June 17, 2014

MUME WA FLORA MBASHA AKAMATWA NA KUPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA ZA UBAKAJI,ASHINDWA MASHARTI YA DHAMANA NA KUPELEKWA RUMANDE

MSANII Emmanuel Mbasha (32) na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mash... thumbnail 1 summary

MSANII Emmanuel Mbasha (32) na mume
wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha,
amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala
akikabiliwa na mashitaka mawili likiwemo
la ubakaji.
Mshtakiwa huyo ambaye ni mfanyabiashara
na mwimbaji alisomewa mashitaka yake
mbele ya Hakimu Mkazi Wilberforce Luago.
Wakili wa Serikali Nassoro Katuga alidai
kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KOLABO LA KUFA MTU OMMY DMPOZ NA DIAMOND ... NI BALAA TU

Pamoja na kukutana kwenye nyimbo za Kigoma AllStars, kwenye wimbo wa Dully Sykes  ‘Utamu’ na kwenye ngoma ya Victoria Kimani  ‘Prokoto’ , ... thumbnail 1 summary
Ommy dimpoz na Diamond Platnumz
Pamoja na kukutana kwenye nyimbo za Kigoma AllStars, kwenye wimbo wa Dully Sykes ‘Utamu’na kwenye ngoma ya Victoria Kimani ‘Prokoto’, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz hawajawahi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA SHOW ALILIYOFANYA DIAMOND MJINI SONGEA-KILI MUSIC TOUR

 Jana ilikuwa ni mwendelezo wa tou r za music,Kili music  tour kwa washindi wa tuzo za KTMA na baadhi y a wasanii,kutokana na rat... thumbnail 1 summary
 Jana ilikuwa ni mwendelezo wa tou
r za music,Kili music
 tour kwa washindi wa tuzo za KTMA na baadhi y
a wasanii,kutokana na ratiba kubana
 ikiwemo MTV awards,sikuweza kushiriki show za mwanzo,hii ya Son

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ndiye msanii wa Muziki aliyemfanya Lulu apost hii video.

Anaitwa  TripleMG, huyu ndiye mwanamuziki aliyetokea kuchanganya mabinti wengi Africa kutokana na track yake mpya ya “Selfie” aliyomshiri... thumbnail 1 summary
photo
Anaitwa TripleMG, huyu ndiye mwanamuziki aliyetokea kuchanganya mabinti wengi Africa kutokana na track yake mpya ya “Selfie” aliyomshirikisha Shelebobo, Lulu naye ni mmoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUKOSA UZALENDO KUMEFANYA VITABU VYA SHULE KUWA HOVYO

NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa afya ya kuweza kuandika haya nitakayoyaandika leo katika safu hii. Kichwani mwangu nasikia  kelel... thumbnail 1 summary
NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa afya ya kuweza kuandika haya nitakayoyaandika leo katika safu hii.
Kichwani mwangu nasikia  kelele nyingi za wabunge wakiongozwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUBAI, KAMPUNI KUBWA ZAVUTIWA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA MAKAZI TANZANIA NHC

Katika kile kinachoonekana ni hatua kubwa katika kuelekea kutengeneza fursa kwenye sekta ya uendelezaji wa makazi, Shirika la Nyumba la Ta... thumbnail 1 summary
Katika kile kinachoonekana ni hatua kubwa katika kuelekea kutengeneza fursa kwenye sekta ya uendelezaji wa makazi, Shirika la Nyumba la Taifa limeweka historia kwenye soko la kimataifa na kufanikiwa kwa mara ya kwanza kufanya kongamano la uwekezaji hapa Dubai ambalo limefanikiwa kufikia lengo lake la kuonyesha fursa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AY ALA SHAVU NENE MCHEKI HAPA

Mrembo aliyewahi kushika taji la Miss Tanzania ,Faraja Kotta Nyalandu akiwa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ambwene Yesaya "AY&qu... thumbnail 1 summary

Mrembo aliyewahi kushika taji la Miss Tanzania ,Faraja Kotta Nyalandu akiwa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ambwene Yesaya "AY"katika viwanja vya hosptali ya wilaya ya Hai.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU CCM MKOA WA DAR ES SALAAM WAFANYA MAHAFALI UKUMBI WA KARIMJEE

wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbalimbali mkoa wa Dar es salaam wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi katika shughuli ya mahafali y... thumbnail 1 summary

wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbalimbali mkoa wa Dar es salaam wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi katika shughuli ya mahafali ya wanavyuo-wanachama wa CCM

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATARI KUBWA: SIMU ZA MKONONI ZAHARIBU MBEGU ZA KIUME

Baadhi ya watu wanahisi kuwa uchunguzi zaidi unahitajika Tathmini ya utafiti kutoka chuo kikuu cha Exeter nchini Uingereza, inaonyesha... thumbnail 1 summary

Baadhi ya watu wanahisi kuwa uchunguzi zaidi unahitajika
Tathmini ya utafiti kutoka chuo kikuu cha Exeter nchini Uingereza, inaonyesha kuwa kiwango cha mbegu za uzazi za wanaume huathiriwa kwa kuweka simu za mkononi kwenye mifuko ya suruali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dakika 4 za wimbo mpya wa Ally Kiba na Abdul Kiba (Kiba Square)

Wimbo huu ulianza kuzinduliwa siku ya Jumapili ndani ya New Maisha Club wakati ndugu hawa walipokua wakifanya show,mashabiki wao walisha... thumbnail 1 summary

kiba_SquareWimbo huu ulianza kuzinduliwa siku ya Jumapili ndani ya New Maisha Club wakati ndugu hawa walipokua wakifanya show,mashabiki wao walishangilia sana wakati wimbo huu ulipokua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

URENO CHALI, YAPIGWA 4-0 NA UJERUMANI, MULLER APIGA HAT-TRICK

Furaha ya ushindi:  Wachezaji wa Ujerumani wakifurahia ushindi dhidi ya Ureno. thumbnail 1 summary

Furaha ya ushindi: Wachezaji wa Ujerumani wakifurahia ushindi dhidi ya Ureno.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wake wa vigogo wafanywa kama chombo cha stareh na waganga hao..kisa?? soma hapa.

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa IMEBAINIKA  kuwa miongoni mwa wale wanawake 20 waliodai kufanyishwa ngono na waganga wa kien... thumbnail 1 summary

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa

IMEBAINIKA kuwa miongoni mwa wale wanawake 20 waliodai kufanyishwa ngono na waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ili kupata ujauzito  baada ya kukaa  muda  mrefu  bila watoto,  wamo wake wa vigogo Bongo, Uwazi limechimba.
Kamanda Kiondo akielezea kuhusu uhalifu wa Sangoma walionaswa kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA BARUA YA WAZI ALIYOANDIKIWA MH DR, JK, AMWAGIWA SIFA KEDEKEDE

Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete – natamani ningeonana na wewe ana kwa ana ili nikupe shikamoo yako nzito kwakuwa shikamoo ya kuandika sik... thumbnail 1 summary
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete – natamani ningeonana na wewe ana kwa ana ili nikupe shikamoo yako nzito kwakuwa shikamoo ya kuandika siku zote huwa naiona ni yenye mapungufu. Heshima yako mkuu. Mimi kijana wako naliendeleza gurudumu la ujenzi wa taifa katika upande huu wa burudani kama kawaida.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: