August 20, 2015

Utafiti Mpya: Lowassa Kuibuka Mshindi kwa asilimia 51.2%, Magufuli kuambulia 47.9%

Utafiti wa awali uliotolewa na shirika la Kimataifa umeonyesha kwamba Lowassa atashinda kwa asilimia 52.1% Dhidi ya Magufuli 47.9..... (s... thumbnail 1 summary
Utafiti wa awali uliotolewa na shirika la Kimataifa umeonyesha kwamba Lowassa atashinda kwa asilimia 52.1% Dhidi ya Magufuli 47.9..... (see attached document).... Utafiti huu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shilole: Nikiiba mume wa mtu nisilaumiwe

Mwanamuziki wa miondoko ya mduara ambaye kwa hivi sasa anatumikia kifungo cha mwaka mmoja kilichotolewa na Baraza la Sanaa Basata ya ku... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki wa miondoko ya mduara ambaye kwa hivi sasa anatumikia kifungo cha mwaka mmoja kilichotolewa na Baraza la Sanaa Basata ya kutojihusisha na shughuli za kisanaa mpaka mwaka mmoja, kitu ambacho kimemuumiza sana na kudai kuwa akiiba mume wa mtu atakuwa anakosea pia!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kasoro DART: Milango ya Mabasi ya Mwendokasi milango yake iko kushoto wakati vituo viko kulia!

Hii ndio Tanzania bwana. Mabasi yaendayo kasi milango yake iko kushoto na vituo viko kulia. Sasa sijui wamefanya thumbnail 1 summary
Hii ndio Tanzania bwana. Mabasi yaendayo kasi milango yake iko kushoto na vituo viko kulia. Sasa sijui wamefanya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali Yakataa Ombi la UKAWA Kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni Za Uchaguzi Mkuu

SERIKALI imekanusha taarifa zilizojitokeza kwenye Vyombo vya habari yakiwemo magazeti na mitandao ya kijamii kwamba Chama Cha Demokrasia ... thumbnail 1 summary
SERIKALI imekanusha taarifa zilizojitokeza kwenye Vyombo vya habari yakiwemo magazeti na mitandao ya kijamii kwamba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitafanya mkutano hadhara Uwanja wa Taifa Dar es Salaam tarehe 22 Agosti, 2015.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ukame wa wana CCM Maguli kuhamia CHADEMA, Je Lowassa Amefilisika au Ameuziwa Mbuzi Kwenye Gunia?

Wakati Lowasa anahamia CHADEMA, alienda kwa tambo nyingi huku akiwaahidi viongozi wa CHADEMA kuwa kuna mafuriko ya wana CCM kuhama chama ... thumbnail 1 summary
Wakati Lowasa anahamia CHADEMA, alienda kwa tambo nyingi huku akiwaahidi viongozi wa CHADEMA kuwa kuna mafuriko ya wana CCM kuhama chama chao na kujiunga na CHADEMA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jokate Afunguka Baada ya Kukataliwa Ukweni: Wazazi Wasiingilie Mapenzi ya Watoto

SIKU chache baada ya gazeti dada ya hili la Ijumaa Wikienda kuripoti juu ya wazazi wa Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kumkataa Ali Kiba kam... thumbnail 1 summary
SIKU chache baada ya gazeti dada ya hili la Ijumaa Wikienda kuripoti juu ya wazazi wa Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kumkataa Ali Kiba kama mchumba wake, binti huyo ameibuka na kuwataka wazazi kote nchini kuacha kuwaingilia watoto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lulu Amchokonoa Zari...Ajibebisha Kwa Diamond Platnumz

UCHOKOZI! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kudaiwa ‘kujibebi... thumbnail 1 summary
UCHOKOZI! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kudaiwa ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kumchokonoa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rose Ndauka: Nipo Tayari Kuolewa na Yeyote Japo Awe ni Mume Bora Alie toka kwa Mungu

ROSE Donatus Anjelus Ndauka ‘mtata’ amesema kama mwanamke aliyekamilika na mwenye kuhitaji heshima katika jamii, yupo tayari kuolewa na k... thumbnail 1 summary
ROSE Donatus Anjelus Ndauka ‘mtata’ amesema kama mwanamke aliyekamilika na mwenye kuhitaji heshima katika jamii, yupo tayari kuolewa na kuishi kama mama na mwanaume yeyote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA MKASA NZIMA BAADA YA KANISA KUGOMA KUMBATIZA MTOTO AUNTY EZEKIEL

M ASHARTI! Kanisa Katoliki limemzuia staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel kumbatiza mwanaye kutokana na kutokidhi matakwa ya kanisa. ... thumbnail 1 summary
aunt na iyobo

MASHARTI! Kanisa Katoliki limemzuia staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel kumbatiza mwanaye kutokana na kutokidhi matakwa ya kanisa.
Tukio hilo limetokea hivi karibuni mara baada ya mwigizaji huyo ambaye imani yake ni ya Kiislamu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO WAZIRI ALIVYOZUA TIMBWILI WAKATI KURA ZA MAONI ZIKITANGAZWA

Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani na maofisa polisi. KUFUATIA tukio la Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk.... thumbnail 1 summary
Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani na maofisa polisi.
KUFUATIA tukio la Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani juzikati kugeuka ‘bondia’ kwa ‘kumwanzishia’ timbwili msimamizi wa uchaguzi wa marudio wa kura za maoni ya ubunge kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Busega, 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: