September 15, 2014

AIBU YA MWAKA, MADENTI WA CHUO WANASWA WAKIKATA MAUNO NUSU UTUPU KATIKA BETHIDEI YA RAFIKI YAO

Katika mojawapo ya party za vyuo huko kenya mademu hawa wamenaswa wakiwa wanacheza na ngupo ambazo zinashawishi sana kwa jinsia ya tofaut... thumbnail 1 summary

Katika mojawapo ya party za vyuo huko kenya mademu hawa wamenaswa wakiwa wanacheza na ngupo ambazo zinashawishi sana kwa jinsia ya tofauti, tazama picha hizo wakiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHUCHU: HAPA RAY KAFIKA!, SOMA HAPA

Mahaba mahabani!  Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa staa mwenzake ambaye ni mwandani wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ ame... thumbnail 1 summary

Mahaba mahabani! Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa staa mwenzake ambaye ni mwandani wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefika kwenye penzi lake ndiyo maana ametulia kwani amepata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KILICHOMNG’OA STEVE NYERERE CHAJULIKANA, ISOME HAPA

HABARI  ya Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu wadhifa wake siyo mpya lakini Ijumaa Wikie... thumbnail 1 summary

HABARI ya Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu wadhifa wake siyo mpya lakini Ijumaa Wikienda linakudadavulia sababu zilizochochea bosi huyo abwage manyanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALIYEZAA NA RIYAMA ANASWA! HUYU HAPA

Hakuna siri ya wawili duniani! Baada ya staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally kumfichaficha mwanaume aliyezaa naye kwa muda mrefu, hatimay... thumbnail 1 summary

Hakuna siri ya wawili duniani! Baada ya staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally kumfichaficha mwanaume aliyezaa naye kwa muda mrefu, hatimaye jamaa huyo amenaswa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA UENYEKITI CHADEMA

Freeman Mbowe akiwasalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema. Freeman Mbowe ameshinda tena nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasi... thumbnail 1 summary

Freeman Mbowe akiwasalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema.


Freeman Mbowe ameshinda tena nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa baada ya kupata jumla ya kura 789 huku mpinzani wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHAZ BABA HUENDA AKAOZEA JELA... ATAKA KUMUUWA MKEWE,AMPIGA NA KITU KIZITO KICHWANI,ASHONWA NYUZI 20

PREZIDAA  wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ anadaiwa nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Mar... thumbnail 1 summary

PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ anadaiwa nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga  na kitu kizito kichwani mpaka kushonwa nyuzi ishirini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNT EZEKIEL ANASWA UWANJA WA NDEGE AKIWA NA MUME WA MTU...PENZI LAO SASA NI KAMA NJIWA PORI

Mahaba niue!   Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘M... thumbnail 1 summary


Mahaba niue!
 Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JEURI YA PESA MARTIN KADINDA ANUNUA SAA YENYE THAMANI YA TSH. MILION 15! ichek hapa

Hii ndio habari ya mujini, haya kama ulikuwa hujui basi chukua hii, designer mkubwa wa nguo Tanzania ameamua kufunguka kupitia mtandao... thumbnail 1 summary

Hii ndio habari ya mujini, haya kama ulikuwa hujui basi chukua hii, designer mkubwa wa nguo Tanzania ameamua kufunguka kupitia mtandao wako wa jamii wa makubwa haya blog yakuwa yeye gari kwake sio ki2, kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUTANA NA MTU ALIYE WAHI KWENDA MBINGUNI MARA 4,KAKUTANA NA "ELIYA,ABELI NA MUSA"PIA KACHORA RAMANI YA MBINGUNI

Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 65, anaetokea south Afrika kwa zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuay... thumbnail 1 summary

Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 65, anaetokea south Afrika kwa zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIO KUFURU BONGO GARI LA SHILINGI BILIONI MOJA LAKANYAGA ARDHI YA BONGO...licheki hapa

HII sasa ni kufuru!” Hivi ndivyo utakavyoweza kusema kwa Davies Mosha ambaye ni makamu mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, ambaye ... thumbnail 1 summary

HII sasa ni kufuru!” Hivi ndivyo utakavyoweza kusema kwa Davies Mosha ambaye ni makamu mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, ambaye nafasi yake kwa sasa klabuni hapo inashikiliwa na Clement Sanga. Kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUTANA NA PICHA ZA MTOTO WA RAISI KUTOKA KENYA NGINA KENYATTA HUYU HAPA.

Mtoto wa Raisi kutoka Kenya anayejulikana kwa jina la Ngina Kenyatta akiwa ni mtoto wa Raisi kutoka Kenya Uhuru Kenyatta,kutokana na thumbnail 1 summary

Mtoto wa Raisi kutoka Kenya anayejulikana kwa jina la Ngina Kenyatta akiwa ni mtoto wa Raisi kutoka Kenya Uhuru Kenyatta,kutokana na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUHUSU UGONJWA WA KASWENDE (Syphilis)

Ugonjwa huu nao husababishwa na bacteria Treponema Pallidum Dalili zake hazionekani kwa urahisi. Huenda ukaanza kwa kijidonda au k... thumbnail 1 summary

Ugonjwa huu nao husababishwa na bacteria Treponema Pallidum
Dalili zake hazionekani kwa urahisi. Huenda ukaanza kwa kijidonda au kipele kwenye uke au uume au sehemu ya kupitishia haja kubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU ZA WATOTO WADOGO KULIA NA JINSI YA KUWABEMBELEZA

Kama mzazi mpya, wakati mwingine inakuwa vigumu kutambua mtoto wako anahitaji nini anapolia. Mzazi anaweza kuwa na maswali kadhaa k... thumbnail 1 summary

Kama mzazi mpya, wakati mwingine inakuwa vigumu kutambua mtoto wako anahitaji nini anapolia. Mzazi anaweza kuwa na maswali kadhaa kichwani mwake, je, mtoto ana njaa, anasikia baridi, ana kiu, anaumwa ama amechoka? Katika siku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA PICHAYANGA WAKIITANDIKA A AZAM GOLI 3

Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka  beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika le... thumbnail 1 summary

Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka  beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.A Yanya imeshinda 3-0.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIGI KUU ENGLAND : MAN UTD YAICHAPA QPR 4

Manchester United 4-0 QPR:  +26 Angel di Maria strikes a free-kick from 35 yards which bends over everyone ... thumbnail 1 summary

Manchester United 4-0 QPR: 

Angel di Maria strikes a free-kick from 35 yards which bends over everyone and sneaks in past Rob Green at the far post for his first Manchester United goal
Angel di Maria strikes a free-kick from 35 yards which bends over everyone and sneaks in past Rob Green at the far post for his first Manchester

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMEONA GARI ANAYOMILIKI BABA YAKE NA MSANII DAVIDO KUTOKA NIGERIA LIKO HAPA.

Msanii Davido kutoka Nigeria ameonyesha gari anayomiliki baba yake mzazi mtandao wa kijamii wa Instagma na kuandika maneno haya  thumbnail 1 summary


Msanii Davido kutoka Nigeria ameonyesha gari anayomiliki baba yake mzazi mtandao wa kijamii wa Instagma na kuandika maneno haya 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: