May 10, 2015

Manchester United itamwachia Di Maria aende PSG kwa mkopo?

Manchester United imemsajili winga wa PSV Memphis Depay kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao wa ligi kuu na huenda ikamtema mche... thumbnail 1 summary
Manchester United imemsajili winga wa PSV Memphis Depay kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao wa ligi kuu na huenda ikamtema mchezaji wao Angel Di Maria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Japan kuna hiki chumba maalum kama unataka kulia…

Inaweza hii ikakushangaza kidogo lakini huu ndio ukweli baada ya hotel moja mjini Tokyo Japan kuamua kuwatengenezea vyumba maalum wanawak... thumbnail 1 summary
Inaweza hii ikakushangaza kidogo lakini huu ndio ukweli baada ya hotel moja mjini Tokyo Japan kuamua kuwatengenezea vyumba maalum wanawake kwa ajili ya kulia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

10 PICHAZ: Jeuri Ya Pesa! Tazama mjengo mpya wa Jay Z na Beyonce…

Kuna wakati Beyonce na mumewe Jay Z waliamua kuishi hotelini kwa muda wakidai hawajaona nyumba ya kununua kwa ajili ya wao kuweza kuishi. thumbnail 1 summary
Kuna wakati Beyonce na mumewe Jay Z waliamua kuishi hotelini kwa muda wakidai hawajaona nyumba ya kununua kwa ajili ya wao kuweza kuishi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ukiwa chumbani na mwandani wako, hebu mpe mambo haya.....

Si siri, mapenzi ni hatua ambayo kila mtu hutamani kuipitia. Na leo napenda nizungumzie faragha, yaani sehemu ambayo mnaweza kupeana ra... thumbnail 1 summary

Si siri, mapenzi ni hatua ambayo kila mtu hutamani kuipitia. Na leo napenda nizungumzie faragha, yaani sehemu ambayo mnaweza kupeana raha za dunia bila tabu. Kabla ya kuwa faragha nadhani mlipeana miadi mpaka kukutana kwenu faragha, sasa basi unapokwesnda katika makutano yenu yakuliwazana,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha ya Aunty na Kajala Kwenye ‘Baby Shower Party’ Yazua Minong’ono Mtandaoni

Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ik... thumbnail 1 summary
Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platinumz Katika Hili Umekosea,Umekosa Busara ni vyema Ukajifunza Kuweka Akiba ya Maneno

Nime yaandika haya baada ya kuona post ya Diamond akikosoa vikali tunzo za kill hadi amepitiliza na kuandika yasiyo tarajiwa pengine al... thumbnail 1 summary
Nime yaandika haya baada ya kuona post ya
Diamond akikosoa vikali tunzo za kill hadi amepitiliza na kuandika yasiyo tarajiwa pengine alikuwa na hasira sana lakini tusisahau kuwa hasira haijengi!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maandamano Burundi yachukua Sura Mpya

Serikali ya Burundi imewataka waandamanaji katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura kusitisha maandamano yao dhidi ya hatua ya rais wa taifa h... thumbnail 1 summary
Serikali ya Burundi imewataka waandamanaji katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura kusitisha maandamano yao dhidi ya hatua ya rais wa taifa hilo Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu katika uchaguzi wa mwezi ujao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hot Jacqueline Wolper Stylishly Dazzles In New Photos

Hot Jacqueline Wolper Stylishly Dazzles In New Photos You simply look hot Jacqueline Wolper... thumbnail 1 summary
Hot Jacqueline Wolper Stylishly Dazzles In New Photos
You simply look hot Jacqueline Wolper...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ray And Steve Nyerere Are Big Hypocrites, How Can They Betray Me For Zari ? : Wema Sepetu

Wema Sepetu has come for Ray Vicent Kigosi and Steve Nyerere after the two agreed and promised to attended Wema's Instagram party in ... thumbnail 1 summary
Wema Sepetu has come for Ray Vicent Kigosi and Steve Nyerere after the two agreed and promised to attended Wema's Instagram party in Mwanza last Sartuday but they didn't show up. Ray and Steve promised Wema they will not attend her arch rival Zari's All White Party at Mlimani City in Dare es salaam but they

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz And P-Square's Collabo Is Ready, To Be Dropped Soon

Hopefully you all remember we previously posted about two posts informing you about Diamond Platnumz and Nigerian P-Square's collabo.... thumbnail 1 summary
Hopefully you all remember we previously posted about two posts informing you about Diamond Platnumz and Nigerian P-Square's collabo. Now, good news is that the collabo is ready and soon it will be out.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DALILI TANO MBAYA KWENYE UHUSIANO UKIONA, UJUE MPENZIO ANACHEPUKA

Leo naomba pia niongelee kuhusu dalili ambazo zinaweza onekana kwa mwenza wako ambazo zinapelekea kujenga fikra kwamba "unasalitiw... thumbnail 1 summary

Leo naomba pia niongelee kuhusu dalili ambazo zinaweza onekana kwa mwenza wako ambazo zinapelekea kujenga fikra kwamba "unasalitiwa" dalili hizo ni kama zifuatazo:-1.Nakupenda lakini Sina Hisia nawe(Kwa wale ambao bado hawajaoana)Hii ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchumba wa Shilole Nuhu Mziwanda Atoa Kali Nyingine ya Mwaka...Hii Sasa Kutafuta Kick

Imenibidi kushare nanyi labda mtaelewa post ilivyoandikwa sijui ni kiingereza au kifilipino tueleweshane wapendwa thumbnail 1 summary
Imenibidi kushare nanyi labda mtaelewa post ilivyoandikwa sijui ni kiingereza au kifilipino
tueleweshane wapendwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Wema Kupromote Watu Wampigie Kura Ali Kiba Kill Awards, Diamond Aibuka na Kuziponda Vibaya Tuzo Hizo ya Kill Awards

Ki ukweli nahisi hawa wawili bado wanawindana japo wameachana , ni kama wanafuatiliziana nyendo zao na kujaribu kuumizana kwa njia mo... thumbnail 1 summary


Ki ukweli nahisi hawa wawili bado wanawindana japo wameachana , ni kama wanafuatiliziana nyendo zao na kujaribu kuumizana kwa njia moja ama nyingine huku wakijaribu kuonyesha kila mmoja ame move on ...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwigizaji Lulu Michael Amganda Van Vicker!

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kumganda mwigizaji kutoka nchini Ghana, Van Vicker gazeti la leo la Risa... thumbnail 1 summary

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kumganda mwigizaji kutoka nchini Ghana, Van Vicker gazeti la leo la Risasi limeripoti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JIFUNZE JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE MZURI BILA PRESHA!

Kibinadamu tunasema hakuna mwanamke mzuri na mbaya. Wote ni sawa na yule ambaye unamuona kwako ni mzuri, huenda kwa mwenzako akawa mbay... thumbnail 1 summary

Kibinadamu tunasema hakuna mwanamke mzuri na mbaya. Wote ni sawa na yule ambaye unamuona kwako ni mzuri, huenda kwa mwenzako akawa mbaya.Hata hivyo, wapo wanawake ambao kiuhalisia ni wazuri na hata wenzao wanakirikwamba Mungu kawapendelea.Uzuri ninaouzungumzia hapa ni ule wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANZANIA KUTIBU MARADHI YA MOYO BILA KUFANYA UPASUAJI

Baadhi ya Waandishi wa habari wakifanya kazi yao na kuelekezwa namna (Cath Lab) mtambo wa kufanya uchunguzi na kuzibua mishipa ya damu inay... thumbnail 1 summary
Baadhi ya Waandishi wa habari wakifanya kazi yao na kuelekezwa namna (Cath Lab) mtambo wa kufanya uchunguzi na kuzibua mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo na pia kuziba matundu ndani ya moyo bila kufungua kifua.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: