April 26, 2016

VIDEO: Snura alivyoionyesha kwa mara ya kwanza ‘Chura’ Maisha Basement night club

Usiku wa April 24 2016 Maisha Basement mrembo ambaye alianza kutamba katikaBongomovie na baadae kuingia katika muziki wa Bongofleva Snura... thumbnail 1 summary
Usiku wa April 24 2016 Maisha Basement mrembo ambaye alianza kutamba katikaBongomovie na baadae kuingia katika muziki wa Bongofleva Snura Mushi alifanya uzinduzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Imetangazwa noti yenye muonekano mzuri kuliko zote duniani kwa mwaka 2016

Mkutano wa Mwaka wa ‘International Bank Note Society’s ‘IBNS’ umetambua ubunifu wa kutengeneza noti za fedha zenye muonekano mzuri na usa... thumbnail 1 summary
Mkutano wa Mwaka wa ‘International Bank Note Society’s ‘IBNS’ umetambua ubunifu wa kutengeneza noti za fedha zenye muonekano mzuri na usalama zaidi. Katika mkutano wao wa mwaka IBNS wameitangaza noti ya Dollar

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nimepokea Taarifa ya Msiba wa aliyekuwa First lady wa kenya leo April 26 2016

First lady wa zamani wa Kenya mke wa Rais Mwai Kibaki, Lucy Kibaki amefariki Dunia ambapo taarifa zinasema amekuwa akiugua kwa muda na a... thumbnail 1 summary
First lady wa zamani wa Kenya mke wa Rais Mwai Kibaki, Lucy Kibaki amefariki Dunia ambapo taarifa zinasema amekuwa akiugua kwa muda na alikuwa akitibiwa Kenya kwa takribani mwezi mmoja na baadaye alipelekwa Uingereza kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sabby Angel Chupuchupu Atoe Meno

Sabrina Omary ‘Sabby Angel’Stori: Imelda Mtema MSANII anayepanda kwa kasi kwenye tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ h... thumbnail 1 summary
Sabrina Omary ‘Sabby Angel’Stori: Imelda Mtema
MSANII anayepanda kwa kasi kwenye tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ hivi karibuni alikumbana na kisanga kikali baada ya kudondoka kwenye ‘ tiles’ na kusababisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Usambazaji wa Picha za UCHI Ndicho Kilichomfanya SIWEMA wa Nay wa Mitego Afungwe Miaka Miwili Gerezani

Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehuk... thumbnail 1 summary
Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa kwenda jela miaka miwili jijini Mwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Askofu Dr Malasusa wa (KKK) Akamatwa Ugoni

MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Masharik... thumbnail 1 summary
MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi Hapa Aina Nne za Wanawake Michepuko.....

1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. thumbnail 1 summary
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uhuru Unfollows Everyone on Twitter Except These 11...Magufuli Included

President Uhuru Kenyatta has unfollowed most of the people he had been following on Twitter leaving only 11, mainly famous Heads of State. thumbnail 1 summary
President Uhuru Kenyatta has unfollowed most of the people he had been following on Twitter leaving only 11, mainly famous Heads of State.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vitu 6 Muhimu Kuhusu Collabo ya DIAMOND Platnumz na Marehemu Papa Wemba

Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 headlines za taarifa za kifo cha mwimbaji mkongwe kutoka Congo DRC Papa Wemba alifariki baada ya kuangu... thumbnail 1 summary
Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 headlines za taarifa za kifo cha mwimbaji mkongwe kutoka Congo DRC Papa Wemba alifariki baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Abidjan Ivory Coast. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Watu Watatu Wakamatwa na Madawa ya Kulevya Aina ya Mirungi Mkoani Kilimanjaro

Watu watatu akiwemo raia wa Kenya wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Mir... thumbnail 1 summary
Watu watatu akiwemo raia wa Kenya wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Mirungi na Bangi kilo 54 na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Belle 9 Kuja na remix’ ya Burger Movie Selfie

STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle 9’ hivi karibuni anatarajia kuachia ‘remix’ ya wimbo wake unaotamba kwa sasa kwenye gemu uitw... thumbnail 1 summary
STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle 9’ hivi karibuni anatarajia kuachia ‘remix’ ya wimbo wake unaotamba kwa sasa kwenye gemu uitwao Burger Movie Selfie huku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VideoMPYA: Mr II Sugu katimiza ahadi… video mpya aliyotuahidi ndio hii imetoka

Mbunge wa Mbeya mjini ambaye ni msanii wa kitambo wa hiphop Tanzania Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) aliahidi wiki kadhaa zilizopita ... thumbnail 1 summary


Mbunge wa Mbeya mjini ambaye ni msanii wa kitambo wa hiphop Tanzania Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) aliahidi wiki kadhaa zilizopita kwamba ataachia video

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

New Video: Seyi Shay Ft Olamide – Pack and Go

Tazama hapa video mpya ya msanii mkali kutoka Nigeria Seyi Shay ngoma inaitwa “Pack and Go” amemshirikisha Olamide. thumbnail 1 summary
Tazama hapa video mpya ya msanii mkali kutoka Nigeria Seyi Shay ngoma inaitwa “Pack and Go” amemshirikisha Olamide.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Afunguka Kuhusu ‘Reality Show’ Yake, Itaonekana Kwa Njia Hizi Hapa

Inawezekana wasanii wakubwa kutoka nchini Nigeria, P.Square ambao sasa hivi wako nchini South Africa wakishoot video ya ngoma mpya ya Diamo... thumbnail 1 summary
Inawezekana wasanii wakubwa kutoka nchini Nigeria, P.Square ambao sasa hivi wako nchini South Africa wakishoot video ya ngoma mpya ya Diamond wakaonekana kwenye ‘reality show’ ya huyo ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vet students pose nu* de in hilarious calendar shoot to raise money for animal charities

Veterinary students of Glasgow University stri!ped to their birthday suits for a calendar aimed at raising money for animal charities. Th... thumbnail 1 summary
Veterinary students of Glasgow University stri!ped to their birthday suits for a calendar aimed at raising money for animal charities. They preserved their modesty with a number of farm props including sheep, a tractor and milk churn. Jess

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Maneno Matamu na Vicheko, Unaanza kumtongoza Mara Anakupa Hizi, Ona Hapa

"Oooh, mie nina rafiki wa kiume, moyo wangu umeisha jaa tayari, maana ninae nimpendae.. labda tuwe marafiki tu, umechelewa!". P... thumbnail 1 summary
"Oooh, mie nina rafiki wa kiume, moyo wangu umeisha jaa tayari, maana ninae nimpendae.. labda tuwe marafiki tu, umechelewa!".
Paa.. kidume moyo unakudunda, akili inasizi, uwezo wa kufikiria unakuwa hafifu' huna hili wala lile, na kama ndo hivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Beyonce makes reference to tragic miscarriage on new album Lemonade

Beyonce seems to make reference to her miscarriage on her new album,Lemonade..Beyonce and Jay Z have previously opened up about the child... thumbnail 1 summary
Beyonce seems to make reference to her miscarriage on her new album,Lemonade..Beyonce and Jay Z have previously opened up about the child they lost before Blue Ivy.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Photos/Video:Home Return!Jacqueline Wolper Stuns In New Photos

Bongo Movies artist, Jacqueline wolper shows off her different poses as she has decided to be back at Village for the short rest!More pho... thumbnail 1 summary
Bongo Movies artist, Jacqueline wolper shows off her different poses as she has decided to be back at Village for the short rest!More photos are:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huddah Monroe is sick and tired of people cyber-bullying her, rants on Instagram

Huddah Monroe is fed up with people slut shaming her over and over again on Social Media. The BBA star has thumbnail 1 summary
Huddah Monroe is fed up with people slut shaming her over and over again on Social Media. The BBA star has

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Photos: Kylie Jenner & big brother Rob Kardashian step out together

The step-siblings who are each dating former couple Tyga and Blac Chyna, were spotted grabbing coconuts with straws in them at a fruit tr... thumbnail 1 summary
The step-siblings who are each dating former couple Tyga and Blac Chyna, were spotted grabbing coconuts with straws in them at a fruit truck after visiting Caitlyn Jenner in Malibu on

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Photos of The Day.. Hamisa Mobetto Looking Beautifu and Lovely as Usual

Bongo Fashion Star, Hamissa Mobetto shared her photos with loving make up on her face, Few Months ago, She was in Conflict with Elizabet... thumbnail 1 summary
Bongo Fashion Star, Hamissa Mobetto shared her photos with loving make up on her face, Few Months ago, She was in Conflict with Elizabeth Michael 'lulu' because of her baby daddy,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Paul Okoye wa kundi la P-Square Anaswa South Africa Akiwa Amevaa Kofia ya WCB Wasafi ya Diamond..

Ukimuona Paul Okoye wa kundi la P-Square akiwa amevaa kofia ya WCB na yupo Johannesburg, Afrika Kusini ambako Diamond yupo huko tangu mwanz... thumbnail 1 summary
Ukimuona Paul Okoye wa kundi la P-Square akiwa amevaa kofia ya WCB na yupo Johannesburg, Afrika Kusini ambako Diamond yupo huko tangu mwanzoni mwa wiki hii kuzindua video ya Colors of Africa, ujue mambo yameiva.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shida Zinazowapata Wanawake Wenye MAKALIO Makubwa Kwenye Mapenzi Hizi Hapa

Mara nyingi wanaume wengi hupenda ama kuvutiwa na wanawake wenye makalio makubwa. kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sa... thumbnail 1 summary
Mara nyingi wanaume wengi hupenda ama kuvutiwa na wanawake wenye makalio makubwa. kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani, Lakini mara nyingi hawadumu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS JOHN MAGUFULI LEO AMEFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA 26 YA TANZANIA BARA.

Rais John Magufuli leo amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi... thumbnail 1 summary
Rais John Magufuli leo amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara.
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa Makomredi Hawa Museveni Asingeitosa Tanzania Hata Siku Moja Kwenye Bomba la Mafuta

Nimekuwa nikilifuatilia kwa umakini mkubwa sana hili suala la wapi Bomba la Mafuta lipite huku Ndugu zetu Wakenya WAKIJITUTUMUA kama kawaid... thumbnail 1 summary
Nimekuwa nikilifuatilia kwa umakini mkubwa sana hili suala la wapi Bomba la Mafuta lipite huku Ndugu zetu Wakenya WAKIJITUTUMUA kama kawaida yao kutaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: