August 24, 2014

WATU 200 WALIOPEWA AJIRA KWA UPENDELEO UHAMIAJI WAFUTWA KAZI NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI!

Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbarak Abdulwakil akizungumza jana kuhusu kufutwa kwa ajira 200 Uhamiaji.  Kulia ni Mkuruge... thumbnail 1 summary
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbarak Abdulwakil akizungumza jana kuhusu kufutwa kwa ajira 200 Uhamiaji. Kulia ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai nchini (DCI), Isaya Mngulu. Picha na Venance Nestory     

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kauli ya Carlo Ancelotti kuhusu Di Maria kuaga wenzake leo hii

Sakata la usajili wa winga wa kimataifa wa Argentina Angel Di Maria kwenda klabu ya Manchester United limechukua sura mpya leo hii. thumbnail 1 summary

IMG_6651.JPG


Sakata la usajili wa winga wa kimataifa wa Argentina Angel Di Maria kwenda klabu ya Manchester United limechukua sura mpya leo hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chris Brown akoswa kupigwa risasi na watu wasiojulikana ndani ya Club.

Chris Brown alikuwa host wa pre party ya VMA Awards ndani ya 10AK club huko Hollywood. thumbnail 1 summary
3
Chris Brown alikuwa host wa pre party ya VMA Awards ndani ya 10AK club huko Hollywood.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 8 mpya za P Square zinazoangaliwa sana kwenye internet hivi sasa.

Peter na Paul mapacha wa P Square wanakaribia kutoa album yao ya sita na hivi sasa wametoa picha zao mpya ikiwa ni moja ya promotion ku... thumbnail 1 summary
ddd
Peter na Paul mapacha wa P Square wanakaribia kutoa album yao ya sita na hivi sasa wametoa picha zao mpya ikiwa ni moja ya promotion kuelekea uzinduzi wa album hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMA HII.. AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMNAJISI MTOTO WAKE WA KUMZAA

wa kijiji cha Nyangae, Kata ya Bukumbi wilayani Uyui, Shimba Kajolo ameburuzwa mahakamani akituhumiwa kumnajisi binti yake wa miaka 1... thumbnail 1 summary
wa kijiji cha Nyangae, Kata ya Bukumbi
wilayani Uyui, Shimba Kajolo
ameburuzwa mahakamani akituhumiwa
kumnajisi binti yake wa miaka 12.
Imeelezwa mahakamani kwamba alifanya
kitendo hicho kwa kushauriwa na mganga
wa kienyeji ili aweze kuondoa mkosi wa
kutopata mke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE YAMOTO BENDI WAPATA MASHAVU SOMA HII

Wasanii wanaounda bendi ya Yamoto iliyo chini ya Said Fella wamepata hisani ya kujiunga na chuo cha muziki ili kujiimarisha zaidi kiue... thumbnail 1 summary

Wasanii wanaounda bendi ya Yamoto iliyo chini ya
Said Fella wamepata hisani ya kujiunga na chuo
cha muziki ili kujiimarisha zaidi kiueledi.
Akiongea na Bongo Dot Home ya 100.5 Times Fm,
kiongozi wa bendi hiyo, Aslay alieleza kuwa wao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtuhumiwa kesi ya Swissport alalamikia unyama wa polisi …Adai kuingizwa Chupa sehemu za haja kubwa

ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya Kupakia na Kupakua mizigo ya Swissport, imechukua sura mpya baada ya ms... thumbnail 1 summary
ya wizi wa simu inayowakabili
wafanyakazi sita wa Kampuni ya Kupakia
na Kupakua mizigo ya Swissport,
imechukua sura mpya baada ya
mshitakiwa Hashim Idd (49) kudai
amefanyiwa vitendo vya unyama
alipokuwa anachukuliwa maelezo na
Polisi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond atumia wimbo wa Taarab kuwakejeli wanaotaka aachane na Wema Sepetu

Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sep... thumbnail 1 summary


Diamond Platinumz amepost kwenye
Instagram kipande cha wimbo wa Taarab
kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na
mpenzi wake Wema Sepetu watengane.
Katika kipande hicho cha video,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE NA VANESSA MDEE KATIKA BEEF ZITO KISA PENZI LA OMMY DIMPOZ ! SOMA ZAIDI HAPA

designer and presenter kutoka kimapenzi na Ommy Dimpoz ambaye ni star wa Bongofleva. Habari zaidi zinasema kuwa Jokate na Ommy Dimpo... thumbnail 1 summary

designer and presenter kutoka kimapenzi
na Ommy Dimpoz ambaye ni star wa
Bongofleva.
Habari zaidi zinasema kuwa Jokate na
Ommy Dimpoz wamekuwa wapenzi kwa
muda sasa ila kwa siri kubwa ikidaiwa
wote hawakuwa tayari kuweka uhusiano
wao hadharani na media kuanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMELIONA VAZI LA MSANII LADY GAGA LILILO NA SHEPU YA UUME LIKO HAPA.

Msanii Lady Gaga amabye huwa aishiwi na vituko ametoa kali ya  mwaka baada ya kudesgn vazi lilokuwa na uhalisi wa kiungo cha uzazi kw... thumbnail 1 summary
capture5

Msanii Lady Gaga amabye huwa aishiwi na vituko ametoa kali ya mwaka baada ya kudesgn vazi lilokuwa na uhalisi wa kiungo cha uzazi kwa upande wa mwanaume

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Angalia Bayern Munich walivyoanza kutetea ubingwa wao dhidi VfL Wolfsburg

Hatimaye ligi kuu ya Bundesliga ilianza jana kwa mchezo wa ufunguzi kati ya mabingwa watetezi FC Bayern Munich dhidi ya  VfL Wolfsburg. thumbnail 1 summary
1408739271524_wps_17_epa04364182_Arjen_Robben_Hatimaye ligi kuu ya Bundesliga ilianza jana kwa mchezo wa ufunguzi kati ya mabingwa watetezi FC Bayern Munich dhidi ya  VfL Wolfsburg.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EPL: Matokeo ya mechi zote za mchana ukiwemo wa Chelsea vs Leicester haya hapa

Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa, huku mchezo wa Chelsea vs ... thumbnail 1 summary

IMG_6616.JPG


Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa, huku mchezo wa Chelsea vs Leicester City ukichukua nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EPL: Matokeo na wafungaji wa mechi ya Arsenal vs Everton

Baada ya mechi za mchana, ligi kuu ya England imeendelea usiku huu kwa mchezo mmoja kati ya Everton waliowakaribisha Arsenal. thumbnail 1 summary

IMG_6617.JPG


Baada ya mechi za mchana, ligi kuu ya England imeendelea usiku huu kwa mchezo mmoja kati ya Everton waliowakaribisha Arsenal.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAZEE WA MADRID WAWACHAPA TANZANIA ELEVEN 3-1 MBELE YA KIKWETE, MATUKIO YOTE HAPA

FIGO KATIKATI YA SHABANI RAMADHANI NA NSAJIGWA Kikosi cha wakongwe wa Real Madrid kimewaonyesha soka wakongwe wa Tanzania kwa kuwach... thumbnail 1 summary

FIGO KATIKATI YA SHABANI RAMADHANI NA NSAJIGWA
Kikosi cha wakongwe wa Real Madrid kimewaonyesha soka wakongwe wa Tanzania kwa kuwachapa mabao 3-1.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATU WAMECHOKA SASA ANGALIA PICHA VIBAKA WACHOMWA MOTO HADI KUFA DAR!

Baadhi ya wananchi wakishuhudia jinsi miili hiyo inavyoteketea. Vijana wawili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao hawakufahamika... thumbnail 1 summary
Baadhi ya wananchi wakishuhudia jinsi miili hiyo inavyoteketea.
Vijana wawili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao hawakufahamika majina

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTU MMOJA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MLIMANI CITY!

Mtu mmoja al i yetajwa kwa jina la Adson Cheyo (Pichan) amepigwa risasi na kufar i ki thumbnail 1 summary
Mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Adson Cheyo (Pichan) amepigwa risasi na kufariki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: