December 11, 2016

Watu 26 wauawa kufuatia shambulio la kigaidi nje ya uwanja wa soka Uturuki

Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo, Suleyman Soylu amesema shambulio hilo limefanywa na mtu aliyejitoa muhanga na kwamba polisi ... thumbnail 1 summary



Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo, Suleyman Soylu amesema shambulio hilo limefanywa na mtu aliyejitoa muhanga na kwamba polisi walikuwa wamelengwa zaidi.


Milipuko hiyo imetokea masaa mawili baada ya mechi ya timu za soka za Besiktas na Bursaspor.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments