August 15, 2016

MFAHAMU ANAYEIPA MBINU CHADEMA ZA KUITIKISA SERIKALI NA CCM..!!!

Kama Chadema wana mikakati inayoisumbua CCM; inayoisumbua Serikali au inayovisumbua vyama vingine vya siasa, basi kuna mtu nyuma ya pazia... thumbnail 1 summary
Kama Chadema wana mikakati inayoisumbua CCM; inayoisumbua Serikali au inayovisumbua vyama vingine vya siasa, basi kuna mtu nyuma ya pazia anayebuni na kuratibu mipango hiyo. 

Mbinu tofauti zilizotumika wakati wa Uchaguzi Mkuu zilizofanya wapinzani waweke ushindani wa kihistoria, mbinu zinazotumika wakati likitokea sakata lolote bungeni na mkakati uliotangazwa hivi karibuni wa kupambana na kile kinachodaiwa kuwa ni ukandamizaji wa demokrasia na kupinga ukiukwaji wa sheria, ni mambo yanayokifanya chama hicho kiendelee kuwa midomoni mwa wananchi.

Si mwenyekiti Freeman Mbowe, mwanasheria mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu wala kiongozi mwingine yeyote anayebuni mipango hiyo peke yake bila ya kumshirikisha ‘mchawi’ huyo.

Ni John Mrema; yule kada aliyekuwa anaendesha mikutano yote ya kampeni za urais za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana. Ndiye mchawi wa mikakati ya Chadema kwa sasa ndani na nje ya Bunge.
Mrema ni kada wa Chadema ambaye alikuwa meneja wa kampeni za urais za Lowassa, ambayo iliundwa na CUF, NCCR-Mageuzi, NLD na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Ndani ya Chadema, Mrema sasa ni mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje na kabla ya kupewa cheo hicho, alikuwa mkurugenzi wa masuala ya Bunge na Halmashauri.

“Mimi si mchawi, lakini habari za Chadema hazikauki kwenye mitandao na kwenye vyombo vya habari. Nataka muende wenyewe mkafanye utafiti muone jinsi Chadema inavyotawala kwenye mitandao ya kijamii,” alisema Mrema katika mahojiano na Mwananchi yaliyofanyika Ijumaa iliyopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchezaji wa zamani wa Aston Villa, Dalian Atkinson auawa na polisi

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Aston Villa, Dalian Atkinson thumbnail 1 summary
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Aston Villa, Dalian Atkinson

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hanscana atemana na Wanene Entertainment

Muongozaji mahiri wa video nchini, Hanscana ametangaza kuacha na kampuni ya Wanene Entertainment ikiwa ni wiki chache toka wazindue studio ... thumbnail 1 summary
Muongozaji mahiri wa video nchini, Hanscana ametangaza kuacha na kampuni ya Wanene Entertainment ikiwa ni wiki chache toka wazindue studio mpya na zakisasa za kampuni hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya betri kwenye moyo, JKCI yafanya upasuaji mwingine wa kihistoria

Moja ya habari kubwa iliyoandikwa kwenye magazeti ya August 15 2016 ni hii kutoka gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha thumbnail 1 summary
Moja ya habari kubwa iliyoandikwa kwenye magazeti ya August 15 2016 ni hii kutoka gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chris Brown amgalagaza ‘baby mama’ mahakamani

Chris Brown anasherehekea ushindi baada ya kumlagaza mama wa binti yake Royalty mahakamani. Nia Guzman alikuwa akitaka apewe haki ya kuish... thumbnail 1 summary
Chris Brown anasherehekea ushindi baada ya kumlagaza mama wa binti yake Royalty mahakamani.



Nia Guzman alikuwa akitaka apewe haki ya kuishi na mwanae muda wote, ombi lililokataliwa. Pia alitaka Chris awe na uangalizi awapo na mtoto wao, ombi lililokataliwa, kwa mujibu wa TMZ.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa za kifo cha Sarafina si za kweli

Tetesi za kifo cha muigizaji maarufu wa Afrika Kusini, Leleti Khumalo maarufu kwa jina la Sarafina si za kweli kwa mujibu wa vyombo vya h... thumbnail 1 summary
Tetesi za kifo cha muigizaji maarufu wa Afrika Kusini, Leleti Khumalo maarufu kwa jina la Sarafina si za kweli kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Octopizzo shares sweet love message to his wife

octopizo has been having a lot of controversies with his children and wife but it doesn’t stop him from being the best father. ... thumbnail 1 summary


octopizo has been having a lot of controversies with his children and wife but it doesn’t stop him from being the best father.


So it’s not only Barakah the Prince, whose posting about his

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MFAHAMU ANAYEIPA MBINU CHADEMA ZA KUITIKISA SERIKALI NA CCM..!!!

Kama Chadema wana mikakati inayoisumbua CCM; inayoisumbua Serikali au inayovisumbua vyama vingine vya siasa, basi kuna mtu nyuma ya p... thumbnail 1 summary


Kama Chadema wana mikakati inayoisumbua CCM; inayoisumbua Serikali au inayovisumbua vyama vingine vya siasa, basi kuna mtu nyuma ya pazia anayebuni na kuratibu mipango hiyo. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM WAKIRI KUPELEKWA PUTA NA UKAWA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU 2015..!!!

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa katika chaguzi zote zilizowahi kufanyika hapa nchini uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa ni mgumu katika... thumbnail 1 summary
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa katika chaguzi zote zilizowahi kufanyika hapa nchini uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa ni mgumu katika michakato yake yote hadi kupatikana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Olimpiki: Brazil yaingia nusu fainali kwenye soka la wanaume

Timu ya soka ya wanaume ya Brazil, imeingia nusu fainali ya michuano ya Olimpiki baada ya kuwachapa Colombia, 2-0. thumbnail 1 summary
Timu ya soka ya wanaume ya Brazil, imeingia nusu fainali ya michuano ya Olimpiki baada ya kuwachapa Colombia, 2-0.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kauli kuwa Obama ni mwanzilishi wa ISIS yamtokea puani Trump

Donald Trump anazidi kukipa wakati mgumu chama chake cha Republican kwa kauli zake tata. Hivi karibuni mgombea huyo wa urais wa Marekani, thumbnail 1 summary
Donald Trump anazidi kukipa wakati mgumu chama chake cha Republican kwa kauli zake tata.
Hivi karibuni mgombea huyo wa urais wa Marekani,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aliyekuwa Rais wa pili wa Z’bar Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Aliyekuwa rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kati ya mwaka 1972 hadi 1984, Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo 14 August 201... thumbnail 1 summary
Aliyekuwa rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kati ya mwaka 1972 hadi 1984, Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo 14 August 2016 mchana nyumbani kwake mji mwema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond ashirikishwa na staa wa Ivory Coast, Serge Beynaud

Diamond Platnumz amegeuka kuwa msanii anayetafutwa zaidi na wasanii wa nchi mbalimbali Afrika kwaajili ya collabo. thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz amegeuka kuwa msanii anayetafutwa zaidi na wasanii wa nchi mbalimbali Afrika kwaajili ya collabo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: