April 26, 2015

USIKUBALI KUWA CHANZO CHA MPENZI WAKO KUKUSALITI...!!

Rafiki, wanawake wengi hulia na kujutia kuwepo katika ndoa, hii ni kutokana na kuhisi au kujua kuwepo kwa usaliti kwa waume zao. Uk... thumbnail 1 summary



Rafiki, wanawake wengi hulia na kujutia kuwepo katika ndoa, hii ni kutokana na kuhisi au kujua kuwepo kwa usaliti kwa waume zao. Ukweli ni kwamba suala la kusalitiwa linaumiza sana, hakuna atakayekuwa tayari kukubali usaliti katika penzi lake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACK: WAUME ZA WATU WATATUUA

Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara ... thumbnail 1 summary

Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara wa kubeba waume za watu jambo ambalo linawapa sifa mbaya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Fahamu kwanini watu huota wanafanya mapenzi!

Miongoni wa makundi ya vijana hasa wenye umri wa kati miaka 15-23 wengi wao huota wakifanyamapenzi ndotoni, lakini mbali na hao kuna watu... thumbnail 1 summary
Miongoni wa makundi ya vijana hasa wenye umri wa kati miaka 15-23 wengi wao huota wakifanyamapenzi ndotoni, lakini mbali na hao kuna watu wazima pia ambao hukumbwa na tukio hili. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAOMBA USHAURI : MCHUMBA ANATAKA NIKAJITAMBULISHE KWAO AU TUACHANE NA MIMI SIJAWA TAYARI ,JE NIFANYEJE?

Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu. thumbnail 1 summary

Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

THIS IS HOW SHEMEJI CAME AT MY ROOM ASKING FOR DAWA YA MSWAKI MMMMMHHH I HAD GIVE HER MORE THAN THAT............

Last week friday we closed from school early. As i reached house i then saw that all my clothes were dirty. So i decided to wash them al... thumbnail 1 summary
Last week friday we closed from school early. As i reached house i then saw that all my clothes were dirty. So i decided to wash them all. The washing took me 6 hours but at last

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI SHEMEJI YANGU KABISA MKE WA KAKA YANGU, ILA UTANI WAKE UMEPITILIZA

Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko y... thumbnail 1 summary

Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto wa Miaka 13 Akutwa Akiwa UCHI Akiwanga

Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amekamatwa usiku akiwa uchi kwa madai kuwa alikuwa akiwanga katika duka moja lililopo kijiji cha mpunguti M... thumbnail 1 summary
Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amekamatwa usiku akiwa uchi kwa madai kuwa alikuwa akiwanga katika duka moja lililopo kijiji cha mpunguti Mkoa wa Mbeya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nimetembea Kimapenzi na Dada Yangu wa Damu Nikampa Mimba na Kuzaa Mapacha..Muda wa Kuoa Mimi Umefika Dada Hataki Nioe

Marafiki habari za kuhaingaika Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuru... thumbnail 1 summary
Marafiki habari za kuhaingaika
Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hapa Nimekuwekea Picha za Jinsi Diamond Alivyowapagawisha Wazanzibari Kwa Show Kali Sana Pale Ngome Kongwe

Jana Usiku ilikuwa ni zamu ya Zanzibar Kupata Utamu wa Diamond baada ya kuwapagawisha kwa show kali sana pale Ngome Kongwe ..Nimekuwekea P... thumbnail 1 summary
Jana Usiku ilikuwa ni zamu ya Zanzibar Kupata Utamu wa Diamond baada ya kuwapagawisha kwa show kali sana pale Ngome Kongwe ..Nimekuwekea Picha Hapa chini :

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wajue Mastaa Wakubwa Duniani Walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na Maajabu Yake

Zikiwa zimebakia siku chache tu Pambano la karne kutokea, baadhi ya mastaa wameendelea kutupa karata zao. thumbnail 1 summary


Zikiwa zimebakia siku chache tu Pambano la karne kutokea, baadhi ya mastaa wameendelea kutupa karata zao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ulanguzi Tiketi za Mayweather na Manny Pacquiao Waanza, Sasa ni Sh. Milioni 240 Kwa Tiketi Moja Badala ya Sh. Milioni 130,000

Wajanja wa mjini waliobahatika kununua tiketi za awali za mpambano wa masumbwi unaosubiriwa kwa hamu kubwa duniani kote kati ya Floyd May... thumbnail 1 summary

Wajanja wa mjini waliobahatika kununua tiketi za awali za mpambano wa masumbwi unaosubiriwa kwa hamu kubwa duniani kote kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao, wameanza kutumia nafasi hiyo kwa kuwauzia wengine ambao walichelewa kufanya manunu ya tiketi hizo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHEKI KIWANGO CHA FEDHA UNACHOTAKIWA KUWA NACHO ILI KUMWITA DIAMOND KATIKA SHOW YAKO....PAMOJA NA MAHITAJI MENGINE

Saturday, April 25, 2015 – Diamond Platnumz’s management recently left tongues wagging after they sent an e-mail to a Kenyan mu... thumbnail 1 summary





Saturday, April 25, 2015 – Diamond Platnumz’s management recently left tongues wagging after they sent an e-mail to a Kenyan music promoter telling him that if he wants their client to come perform in Kenya, he will have to cough a whooping 40,000$ (Ksh.3.6 million).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VANESSA MDEE: SASA HIVI SIWEZI KUWA NA MTOTO…

Muimbaji wa ‘Nobody But Me’ Vanessa Mdee a.k.a Vee Money ambaye hivi sasa ameweka wazi uhusiano wake na Jux ambaye ni boyfriend wake, ame... thumbnail 1 summary
Muimbaji wa ‘Nobody But Me’ Vanessa Mdee a.k.a Vee Money ambaye hivi sasa ameweka wazi uhusiano wake na Jux ambaye ni boyfriend wake, ameweka wazi ni kipindi gani angependa kupata mtoto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha ya Wema Sepetu Akiwa Hospitalini Yashtua wengi..Wengi Wauliza Kama ndo Ameanza Matibabu ya Kupata Mtoto Ama la

Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Proje... thumbnail 1 summary

Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais Masikini

Hatimaye Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewatoa hofu Watanzania kuhusu afya ... thumbnail 1 summary

Hatimaye Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewatoa hofu Watanzania kuhusu afya yake kwa kueleza kuwa anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa uchunguzi wa matatizo yake ya uti wa mgongo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: