December 20, 2016

Kuna watu wananikwaza, tusiwe tunaongea tu kuna wakati midomo inaumba – Mkubwa Fela

Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe ambaye pia ni diwani wa kata thumbnail 1 summary


Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe ambaye pia ni diwani wa kata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Duke Tachez aachia 2016 EP, isikilize yote hapa (Audio)

Producer mahiri nchini kutoka MLAB, Duke Tachez, ameachia EP mpya aliyowashirikisha rappers mbalimbali. thumbnail 1 summary


Producer mahiri nchini kutoka MLAB, Duke Tachez, ameachia EP mpya aliyowashirikisha rappers mbalimbali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwana FA adai bado anasita kuachia album (Video)

Mwana FA amedai kuwa hadi pale patakapotokea uwekezaji wa kueleweka kwenye biashara ya usambazaji wa album nchini, ndipo atakapofikiria kut... thumbnail 1 summary
Mwana FA amedai kuwa hadi pale patakapotokea uwekezaji wa kueleweka kwenye biashara ya usambazaji wa album nchini, ndipo atakapofikiria kutoa ya kwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wachezaji wa Manchester United watoa zawadi kwa mashabiki wao

Kocha wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amesema aliwaambia wachezaji wake wote watoe jezi zao kwa mashabiki wa timu hiyo baada... thumbnail 1 summary
Kocha wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amesema aliwaambia wachezaji wake wote watoe jezi zao kwa mashabiki wa timu hiyo baada ya mechi dhidi ya West Brom, mchezo ulio pigwa katika dimba la The Hawthorns, juzi jumamosi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Joh Makini afunguka kuhusiana na Lord Eyez kusainishwa na Barakah The Prince (Video)

Hatimaye Joh Makini amezungumza kuhusiana na taarifa za Lord Eyez kusainishwa kwenye label ambayo Barakah The Prince ameianzisha. thumbnail 1 summary
Hatimaye Joh Makini amezungumza kuhusiana na taarifa za Lord Eyez kusainishwa kwenye label ambayo Barakah The Prince ameianzisha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sio Vizuri Kumpa Mtoto Adhabu Hadharani, Hii Ndio Sababu.

Hatua za makuzi anazozipitia mtoto ni wazi kuwa yapo makosa ambayo anayafanya na kuhitaji kukanywa kama motto, pia vipo vitu ambavyo anapas... thumbnail 1 summary
Hatua za makuzi anazozipitia mtoto ni wazi kuwa yapo makosa ambayo anayafanya na kuhitaji kukanywa kama motto, pia vipo vitu ambavyo anapaswa aelekezwe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ommy Dimpoz na Mpenzi Wake Ndani ya Mahaba. (Video)

Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego,  thumbnail 1 summary
Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego, 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mahaba ya mpenzi wangu yamenisukuma kuandika wimbo Sijiwezi – Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa hip hip Nay wa Mitego amedai hawezi kuandika wimbo wa mapenzi kama hana filling ya mapenzi au hayupo kwenye mahus... thumbnail 1 summary


Msanii wa muziki wa hip hip Nay wa Mitego amedai hawezi kuandika wimbo wa mapenzi kama hana filling ya mapenzi au hayupo kwenye mahusiano.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hanscana aeleza nini kilitokea kabla ya kupata ajali mbaya ya gari akiwa na Darassa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Hanscana amefunguka na kueleza nini kilitokea hadi wakapata ajali mbaya ya gari akiwa na rapa Dar... thumbnail 1 summary

Muongozaji wa video za muziki nchini, Hanscana amefunguka na kueleza nini kilitokea hadi wakapata ajali mbaya ya gari akiwa na rapa Darassa pamoja na watu wengine wawili.
Gari ambayo wamepata nayo ajali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kanye West ndiye MC bora 2016 kwa mujibu wa MTV

Kanye West ametajwa na kituo cha MTV kuwa ndiye rapper mkali zaidi kwa mwaka huu. thumbnail 1 summary


Kanye West ametajwa na kituo cha MTV kuwa ndiye rapper mkali zaidi kwa mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond kumdondosha hasimu wa Zari kwenye Wasafi Beach Party

Diamond Platnumz ni mfanyabiashara kwenye muziki asiyeogopa ‘kutake risk’ kwaajili ya kukamilisha azma yake, hata kama uamuzi atakaou... thumbnail 1 summary


Diamond Platnumz ni mfanyabiashara kwenye muziki asiyeogopa ‘kutake risk’ kwaajili ya kukamilisha azma yake, hata kama uamuzi atakaouchukua unaweza ukaleta mzozo ndani ya familia yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vitamin Music Group Limited ya Belle 9 yamchukua Gabo Zigamba

Kampuni ya Vitamin Music Group Limited ya msanii wa muziki Belle 9 imemtambulisha mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa EATV 2016, Sal... thumbnail 1 summary


Kampuni ya Vitamin Music Group Limited ya msanii wa muziki Belle 9 imemtambulisha mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa EATV 2016, Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Calisah: Wema Sepetu ni msichana mzuri na mwenye mapenzi ya kweli

Mwanamitindo aliyejipatia jina mwaka huu kutokana na kuwa na uhusiano wa muda mfupi na Wema Sepetu, Calisah, amemwelezea muigizaji na... thumbnail 1 summary


Mwanamitindo aliyejipatia jina mwaka huu kutokana na kuwa na uhusiano wa muda mfupi na Wema Sepetu, Calisah, amemwelezea muigizaji na Miss Tanzania huyo wa zamani kuwa ni msichana mzuri na mwenye mapenzi ya kweli.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hali ya maisha inapokuwa ngumu basi ujue kuna utimilifu na ukamilifu mbele yako – Ray C

Msanii mkongwe wa muziki Ray C ameamua kuyapotezea yale yanayozungumzwa katika mitandao ya kijamii baada ya jana mtandao wa Global Pu... thumbnail 1 summary


Msanii mkongwe wa muziki Ray C ameamua kuyapotezea yale yanayozungumzwa katika mitandao ya kijamii baada ya jana mtandao wa Global Publisher kuandika taarifa inayodai kuwa muimbaji huyo wa wimbo ‘Milele’ anajiuza.

Kwa mujibu wa taarifa za mtandao huo zinadai kuwa haikuwa kazi rahisi fuatilia mkasa huo mpaka walipowatumia Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya mtandao huo.

Muimbaji huyo ambaye ameweza kupambana kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya, ameona siyo vyema kukaa kimya na kuamua kuzungumza kuhusu issue inayozungumzwa.

Kupitia mtandao wa Instagram, Ray C ameandika:


Maisha ni Safari ndefu,unapoona hali ya maisha inakuwa ngumu basi ujue kuna utimilifu na ukamilifu mbele yako, usikatishwe tamaa na maneno ya binadamu wenzio ambao wana miguu miwili kama wewe na wameumbwa na yuleyule aliekuumba wewe na ambao nao hawajui hatma ya maisha yao kama vilevile usivyojua hatma yako,kesho yako usivyoijua basi ujue hakuna binadamu anaeifahamu kesho yake itakuwaje!kumbuka mtabiri na mwongozaji wa maisha yako ni mmoja tu aliekuumba wewe na ndie peke yake wa kumtegemea katika kila jambo maishani mwako,dunia na watu wake na vitu vyake na mambo yake yataendelea kuwepo tu muhimu ni wewe kujua unasimama upande upi salama katika kufanikisha kile unachokidhamiria kwenye maisha yako, muhimu ni kuwa na imani matumaini na ujasiri wa kufanikisha jambo lako,funga skio la nafsi haribifu za utabiri wa dunia za munguwatu na sikiliza nafsi yako ndani yako iliyo ya ukweli na nia kufikisha malengo yako maishani mwako, jiamini jikubali sema kwa nguvu ya Mungu ntafanikisha nitakalo maishani! ongea na Mungu wako katika kila jambo mshirikishe yeye Kwani kuna nguvu ya Mungu inayotembea na sisi wakati wote ni kuamini tu kwamba mbele yake yeye muumba mwenye dunia yake hakuna linaloshindikana chini ya jua!kuwa na imani na yeye tu!hakuna mwingine mwenye upendo wa kweli kama Mungu.

Muimbaji huyo kwa sasa amekuwa akijichimbia katika studio za Wanene kuandaa kazi zake mpya ambazo bado hajazizungumzia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: