December 14, 2014

Full Time ya Manchester United vs Liverpool Dec 14 2014.

Michuano ya ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena jioni ya leo kwa mchezo wa mahasimu wa jadi Liverpool dhidi ya Manchester United ambapo... thumbnail 1 summary
IMG_9861.JPGMichuano ya ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena jioni ya leo kwa mchezo wa mahasimu wa jadi Liverpool dhidi ya Manchester United ambapo game hii pia ilikua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Miss World 2014 ndio ilikuwa leo, matokeo yote yapo hapa pamoja na picha

Miss World 2014, Rolene Strauss aliyeiwakilisha South Africa akifurahi baada ya kutangazwa mshindi wa Taji la Miss World 2014. Leo De... thumbnail 1 summary
#MW2 Stage saiikk
Miss World 2014, Rolene Strauss aliyeiwakilisha South Africa akifurahi baada ya kutangazwa mshindi wa Taji la Miss World 2014.
Leo December 14 kwenye Historia ya mwaka 2014, Mashindano makubwa ya Miss World 2014 yalikuwa yakifanyika London, Uingereza ambapo washiriki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMINI USIAMI LAKINI UNAAMBIWA KUWA HUYU NDIYE DEMU ANAYEONGOZA KUWA NA HIPS KUBWA KULIKO WOTE AFRICA

Si mwingine ni mrembo Maltida Quaye kutoka Ghana anajulikana kwa jina la Hipys ambaye ni mrembo wa kwanza kuwa na hipys kubwa kuliko wot... thumbnail 1 summary



Maltida Quaye



Si mwingine ni mrembo Maltida Quaye kutoka Ghana anajulikana kwa jina la Hipys ambaye ni mrembo wa kwanza kuwa na hipys kubwa kuliko wote hapa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI MISS WORLD..nahiki ndicho alicho post instagram.....!

Watanzania wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka London Uingereza, ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka ... thumbnail 1 summary



Happyz iiiWatanzania wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka London Uingereza, ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka 2014. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!

                              Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekan... thumbnail 1 summary

                           
  Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shangwe la After Skul Bash kwenye ufukwe wa bahari ya hindi

. Xxl ya cloudsFM kila mwaka hufanya party ya wanafunzi wote waliofunga shule ikiwa ni pamoja na wa shule ya Msingi,Sekondari,kwa pam... thumbnail 1 summary
.
.
Xxl ya cloudsFM kila mwaka hufanya party ya wanafunzi wote waliofunga shule ikiwa ni pamoja na wa shule ya Msingi,Sekondari,kwa pamoja party hii inaitwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU ''SITAKI MNIINGILIE MAISHA YANGU ,NAAMUA MWENYEWE

  Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila ... thumbnail 1 summary


WEMA: Sitaki Mniingilie, Maisha Yangu Naamua Mwenyewe
 Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu anachokiweka  eti kwasababu tu hawampendi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IDRIS AFANYIWA BONGE LA SHEREHE NA MULTICHOICE JIJINI DAR

Mshindi wa Dola 300,000 za Big Brother Hotshots, Idris Sultan akiwa katika pozi na mshiriki mwenzake katika shindano hilo, Irene Vedast... thumbnail 1 summary


Mshindi wa Dola 300,000 za Big Brother Hotshots, Idris Sultan akiwa katika pozi na mshiriki mwenzake katika shindano hilo, Irene Vedastous 'Laveda' wakati wa sherehe hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADAI MAZITO: ROSE MUHANDO ATUNDIKWA MIMBA

Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa... thumbnail 1 summary
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi limenyetishiwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chelsea wamecheza na Hull City leo, matokeo yalikuaje? Ingia hapa

Baada ya kuanza msimu bila kufungwa, kabla ya Newcastle United kuvunja rekodi yao wiki iliyopita kwa kuifunga 2-1, sasa leo Jose Mourin... thumbnail 1 summary

IMG_9811.PNG

Baada ya kuanza msimu bila kufungwa, kabla ya Newcastle United kuvunja rekodi yao wiki iliyopita kwa kuifunga 2-1, sasa leo Jose Mourinho aliingiza timu yake uwanjani kucheza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Matokeo ya Simba vs Yanga – picha na idadi ya watu waliozimia uwanjani vipo hapa

Timu ya Simba imeibuka na ushindi baada ya kuichapa timu ya Yanga 2-0 huku timu ya Yanga wakiambulia kuondoka na maumivu ya kushindwa kuf... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-12-13 at 7.09.29 PMTimu ya Simba imeibuka na ushindi baada ya kuichapa timu ya Yanga 2-0 huku timu ya Yanga wakiambulia kuondoka na maumivu ya kushindwa kufurukuta kwa bao hata moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UTATA WARINDIMA LEO HUKO INSTAGRAM BAADA YA KAJALA NA WOLPER KUPOST PICHA HIZI

Naweza sema kwa siku ya leo picha hii ndio iliyopata  “comments”  na  “Likes” nyingi zaidi kuliko picha zote zawaigizaji zilitupiwa le... thumbnail 1 summary


PICHA: Utatu Huu Umewapendeza Wengi
Naweza sema kwa siku ya leo picha hii ndio iliyopata “comments” na “Likes”nyingi zaidi kuliko picha zote zawaigizaji zilitupiwa leo  mtandaoni. Nipicha inayowajumuisha mastaa watatu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHIDI BENZ AINGILIA KATI BEEF KATI YA DIAMOND NA DAVIDO, CHEKI HII HAPA

Rapper   Chidi Benz   amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya   Diamond Platnumz   na msanii wa Nigeria   Davido . Hiki ndicho a... thumbnail 1 summary

Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: