March 11, 2015

INASIKITISHA SANA...AKAA MIAKA MITATU MHIMBILI BILA MATIBABU YA AINA YOYOTE.

Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) anayesumbuliwa na uvimbe usoni. Alikuja Muhimbili ili akafanyiwe upasuaji India, alipelekw... thumbnail 1 summary


Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) anayesumbuliwa na uvimbe usoni.

Alikuja Muhimbili ili akafanyiwe upasuaji India, alipelekwa akarudishwa bila kutibiwa, awaita ndugu zake hospitalini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WADADA WA MJINI AKIWEMO JACK WOLPER WAJITOSA KUMTAFUTIA NUHU MZIWANDA MCHUMBA, WAMCHOKA SHILOLE

Shilole na Nuhu Mziwanda Story ya kwenye U Heard ya leo March 10, inahusu tetesi zilizoenea kuwa wa dada wa mjini akiwemo muigiza... thumbnail 1 summary


Shilole na Nuhu Mziwanda

Story ya kwenye U Heard ya leo March 10, inahusu tetesi zilizoenea kuwa wa dada wa mjini akiwemo muigizaji, Jacqueline Wolper wamemchoka msanii Shilole kwa madai kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND NOMA SANA AFIKISHA MASHABIKI LAKI TANO INSTAGRAM

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz'. thumbnail 1 summary





Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz'.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA DIAMOND APATA MSHTUKO DENI LA MIL.800,WEMA NA ZARI WATAJWA HUMO

MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuwepo madai ya kudaiwa ... thumbnail 1 summary


MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuwepo madai ya kudaiwa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 800 na serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Risasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: