December 11, 2016

Taarifa ya Lori la mafuta lililolipuka Kenya na kusababisha vifo

Lori la mafuta limelipuka nje ya mji wa Nivasha nchini Kenya usiku wa Jumamosi December 10 2016 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya... thumbnail 1 summary


Lori la mafuta limelipuka nje ya mji wa Nivasha nchini Kenya usiku wa Jumamosi December 10 2016 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Afande Sele: Darassa kawafunga mdomo waliosema hip hop imekufa!

Afande Sele katupa jiwe gizani ama kalitupa kwa hasimu wake Madee? Vyovyote vile, Mfalme huyo wa Rhymes amempongeza rapper Darassa kwa ku... thumbnail 1 summary

Afande Sele katupa jiwe gizani ama kalitupa kwa hasimu wake Madee? Vyovyote vile, Mfalme huyo wa Rhymes amempongeza rapper Darassa kwa kumuelezea kama mtu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwana FA aipa dole bifu ya Diamond na Ommy Dimpoz lakini…

Msanii wa muziki wa hip hop, Khamisi Mwinjuma, maarufu mwana FA amedai bifu kati ya Diamond na Ommy Dimpoz ni vitu ambavyo vinahitaji kwe... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa hip hop, Khamisi Mwinjuma, maarufu mwana FA amedai bifu kati ya Diamond na Ommy Dimpoz ni vitu ambavyo vinahitaji kwenye muziki kwa kuwa vinachangamsha game.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Watu 26 wauawa kufuatia shambulio la kigaidi nje ya uwanja wa soka Uturuki

Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo, Suleyman Soylu amesema shambulio hilo limefanywa na mtu aliyejitoa muhanga na kwamba polisi ... thumbnail 1 summary



Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo, Suleyman Soylu amesema shambulio hilo limefanywa na mtu aliyejitoa muhanga na kwamba polisi walikuwa wamelengwa zaidi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Watu 40 wapoteza maisha baada ya lori la mafuta kuwaka moto Kenya

Idadi ya watu waliopoteza maisha baada ya lori la mafuta kugonga magari kadhaa kabla ya kuwaka moto kwenye barabara ya Nairobi-Naivasha n... thumbnail 1 summary
Idadi ya watu waliopoteza maisha baada ya lori la mafuta kugonga magari kadhaa kabla ya kuwaka moto kwenye barabara ya Nairobi-Naivasha nchini Kenya, imeongezeka hadi kufika 40.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Young Dee afunguka tuhuma za kumtelekeza mtoto ‘Mtoto ni wangu nimempokea’

Uvumi huo ulikuwa zaidi baada ya rapa huyo kuhojiwa katika kipindi cha U-Heard cha Clouds FM juu ya tuhuma hizo na yeye kudai kuwa ... thumbnail 1 summary



Uvumi huo ulikuwa zaidi baada ya rapa huyo kuhojiwa katika kipindi cha U-Heard cha Clouds FM juu ya tuhuma hizo na yeye kudai kuwa hamtambui mwanamke huyo ambaye anadai amezaa naye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lady Jay Dee atumia EATV Awards kumtambulisha rasmi mume wake

Msanii mkongwe wa muziki Lady Jay Dee ameutumia usiku wa EATV Awards 2016 kumtambulisha rasmi mbele ya mashabiki mwanaume ambaye anadaiwa... thumbnail 1 summary
Msanii mkongwe wa muziki Lady Jay Dee ameutumia usiku wa EATV Awards 2016 kumtambulisha rasmi mbele ya mashabiki mwanaume ambaye anadaiwa kuwa ni mume wake.
Lady Jay Dee akipongezwa na mume wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA PICHA MAZOEZI MAGUMU YA WANAJESHI WA NCHI MBALIMBALI

Mazoezi kwa wanajeshi ni kitu cha muhimu sana. Majeshi duniani huhakikisha kuwa wanawafunza wanajeshi wao mafunzo ya kuikakamavu kuweza k... thumbnail 1 summary
Mazoezi kwa wanajeshi ni kitu cha muhimu sana. Majeshi duniani huhakikisha kuwa wanawafunza wanajeshi wao mafunzo ya kuikakamavu kuweza kuwajenga kimwili na kiakili ili kuweza kupambana na hali tofauti tofauti wanazokumbana nazo wakiwa vitani au katika mazingira mengine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA==> MELI YENYE MALORI 600 YA KIWANDA CHA DANGOTE YAWASIRI MTWARA

Mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote jana alipokuwatana na kufanya mazungumzo na Rais Dk Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam alimthibitis... thumbnail 1 summary
Mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote jana alipokuwatana na kufanya mazungumzo na Rais Dk Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam alimthibitishia kuwa hana lengo la kufunga kiwanda chake kama inavyodaiwa badala yake anatafuta fursa nyingine za kuwekeza hapa nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OMMY DIMPOZ AONYESHA KEJELI BAADA YA TUZO ZA EATV TAZAMA VIDEO HII HAPA

Kama ujuavyo kuwa hivi sasa hakuna kificho kuwa wasanii Ommy Dimpoz naAlikiba wamekuwa maswahiba hasa baada ya kufanya kazi ya pamoja walio... thumbnail 1 summary
Kama ujuavyo kuwa hivi sasa hakuna kificho kuwa wasanii Ommy Dimpoz naAlikiba wamekuwa maswahiba hasa baada ya kufanya kazi ya pamoja walioipa jina"KAJIANDAE" kazi hiyo imewafanya wawe karibu zaidi huku hali ya urafiki wake na Diamond Platnumz ukipungua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RICH MAVOKO AITIKISA ESCAPE ONE NDANI YA JUKWAA LA AFTER SKUL BASH 2016

Kama ulikuwa umepitwa kwasababu ya kuwa na mambo mengi ya hapa na pale leo hii Decemba 10 lile Tamasha kubwa la Wanafunzi lijulikanalo kama... thumbnail 1 summary
Kama ulikuwa umepitwa kwasababu ya kuwa na mambo mengi ya hapa na pale leo hii Decemba 10 lile Tamasha kubwa la Wanafunzi lijulikanalo kama After School Bash linaendelea Escape One jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alichokiandika Young D kuhusu zile stori za kudaiwa kumkataa mtoto wake

Baada ya headlines katika mitandao ya kijamii kuhusiana msanii wa Bongofleva Young D ambaye kwa sasa ameziteka Tv&Radio Stations ... thumbnail 1 summary


Baada ya headlines katika mitandao ya kijamii kuhusiana msanii wa Bongofleva Young D ambaye kwa sasa ameziteka Tv&Radio Stations nyingi kutokana na wimbo wake ‘Furaha’, kudaiwa kumtelekeza mtoto wake, December 10 2016 ametumia account yake ya instagram kuelezea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Label ya ‘We The Best’ ya Nigeria ipo tayari kumsaini msanii huyu kutoka Tanzania

Bongofleva inazidi kwenda kimataifa zaidi, nimeipata hii good news inayomhusu msanii kutoka Bongofelavani, Tammy The Baddest ambaye amekaa ... thumbnail 1 summary
Bongofleva inazidi kwenda kimataifa zaidi, nimeipata hii good news inayomhusu msanii kutoka Bongofelavani, Tammy The Baddest ambaye amekaa kwenye Exclusive interview na AyoTV na millardayo.com na ametueleza kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sikutoa 'Muziki' kumfunika mtu - Darassa

Nyota wa hip hop katika anga la bongo Fleva, Darassa amesema hakutoa ngoma mpya inayokwenda kwa jina la 'Muziki' kwa lengo la kufun... thumbnail 1 summary
Nyota wa hip hop katika anga la bongo Fleva, Darassa amesema hakutoa ngoma mpya inayokwenda kwa jina la 'Muziki' kwa lengo la kufunika ngoma ya mtu mwingine bali ni kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa ajamii n kuwaburudisha mashabiki wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkongwe wa Arsenal Ametaja Anachoamini Kinamsumbua Jose Mourinho Man United

Kiungo na mkongwe wa zamani wa Arsenal Patrick Vieira ameweka wazi mtazamo wake kuhusu mwenendo wa Man United na Jose Mourinho wa kutopat... thumbnail 1 summary
Kiungo na mkongwe wa zamani wa Arsenal Patrick Vieira ameweka wazi mtazamo wake kuhusu mwenendo wa Man United na Jose Mourinho wa kutopata matokeo mazuri, Vieira amewahi kufundishwa na kufanya kazi na Jose Mourinho kati ya mwaka 2008/10 wakiwa Inter Milan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mzee aliyeweka tangazo la kutafuta mke afunguka sababu ya kufanya hivyo

Mzee Athumani Bakari Mchambwa (76) aliyeweka tangazo la kutafuta mke maeneo ya Mtoni Mtongani, Dar es Salaam amefunguka sababi ya kufanya... thumbnail 1 summary
Mzee Athumani Bakari Mchambwa (76) aliyeweka tangazo la kutafuta mke maeneo ya Mtoni Mtongani, Dar es Salaam amefunguka sababi ya kufanya hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali ya china kujenga uwanja wa michezo Chalinze

Serikali ya china imetoa ufadhili wa ujenzi wa uwanja wa Michezo kwashule ya msingi msoga iliyopo halmashauri ya wilaya ya chalinze. thumbnail 1 summary
Serikali ya china imetoa ufadhili wa ujenzi wa uwanja wa Michezo kwashule ya msingi msoga iliyopo halmashauri ya wilaya ya chalinze.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Red Carpet ‘Usiku wa Tuzo za EATV’ – Mlimani City

Wasanii wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali wa burudani nchini wamejitokeza kwa wingi katika usiku huu wa Tuzo za EATV hapa Mliman... thumbnail 1 summary
Wasanii wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali wa burudani nchini wamejitokeza kwa wingi katika usiku huu wa Tuzo za EATV hapa Mlimani City jijini Dar es salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Hawa ni washindi wa tuzo za EATV 2016, Alikiba akomba tuzo 3

Mwanamuziki Alikiba ndiye msanii aliyejishindia tuzo nyingi katika usiku wa Tuzo za EATV 2016 zilizofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki Alikiba ndiye msanii aliyejishindia tuzo nyingi katika usiku wa Tuzo za EATV 2016 zilizofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Alikiba akitoa neno la shukrani kwa mashabiki wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Man City yachezea kichapo King Power Stadium dhidi ya Leicester City

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England Leicester City bado wameendeleza utamaduni wao wa kuwashangaza wengi, kama ilivyokuwa msimu uli... thumbnail 1 summary


Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England Leicester City bado wameendeleza utamaduni wao wa kuwashangaza wengi, kama ilivyokuwa msimu uliyopita walivyoishangaza dunia kwa kuchukua taji la EPL kwa mara ya kwanza katika historia yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 15: Kilivyo-happen After Skul Bash 2016 Escape One

Jumamosi ya December 10 2016 Escape One Mikocheni ndio ile siku ambayo After Skul Bash 2016 ilifanyika, After Skul Bash ni party amba... thumbnail 1 summary


Jumamosi ya December 10 2016 Escape One Mikocheni ndio ile siku ambayo After Skul Bash 2016 ilifanyika, After Skul Bash ni party ambayo inafanyika kila mwaka kwa ajili ya wanafunzi ambao wanakuwa wamerudi home likizo baada ya kupiga kitabu mwaka mzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania December 11, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo

December 9 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na ... thumbnail 1 summary


December 9 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: