May 29, 2016

Mtanzania Mbwana Samatta, msimu ujao 2016/2017 utamuona Europa League

Wakati timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya bila ya nahodha wake Mbwana Samat... thumbnail 1 summary
Wakati timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya bila ya nahodha wake Mbwana Samatta na kulazimishwa sare ya goli 1-1,Samatta allikuwa uwanjani nae akipambana kuhakikisha klabu yake ya KRC Genkinashiriki Europa League

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Good News kwa muziki wa Afrika Chris Brown kampa dili Wizkid

Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afr... thumbnail 1 summary
Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afrika, baada ya msanii kutoka Marekani Chris Brown kumpost msanii Wizkid kutoka Nigeria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Young Killer aongea hiki kuhusu kolabo yake na Mr Blue

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amesema sio kitu rahisi kufanya kazi na Mr Blue ambaye alikuwa akisikiliza kazi zake waka... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amesema sio kitu rahisi kufanya kazi na Mr Blue ambaye alikuwa akisikiliza kazi zake wakati yupo shuleni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Real Madrid Beat Atletico Madrid On Penalties to win the Champions League

Real Madrid have won the Champions League for the 11th time, beating Atlético Madrid 5-3 on penalties, with Cristiano Ronaldo hitting the... thumbnail 1 summary
Real Madrid have won the Champions League for the 11th time, beating Atlético Madrid 5-3 on penalties, with Cristiano Ronaldo hitting the winning spot-kick after a 1-1 draw.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mambo matatu yanayoipa nguvu lebo ya Wasafi kufika mbali

Hutakiwi kushangaa siku ukisikia lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kuwa ipo juu zaidi ya Mavin Records inayomilikiwa na Don Jazzy, hiyo ... thumbnail 1 summary
Hutakiwi kushangaa siku ukisikia lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kuwa ipo juu zaidi ya Mavin Records inayomilikiwa na Don Jazzy, hiyo ni kutokada na mikakati pamoja na jitihada zinazozidi kuwekwa na uongozi wa lebo hiyo.
Mpaka sasa lebo ya WCB inawamiliki wasanii wanne akiwemo Diamond, Harmonize, Raymond na Q Boy Msafi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Amber Rose apanga kumualika Wiz Khalifa kwenye kipindi chake cha TV

Mwanamitindo maarufu asiyeishiwa vituko, Amber Rose amepanga kumualika Wiz Khalifa kwenye show yake ya ‘Amber Talk Show’. Siku chache zil... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo maarufu asiyeishiwa vituko, Amber Rose amepanga kumualika Wiz Khalifa kwenye show yake ya ‘Amber Talk Show’.
Siku chache zilizopita Amber Rose alidai kuwa atakuwa na furaha kubwa kumkaribisha mume wake wa zamani katika kipindi hicho kwa ajili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: