August 12, 2014

DIAMOND UNAHITAJI PONGEZI KWA HIKI ULICHOKIFANYA KWA MSHINDI WA SUPER NYOTA MWANZA

Wakati msako wa kuwatafuta akina dada wanye vipaji vya kuimba kupitia Super Nyota Divas inayoendeshwa na Fetty kupitia Clouds FM ukiend... thumbnail 1 summary
Wakati msako wa kuwatafuta akina dada wanye vipaji vya kuimba kupitia Super Nyota Divas inayoendeshwa na Fetty kupitia Clouds FM ukiendelea katika mikoa mingine 17 baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndio klabu kubwa nchini Uingereza ambayo Rihanna ameripotiwa kutaka kuinunua

Moja ya watu maarufu waliokumbwa na joto kubwa la soka wakati wa michuano ya kombe la dunia, alikuwa ni mwanamuziki  Rihanna. thumbnail 1 summary
BuyNS5dIUAE3EnFMoja ya watu maarufu waliokumbwa na joto kubwa la soka wakati wa michuano ya kombe la dunia, alikuwa ni mwanamuziki  Rihanna.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tazama Picha 7: Bill Gates na familia yake wapo likizo kwenye boti (yacht) waliyokodi kwa tshs bilioni 8 kwa wiki!!

Katika boti hiyo helikopta zinamchukua Gates kumpeleke nchi kavu kucheza golf na kumrudisha Ni tajiri namba moja duniani mwenye utaji... thumbnail 1 summary

Katika boti hiyo helikopta zinamchukua Gates kumpeleke nchi kavu kucheza golf na kumrudisha Ni tajiri namba moja duniani mwenye utajiri unaofikia dola bilioni 79.2 hivyo kutumia shilingi bilioni nane kwa wiki si kitu kinachoweza kumpunguzia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA PICHA KIJANA HUYU ANAVYOTESEKA

Jose Serrano ni mtoto wa Ciudad Juarez kutoka nchini Mexico. Jose mwenye umri wa miaka 11 sasa ana uvimbe ukubwa wa kutisha katika s... thumbnail 1 summary
Jose Serrano ni mtoto wa Ciudad Juarez kutoka nchini Mexico. Jose mwenye umri wa miaka 11 sasa ana uvimbe ukubwa wa kutisha katika shingo yake na amelazimika kuishi na uvimbe huo kwa maisha yake yote. Alipo zaliwa uvimbe huo ulikua na ukubwa kiasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ETI 86% YA WATANGAZAJI WA CLOUDS FM WALIKUWA MADANSA,UKWELI UKO HAPA....!!

baada ya matukio mfululizo kufanywa na watangazaji wa clouds fm ikiwa ni kupigana studio wakiwa kwenye vipindi,kutumia radio hiyo kuwak... thumbnail 1 summary
Mdude Chadema's photo.
baada ya matukio mfululizo kufanywa na watangazaji wa clouds fm ikiwa ni kupigana studio wakiwa kwenye vipindi,kutumia radio hiyo kuwakejeli na kuwadhihaki baadhi ya wanamuziki ambao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO

Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo... thumbnail 1 summary


Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

New Music: Wiz Khalifa f/ Nicki Minaj – ‘True Colors’

Taylor Gang meets Young Money on “True Colors.” Fresh off her collabos with Beyoncé, Juicy J, and August Alsina, Nicki Minaj joins Wiz Kh... thumbnail 1 summary
Taylor Gang meets Young Money on “True Colors.” Fresh off her collabos with Beyoncé, Juicy J, and August Alsina, Nicki Minaj joins Wiz Khalifa on one of the 13 tracks off his upcoming album Blacc 
Hollywood
 .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HABARI MBAYA KWA MASHABIKI WA LADY JAYDEE, YADAIWA NDOA YAKE NA GARDNER YAVUNJIKA.

Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua ak... thumbnail 1 summary

Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BBC YAZINDUA STUDIO ZAKE NCHINI, KIPINDI CHA ASUBUHI CHA AMKA NA BBC KURUKA MOJA KWA MOJA KUTOKEA DAR

Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya... thumbnail 1 summary
Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA HALMASHAURI ZA LINDI NA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi ... thumbnail 1 summary
Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERIKALI WILAYANI NGORONGORO YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA REDIO ZA KIJAMII‏

Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali akiwakaribisha wadau wa maendeleo ofisini kwake Loliondo waliongozwa na Afisa Miradi ya Mawas... thumbnail 1 summary
DSC_0019Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali akiwakaribisha wadau wa maendeleo ofisini kwake Loliondo waliongozwa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph (wa tatu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE NIKWELI JOKATE ANAPENDA KUIGA MASTAA WA MAMTONI?!!! CHEKI PICHA HIZI

Urembo ni kitu kizuri na kwenda na Fasheni ndio msingi wakuonekana HOT kila wakati...mwanadada Jokate hayuko nyuma kwenda sambamba na... thumbnail 1 summary


Urembo ni kitu kizuri na kwenda na Fasheni ndio msingi wakuonekana HOT kila wakati...mwanadada Jokate hayuko nyuma kwenda sambamba na wakali wa nje...big up!!!...Cheki picha hizi ujionee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNT EZEKIEL: NITAHAKIKISHA NAMPA PENZI MUME WA MTU MPAKA ACHANGANYIKIWE

Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye... thumbnail 1 summary
Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa mtu akisema hakuna ukweli wowote zaidi ya kutaka kuchafuliwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE MANYAUNYAU NI TAPELI: SHAHIDI AELEZEA JINSI WALIVYOTAPELIWA SH 29.6 MIL NA MGANGA HUYO

Dar es Salaam, Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia Sh29.6 milioni kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa jadi, Dunia Salu... thumbnail 1 summary

Dar es Salaam, Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia Sh29.6 milioni kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa jadi, Dunia Salumu (37) ‘Manyaunyau’ amedai kuwa walilazimika kuuza kiwanja na nyumba ya urithi kutafuta fedha za kununua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND HATARINI KUPEWA PENZI NA ANTI EZEKIEL, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Makubwa!  Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitway... thumbnail 1 summary

Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMATI YA MH WASIRA HATIMAYE YABARIKI ADHABU YA KIFO

LICHA ya sheria ya kunyonga kupigiwa kelele na jumuiya za kimataifa, wajumbe wa kamati namba sita ya Bunge Maalumu la Katiba wamepend... thumbnail 1 summary

LICHA ya sheria ya kunyonga kupigiwa
kelele na jumuiya za kimataifa, wajumbe
wa kamati namba sita ya Bunge Maalumu
la Katiba wamependekeza iendelee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAPAKISTANI WA UNGA WATOROKA NCHINI!

Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa  wakiwa  na  Watanzania  wanaotuhumiwa kwa kukutwa  na  ma... thumbnail 1 summary
Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa  wakiwa  na  Watanzania  wanaotuhumiwa kwa kukutwa  na  madawa ya kulevya wametoroka nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAITI YA MBONGO YAWEKWA MOCHWARI CHINI MIEZI 8

VILIO , majonzi vilitawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Agosti 7, mwaka huu kufuatia kuwasili kwa mwili wa ... thumbnail 1 summary
VILIO, majonzi vilitawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Agosti 7, mwaka huu kufuatia kuwasili kwa mwili wa mwanafunzi wa kidato cha nne, Habiba Yusuph Ally (24) aliyefariki dunia kwa kubakwa nchini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bunge kutumia zaidi ya Tsh milioni 142 kukodi vipaza sauti

Wakati kukiwa na malalamiko kwamba Bunge la maalumu la Katiba linagharimu fedha nyingi za walipakodi, uongozi wa taasisi hiyo umetumia ... thumbnail 1 summary
mic
Wakati kukiwa na malalamiko kwamba Bunge la maalumu la Katiba linagharimu fedha nyingi za walipakodi, uongozi wa taasisi hiyo umetumia Sh142.56 milioni kukodi vipaza sauti kutoka kituo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DJ Khaled, Chris Brown, Future, Jeremih, August Alsina wote ndani ya video moja…icheki hapa.

Siku moja tu baada ya kutoa audio ya Hold u down, Dj Khaleed ametoa video ya wimbo huo thumbnail 1 summary
djSiku moja tu baada ya kutoa audio ya Hold u down, Dj Khaleed ametoa video ya wimbo huo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkali wa movie Robin William akutwa amefariki ndani ya nyumba yake

Robin William ni star aliyeanza kupata mafanikio akifanya kazi kama stand up comedian na baadae kuanza kuonekana kwenye movie. thumbnail 1 summary
"robin<brRobin William ni star aliyeanza kupata mafanikio akifanya kazi kama stand up comedian na baadae kuanza kuonekana kwenye movie.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha nyingine ya Kim Kardashin na Kanye West inayopata likes nyingi hivi sasa.

Wiki chache zilizopita selfie aliyopiga Kim Kardashian wakati Kanye West amelala ilipata umaarufu mkubwa na kupata likes nyingi sana kw... thumbnail 1 summary
kim4
Wiki chache zilizopita selfie aliyopiga Kim Kardashian wakati Kanye West amelala ilipata umaarufu mkubwa na kupata likes nyingi sana kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashain.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ushahidi mwingine wa Chris Brown na Rihanna wapo karibu kurudiana

Baada ya siku moja tu Chris Brown ku-post poster la tour ya Rihanna na Eminem kwenye instagram, Chris Brown ameonekana kuendelea kuongeza... thumbnail 1 summary
chrisBaada ya siku moja tu Chris Brown ku-post poster la tour ya Rihanna na Eminem kwenye instagram, Chris Brown ameonekana kuendelea kuongeza ukaribu zaidi na Rihanna.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAARIFA YA KIFO KUTOKA YANGA SC

Marehemu  Maulid Kiula  enzi za uhai wake . Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa thumbnail 1 summary
Marehemu Maulid Kiula enzi za uhai wake.
Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mashabiki wa Lil Wayne, hii ni video mpya kwa ajili yenu – Krazy

Dwayne Carter ‘Lil Wayne’ ametoa video yake mpya ya wimbo wa Krazy. Location ya video hii thumbnail 1 summary
we
Dwayne Carter ‘Lil Wayne’ ametoa video yake mpya ya wimbo wa Krazy. Location ya video hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi ni picha mpya za Rihanna zinazo-trend kwenye mtandao hivi sasa

Rihanna ametokea kwenye cover la W Magazine akiwa na mavazi ya kiasili ya watu wanaoishi porini na nyingine akiwa na mavazi ya watu wanao... thumbnail 1 summary
0Rihanna ametokea kwenye cover la W Magazine akiwa na mavazi ya kiasili ya watu wanaoishi porini na nyingine akiwa na mavazi ya watu wanaoishi sehemu zenye baridi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wimbo mpya na kipande cha video kutoka kwa Dj Khaled ft Chris Brown

DJ Khaled ametoa wimbo mpya ambao amefanya collabo na Chris Brown, August Alsina, Jeremih pamoja na Future. Wimbo huu utakuwa kwenye alb... thumbnail 1 summary
dj
DJ Khaled ametoa wimbo mpya ambao amefanya collabo na Chris Brown, August Alsina, Jeremih pamoja na Future. Wimbo huu utakuwa kwenye album mpya ya DJ Khaled inayoitwa I

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE NA DIAMOND PLATINUMZ WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI

Kwa mara ya kwanza tangu walipomwagana, mastaa wawili Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wanadaiwa kuonean... thumbnail 1 summary

Kwa mara ya kwanza tangu walipomwagana, mastaa wawili Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wanadaiwa kuoneana aibu walipokutana laivu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: