August 07, 2014

ALICHOKISEMA ANTI EZEKIEL BAADA YA KUSEMEKANA ANATOKA NA DANSA WA DIAMOND PLATNUMZ.

Mwanzoni mwa wiki hii miongoni mwa stori ambazo zilitoka na kuenea kwenye magazeti kadhaa ni pamoja na inayomhusu Anti Ezekiel kusemekana k... thumbnail 1 summary

http://shosti.com/wp-content/themes/Canyon/timthumb.php?src=http://shosti.com/wp-content/uploads/2013/07/ezekiel-kazini.jpg&h=300&w=650&zc=1Mwanzoni mwa wiki hii miongoni mwa stori ambazo zilitoka na kuenea kwenye magazeti kadhaa ni pamoja na inayomhusu Anti Ezekiel kusemekana kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE PICHA, HUYU NDIYE MSHINDI WA SERENGETI SUPER NYOTA , WADAU WAPONDA NA KUDAI NI MBIBI

ajabu sana fiesta super nyota mdada ambaye anaonekana umri umeenda amekuwa mshindi wa serengeti super nyota iliyokuwa ikifanyika mwanza... thumbnail 1 summary

ajabu sana fiesta super nyota mdada ambaye anaonekana umri umeenda amekuwa mshindi wa serengeti super nyota iliyokuwa ikifanyika mwanza ambapo dj fetty wa clouds fm alikua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HOT PICHA DIAMOND NDANI YA STUDIO ZA TV1 HII LEO

diamond hivi punde alikua name interview name kituo cha television cha tv1 na hii ni. thumbnail 1 summary


diamond hivi punde alikua name interview name kituo cha television cha tv1 na hii ni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMEMWONA DJ FETTY NDANI YA MWANZA??? TAZAMA PICHA AKIWA NDANI YA JIJI, FIESTA NI SHIDAAAH

ALL THE WAY FROM MWANZA TAZAMA HOT PICHA ZA MWANA DADA ANAYEBADIRIKA KUTOKANA NA MAZINGIRA DJ FETTY AKIWA MWANZA TAYARI KWA FIESTA ,, NI thumbnail 1 summary

ALL THE WAY FROM MWANZA TAZAMA HOT PICHA ZA MWANA DADA ANAYEBADIRIKA KUTOKANA NA MAZINGIRA DJ FETTY AKIWA MWANZA TAYARI KWA FIESTA ,, NI

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RUFANI YA 'NG'ATANG'ATA' LUIS SUAREZ KUSIKILIZWA KESHO CAS

MWANASHERIA wa Luis Suarez anajiamini kuwa adhabu ya kifungo cha miezi minne cha mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez itapunguzwa na m... thumbnail 1 summary
MWANASHERIA wa Luis Suarez anajiamini kuwa adhabu ya kifungo cha miezi minne cha mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez itapunguzwa na mahakama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ooooh! ANAONDOKA ANAONDOKA, WATU WATULIZWA TULI! 'JEMBE' LAZEEKEA BERNABEU

+6 Bado nipo nipo kwanza!: Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema, ameamua kuongeza mkataba mpaka mwaka 2019.  KARIM Ben... thumbnail 1 summary

Staying put: Real Madrid forward Karim Benzema has committed himself to the club until 2019
Bado nipo nipo kwanza!: Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema, ameamua kuongeza mkataba mpaka mwaka 2019. KARIM Benzema ameamua kuzeekea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHUPA 2,000 ZA DAWA YA KUPULIZIA ZAAGIZWA KWA AJILI YA MAREFA WA LIGI KUU ENGLAND MSIMU UJAO

+3 Mpya: Msimu ujao Ligi kuu nchini England imethibitisha matumizi ya dawa hii ya kupulizia. BAADA ya kuthibitisha matumizi y... thumbnail 1 summary

New: The Premier League have confirmed that referees will use vanishing spray this season

Mpya: Msimu ujao Ligi kuu nchini England imethibitisha matumizi ya dawa hii ya kupulizia.BAADA ya kuthibitisha matumizi ya dawa maalumu ya kupulizia,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAJUE KIUNDANI MAGWIJI WA REAL MADRID WATAKAOTUA BONGO AGOSTI 22 MWAKA HUU

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MAGWIJI wa Real Madrid maarufu kama ‘Real Madrid Legends’ wanatarajia kufanya ziara nchini Tanzania kuan... thumbnail 1 summary
Na Baraka Mpenja, Dar es salaamMAGWIJI wa Real Madrid maarufu kama ‘Real Madrid Legends’ wanatarajia kufanya ziara nchini Tanzania kuanzia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE MASOGANGE NA CORAZON WAKUTANA SAUZI...WAJIREKODI VIDEO CHUMBANI

Siku za hivi karibuni WADADA HAWA WENYE FIGA MATATA kutoka huku Afrika ya Mashariki wamekuwa marafiki kupitia mtandao wa INSTAGRAM… Kila... thumbnail 1 summary

Siku za hivi karibuni WADADA HAWA WENYE FIGA MATATA kutoka huku Afrika ya Mashariki wamekuwa marafiki kupitia mtandao wa INSTAGRAM…
Kila moja amekua akimkubali mwenzake na mara kadhaa kila mmoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIGH HEELS ZINA WENYEWE BANA...BAADA YA VANESA MDEE SASA MAIMATHA JESSE ATOLEWA NISHAI KINOMA

Mtangazaji   maarufu Bongo, Maimartha Jesse. MTANGAZAJI  maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa... thumbnail 1 summary

Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse.
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU BAADA YA DIAMOND KUMFANYIA HAYA

KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Se... thumbnail 1 summary



KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, Amani limenyetishiwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio mkubwa hatupati waume wa kutuoa ?

    1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi  thumbnail 1 summary


    1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA HOWARD WEBB KUTANGAZA KUSTAAFU, MASHABIKI PINZANI WAENDELEA KUTANIA, CHEKI PICHA WALIZOTENGENEZA!

+9 Shabiki wa United: Mashabiki wengi wa timu pinzani kwa miaka mingi wamekuwa wakimtuhumu Howard Webb kuibeba Man United.... thumbnail 1 summary

United fan: Many rival football fans have accused Howard Webb of supporting Man United over the years
Shabiki wa United: Mashabiki wengi wa timu pinzani kwa miaka mingi wamekuwa wakimtuhumu Howard Webb kuibeba Man United.REFA maarufu nchini England,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIPA MKALI WA CHILE CLAUDIO BRAVO AANZA KWA MAJANGA BARCELONA IKITANDIKWA 1-0 NA NAPOLI

+10 Kosa: Blerim Dzemaili shuti lake lilipita mikononi mwa kipa Claudio Bravo jana usiku. KOSA binafsi la kipa wa Barcelona, ... thumbnail 1 summary
Blunder: Blerim Dzemaili's shot squeezes through the hands of Claudio Bravo on Wednesday night
Kosa: Blerim Dzemaili shuti lake lilipita mikononi mwa kipa Claudio Bravo jana usiku.KOSA binafsi la kipa wa Barcelona, Claudio Bravo katika mechi yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNTY EZEKIEL ANUSURIKA KUPOKEA KICHAPO, MUME WA MTU ATAJWA, NI DANCER WA DIAMOND PLATNUMZ.

Aunty Aunty Ezekiel anadaiwa kukinukisha nyumbani kwa Wema Sepetu baada ya kunusurika kufumaniwa na mume wa mtu, Moses Peter Iyobo a.... thumbnail 1 summary
Aunty
Aunty Ezekiel anadaiwa kukinukisha nyumbani kwa Wema Sepetu baada ya kunusurika kufumaniwa na mume wa mtu, Moses Peter Iyobo a.k.a Moze Iyobo ambaye ni densa(dancer)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HA HA HA UWIII, WAREMBO WALA KICHAPO KIKALI BAA, TAZAMA PICHA ZOTE HAPA

BALAA!  Siku chache tu baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili ambao majina yao hayakufahamika haraka wamej... thumbnail 1 summary


BALAA! Siku chache tu baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili ambao majina yao hayakufahamika haraka wamejikuta wakila kichapo kutoka kwa mabaunsa kufuatia kuchelewa kutoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AMCHEFUA WEMA NI BALAA SOMA UJUE KILICHOTOKEA

KAULI  ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Se... thumbnail 1 summary
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, Amani limenyetishiwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NINA MATUMAINI NA NCHI YANGU - ALLY KIBA

Staa wa Bongo Fleva, Ally Kiba, atakuwa ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijin... thumbnail 1 summary

Staa wa Bongo Fleva, Ally Kiba, atakuwa ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 8, 2014. Ewe,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MREMBO AFA AKIJIANDAA KWENDA DUBAI

BINTI  mmoja aliyefahamika  kwa  jina la Suzana Adamu (20), mkazi  wa Mazizini- Ukonga jijini Dar amefariki dunia kwa kugongwa na gari akit... thumbnail 1 summary
BINTI mmoja aliyefahamika  kwa  jina la Suzana Adamu (20), mkazi  wa Mazizini- Ukonga jijini Dar amefariki dunia kwa kugongwa na gari akitoka  kukamilisha taratibu za  viza kwa ajili ya kwenda  Dubai kufanya kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAY WA MITEGO: NILIKUWA MWIZI BALAA

CONFESSION!  Kwa mara ya kwanza staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameibuka na kuuelezea upande wa pili wa maisha yak... thumbnail 1 summary
CONFESSION! Kwa mara ya kwanza staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameibuka na kuuelezea upande wa pili wa maisha yake kuwa kabla hajawa mwanamuziki alikuwa mwizi balaa!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LAANA YA MAMA YAKE YAMTISHA WEMA SEPETU

NYOTA  wa  Filamu  za  kibongo  Wema  Sepetu  amesema  kuwa  katika  maisha yake  anajitahidi  hakosani  na  mama  yake  mzazi, Mirium Sep... thumbnail 1 summary

NYOTA  wa  Filamu  za  kibongo  Wema  Sepetu  amesema  kuwa  katika  maisha yake  anajitahidi  hakosani  na  mama  yake  mzazi, Mirium Sepetu  ili  kukwepa  kupata  laana  ya  kile  ambacho  anaweza  kumtamkia  na  kuharibu 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Davido kuongelea beef lao, Wiz Kid amjibu kupitia twitter

Baada ya jana Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz thumbnail 1 summary
kid2
Baada ya jana Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERIKALI YA MAREKANI SASA KUWEKEZA DOLA BILIONI 14 AFRIKA, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Kampuni kadhaa za Marekani, zimeahidi kuwekeza dola bilioni 14 barani Afrika hasa katika sekta ya nishati na miundo mbinu. Taarifa hii n... thumbnail 1 summary

Kampuni kadhaa za Marekani, zimeahidi kuwekeza dola bilioni 14 barani Afrika hasa katika sekta ya nishati na miundo mbinu. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Rais wa Marekani Barack Obama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KENYA , WASHUKIWA WA UGAIDI WA KIKUNDI CHA AL-SHABAAB WATIWA MBARONI

Al-Shabab has carried out a wave of bombings in Kenya Continue reading the main story Somalia: Failed State ‘Mosquito militants’ ... thumbnail 1 summary

Al-Shabab fighters in  Mogadishu, Somalia (5 March 2012)

Al-Shabab has carried out a wave of bombings in Kenya
Kenyan police have arrested an official from Somalia's militant Islamist group al-Shabab, security sources have told the BBC.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA BONGO MOVIE WAKIJIFUA KWA AJILI YA MECHI YAO YA USIKU WA MATUMAINI

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Iju... thumbnail 1 summary

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: