January 05, 2015

Jay Z na Beyonce wameipenda Thailand… Hizi ni picha zao nyingine wakienjoy

Jay Z  na  Beyonce  wameendelea ‘kula bata’ ikiwa ni mwendelezo wa kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya Thailand. thumbnail 1 summary
Jigga
Jay Z na Beyonce wameendelea ‘kula bata’ ikiwa ni mwendelezo wa kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya Thailand.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya miaka saba…Hii ndiyo zawadi mpya kwa mashabiki wa Akon 2015

Hitmaker wa nyimbo ya ‘ Mama Africa ‘,  Akon  ni mmoja ya mastaa walioweka mikakati yao ya mwaka 2015 kile ambacho watakifanya kwa mashab... thumbnail 1 summary
micHitmaker wa nyimbo ya ‘Mama Africa‘, Akon ni mmoja ya mastaa walioweka mikakati yao ya mwaka 2015 kile ambacho watakifanya kwa mashabiki wao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Balaa la majeruhi Man United laendelea.

Mkosi wa majeraha umeendelea kuiandama Manchester United baada ya kushuhudia wachezaji wake wawili wakiumia hapo jana ukiwa ni muende... thumbnail 1 summary

1304304-28079172-1600-900


Mkosi wa majeraha umeendelea kuiandama Manchester United baada ya kushuhudia wachezaji wake wawili wakiumia hapo jana ukiwa ni muendelezo wa majeraha ambayo yamekuwa yakiwaandama wachezaji wa Manchester United karibu msimu mzima .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mrithi wa Steven Gerard tayari ametajwa…

 Baada ya kumshuhudia nahodha wake  Steven Gerrard  akiitoa salamu kwamba anaitumikia klabu hiyo katika msimu huu kama  utakuwa msimu w... thumbnail 1 summary
steven-gerrard-444357
 Baada ya kumshuhudia nahodha wake Steven Gerrard akiitoa salamu kwamba anaitumikia klabu hiyo katika msimu huu kama  utakuwa msimu wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMA KWELI AUNTY EZEKIEL NI SIKIO LA KUFA... ALICHOKIFANYA DODOMA KWENYE UKUMBI WA MATEI LOUNGE KINASHANGAZA

Mwigizaji wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. LICHA  ya kushauriwa na daktari kuhusu kutulia na kutovaa viatu virefu kutokana na ujauzito... thumbnail 1 summary


Mwigizaji wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel.
LICHA ya kushauriwa na daktari kuhusu kutulia na kutovaa viatu virefu kutokana na ujauzito, mwigizaji Aunt Ezekiel ameonekana kuwa ni sikio la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADAM WEMA SEPETU ZARI LADY BOSS WATAKIWA KUJIONGEZE MWENYEWE!

Kumekuwa na maneno mengi juu ya nani mzuri kati ya staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ na Wema Isaac Sepetu ‘Mad... thumbnail 1 summary


Kumekuwa na maneno mengi juu ya nani mzuri kati ya staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Wema ametembea na Diamond na sasa Zari anadaiwa kuchukua uskani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA: UBONGE UNANIPA STRESS

Staa wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja. STAA  wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja thumbnail 1 summary

Staa wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja.
STAA wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: