsome au

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba "Nimemmiss Dada yake Diamond 'Queen Darleen' "

Msanii wa bongo fleva Alikiba amefunguka na kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond P... thumbnail 1 summary
Msanii wa bongo fleva Alikiba amefunguka na kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond Platnumz Queen Darleen.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sijawahi Kumuona TID Anatumia Madawa ya Kulevya - Billnas

Rapa Billnas kutokea Lebo ya Radar Entertainment inayomilikiwa na msanii wa Bongo Flava TID, amesema kuwa hajawahi kumuona TID akitumia Mad... thumbnail 1 summary
Rapa Billnas kutokea Lebo ya Radar Entertainment inayomilikiwa na msanii wa Bongo Flava TID, amesema kuwa hajawahi kumuona TID akitumia Madawa ya Kulevya kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tororka uje: Juma Duni Haji Arudisha Kadi ya CHADEMA na Kujiunga CUF

Mwanasiasa machachari wa upinzani kutoka Zanzibar, Juma Duni Haji ambaye alikuwa mgombea mwenza wa aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya ... thumbnail 1 summary
Mwanasiasa machachari wa upinzani kutoka Zanzibar, Juma Duni Haji ambaye alikuwa mgombea mwenza wa aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Lowassa katika uchaguzi wa Oktoba 25 mwaka jana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamuziki Ndanda Kosovo Kuzikwa Leo.

Ndanda Kosovo kuzikwa Leo Leo ni Siku ya Maziko ya Mwanamuziki maarufu, Ndanda Kosovo, mwenye asili ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo thumbnail 1 summary
Ndanda Kosovo kuzikwa Leo
Leo ni Siku ya Maziko ya Mwanamuziki maarufu, Ndanda Kosovo, mwenye asili ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 21: Utajiri wa Mwanasiasa mtata wa Marekani Donald Trump

Najua kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican am... thumbnail 1 summary
Najua kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ambao wamechukua headline sana na anaonekana kama kuelekea kufanikiwa hivi,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Makonda katoa siku sita, haya mambo matatu yashughulikiwe

April 12 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa maagizo kwenye mambo matatu wakiwemo ombaomba wa mabarabarani, majengo ... thumbnail 1 summary
April 12 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa maagizo kwenye mambo matatu wakiwemo ombaomba wa mabarabarani, majengo makubwa yaliyojengwa kinyume na taratibu pasipo kuwa na parking na wamiliki wa bar

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

T.B Joshua kaona stori ya kutajwa kwenye zile nyaraka za Panama, katoa tamko lake

Miongoni mwa habari kubwa za dunia hivi karibuni ni Nyaraka za Panama ‘Panama Papers‘ zilizofichua kashfa ya ukwepaji kodi na utakatishaj... thumbnail 1 summary
Miongoni mwa habari kubwa za dunia hivi karibuni ni Nyaraka za Panama ‘Panama Papers‘ zilizofichua kashfa ya ukwepaji kodi na utakatishaji fedha ulikofanywa na viongozi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hat-trick ya Cristiano Ronaldo imeipeleka Real Madrid nusu fainali.

Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa April 12 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya   Wol... thumbnail 1 summary

Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa April 12 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya  Wolfsburgs kutoka Ujerumani ilisafiri kuelekea Hispania kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji wao  Real Madrid.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: