June 21, 2014

TAZAMA PICHA 30 ZA YALIYOJIRI MISS KANDA YA KATI ILIYOFANYIKA DODOMA, MISS SINGIDA AIBUKA MSHIND

Adelaida kushoto, Dorice katikatik (Mshindi) na Zena kulia wakiwa katika picha ya pamoja Mashindano ya kumtafuta mrembo wa Ka... thumbnail 1 summary

Adelaida kushoto, Dorice katikatik (Mshindi) na Zena kulia wakiwa katika picha ya pamoja

Mashindano ya kumtafuta mrembo wa Kanda ya kati yamefanyika usiku wa kuamkia leo tar. 21.06.2014 katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma ambapo mshindi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAWA NDIO WAZAZI WA MISS TANZANIA 2013 -2014 HAPINESS WATIMANYWA

HAWA NDIO WAZAZI WA MISS TANZANIA WALIHUDHURIA KWENYE MASHINDANI YA MISS KANDA YA KATI YALIYOFANYIKA MJINI DODOMA AMBAPO BINTI YAO AMBAYE... thumbnail 1 summary

HAWA NDIO WAZAZI WA MISS TANZANIA WALIHUDHURIA KWENYE MASHINDANI YA MISS KANDA YA KATI YALIYOFANYIKA MJINI DODOMA AMBAPO BINTI YAO AMBAYE NI MISS TANZANIA 2013 - 2014  ALIKUWA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA KAWAIDA YAKE MZEE WA MAAMUZI MAZITO ATOA JIPYA TENA

Monduli.  Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka ... thumbnail 1 summary
Monduli. Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji  yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 10,000,  ambayo hayajaendelezwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII APATWA NA GONJWA LA AJABU

Stori: waandishi wetu Oooh God!  Mwigizaji wa kitambo kwenye tasnia ya maigizo Bongo, Augustino Mathias ‘Tino Madhahabu’ anasumbuliwa n... thumbnail 1 summary
Stori: waandishi wetu
Oooh God! Mwigizaji wa kitambo kwenye tasnia ya maigizo Bongo, Augustino Mathias ‘Tino Madhahabu’ anasumbuliwa na gonjwa baya la moyo kwa zaidi ya miaka 7 akiwa hana msaada wowote kutoka kwa wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NI KWA WALAJI WOTE WA KUKU WA KISASA, WANA HATARI FAHAMU HAPA

Wataalamu wadai ni chanzo kikubwa ongezeko la saratani Ulaji wa kuku wa kisasa  au broila’ umeelezwa na wataalamu kuwa ni c... thumbnail 1 summary

Wataalamu wadai ni chanzo kikubwa ongezeko la saratani

Ulaji wa kuku wa kisasa  au broila’ umeelezwa na wataalamu kuwa ni chanzo kikubwa cha ongezeko la maradhi ya saratani nchini.


Kitoweo hicho kinasababisha kansa kwa vile ndege hao hulishwa vyakula kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHUHUDIA JOSE MOURINHO AKIMWAGA MACHOZI NCHINI IVORY COAST

Manager ambae analipwa kiasi kikubwa sana cha pesa kuliko managers wengine wa “England Premier League” (EPL) wa timu ya ‘Chelsea FC’ ya ... thumbnail 1 summary
20140619-183259-66779204.jpg
20140619-183207-66727232.jpg
Manager ambae analipwa kiasi kikubwa sana cha pesa kuliko managers wengine wa “England Premier League” (EPL) wa timu ya ‘Chelsea FC’ ya mjini London nchini England ‘Jose Mourinho’, hivi karibuni alitoa machozi baada ya kutembelea nchini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA NCHINI YAFANA CHUO CHA UKONGA DAR!

Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu. thumbnail 1 summary

Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATATU WAJERUHIWA KWA RISASI ZA MOTO BAADA YA KUKUTWA WAKICHEZA NGOMA ZA VIGODORO

Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na... thumbnail 1 summary
Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma maarufu za Kigodoro, ambazo tayari zimekwishapigwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUA PUNYETO NA ATHARI ZAKE

Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi ... thumbnail 1 summary

Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo
cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe
kileleni kwa kujichua uume hadi
kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi
unaonyesha katika watu wa jinsia ya
kiume kumi wenye umri wa kuanzia
miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Msiba mkubwa wawapata Yaya na Kolo Toure wakiwa nchini Brazil

Masaa kadhaa baada ya timu ya Ivory Coast kupokea kipigo cha magoli 2-1 kutoka kwa Colombia thumbnail 1 summary


article-0-1EC70F5000000578-221_634x444Masaa kadhaa baada ya timu ya Ivory Coast kupokea kipigo cha magoli 2-1 kutoka kwa Colombia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unataka kujua Marcio Maximo anatua lini Yanga – taarifa hii hapa

Maandalizi ya msimu wa ligi kuu ya Tanzania yameanza kupamba moto huku vilabu vikijaribu kujiimarisha tayari kwa mapambano, kwa upan... thumbnail 1 summary


417570_heroaMaandalizi ya msimu wa ligi kuu ya Tanzania yameanza kupamba moto huku vilabu vikijaribu kujiimarisha tayari kwa mapambano, kwa upande wa klabu ya Yanga wameanza kwa kuimarisha benchi la ufundi kwa kumuajiri kocha Marcio Maximo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UWIIII....MAMA YAKE KIM K NAYEAFANYA YALE ALIYOFANYA MWANAE. NAYE AAMUA KUJIACHIA MTUPU

Baada ya Kim K kufanya mambo yake jana na kulaumiwa na watu sana kwa kuyaachia mati*ti yake hadharani sasa mama yake naye kajibu ... thumbnail 1 summary

Baada ya Kim K kufanya mambo yake jana na kulaumiwa na watu sana kwa kuyaachia mati*ti yakehadharani sasa mama yake naye kajibu mapigo zaidi. Zoezi lake allianzia kwenye bwawa la kuogele na hatimaye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOTO WAZUA BALAA CHUO KIKUU DOOMA UDOM ....

Moto uhuu umezuka  karibu na hostel za mabinti katika skuli ya sanaa na lugha (humanities), chanzo cha moto huo hakijajulikana m... thumbnail 1 summary
Moto uhuu umezuka  karibu na hostel za mabinti
katika skuli ya sanaa na lugha (humanities), chanzo cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NI LAAAAANA:SHOGA HUYU ATUPIA PICHA MTANDAONI AMEVAA NGUO ZA KIKE VIATU NA POCHI LA KIKE

      katika kile kinachoonyesha kuwa maadili africa yanazidi kumomonyoka, wanaume wengi wamezidi kujiingiza katika vitendo vya kisho... thumbnail 1 summary
 
  katika kile kinachoonyesha kuwa maadili africa yanazidi kumomonyoka, wanaume wengi wamezidi kujiingiza katika vitendo vya kishoga ambapo michezo hii imezidi kukua kwa kasi sana sana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZEE WA UPAKO AMPA MAKAVU LIVE MCHUNGAJI GWAJIMA ...!

Mzee wa Upako Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui thumbnail 1 summary
Mzee wa Upako
Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAFSA KAZINJA ABADILI DINI, KISA MASHETANI..

Mwanamuziki  Hafsa Kazinja anayetamba na Wimbo wa Mlala Nje huku video yake ikiwa tayari, ameamua kuikacha dini yake ya Kiislam na k... thumbnail 1 summary

Mwanamuziki Hafsa Kazinja anayetamba na Wimbo wa Mlala Nje huku video yake ikiwa tayari, ameamua kuikacha dini yake ya Kiislam na kuhamia kwenye Ukristo. Hafsa alisema alifikia uamuzi huo baada

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKUBWA TU: UMUHIMU WA KISIMI WAKATI WA KUPEANA URODA

Wataalamu wa sayansi ya mapenzi wamegundua kuwa ni asilimia kati ya 20-22 ya wanawake wanaoweza kufika kileleni kwa kuingiliwa kwa... thumbnail 1 summary



Wataalamu wa sayansi ya mapenzi wamegundua kuwa ni asilimia kati ya 20-22 ya wanawake wanaoweza kufika kileleni kwa kuingiliwa kwa njia ya kawaisa(kulenga kwenye tundu la uzazi peke yake) jambo ambalo linaweza kumfanya mke apate

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SALAMA JABIL ADATA KIMAPENZI KWA MCHEZAJI WA KIMATAIFA SOMA HAPA

oooh salama amekaa kidumedume nani kasema, ebwana kumbe umzaniaye sie bhana,  mtangazaji maarufu wa kipindi cha mkasi salama jabi... thumbnail 1 summary


oooh salama amekaa kidumedume nani kasema, ebwana kumbe umzaniaye sie bhana,  mtangazaji maarufu wa kipindi cha mkasi salama jabir hii leo kaonyesha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MMMMH JE HIII NI KWELI AU NDO MAMBO YA MUVI?

......sasa unaweza kumbusu bibi harusi! thumbnail 1 summary
......sasa unaweza kumbusu bibi harusi!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSICHANA ALIYEPIGWA NA CHID ATIMKIA SAUZI

MSICHANA  aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini ... thumbnail 1 summary
MSICHANA aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini kuishi kwa muda.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DEVOTHA AUNGA MKONO UTABIRI VIFO VYA WASANII

MSANII  wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ambaye ni Katibu wa Klabu ya Bongo Movie Unity, amesema anayaamini maneno ya watabiri kwa kuwa wanayo... thumbnail 1 summary
MSANII wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ambaye ni Katibu wa Klabu ya Bongo Movie Unity, amesema anayaamini maneno ya watabiri kwa kuwa wanayoongea mara nyingi huwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHECK VIDEO HII ILITOKOSA MAADIL

  Model maarufu huko nchini Kenya mwenye kila aina ya vituko vyake, ameonekana akiwa anafanya photoshoot huku amevalia bikini tu, huku seh... thumbnail 1 summary

http://photos-d.ak.instagram.com/hphotos-ak-xfp1/10362349_638930162856171_1784269114_n.jpg 
Model maarufu huko nchini Kenya mwenye kila aina ya vituko vyake, ameonekana akiwa anafanya photoshoot huku amevalia bikini tu, huku sehemu kubwa ya maungo yake yakiwa nje wakati huo huo yeye mwenyewe akiwa very confortable, kweli kila mtu na kazi yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vitambulisho vya kura kutolewa upya.....Vituo 40,015 kutumiwa kuwaandikisha upya Watanzania, Wenye miaka 17 Ruksa kujiandikisha

VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wap... thumbnail 1 summary
VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya, utakaotekelezwa Septemba mwaka huu, utagharimu Sh bilioni 293 .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabil... thumbnail 1 summary

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKATI MBASHA AKIWA HURU KWA DHAMANA, GWAJIMA ASEMA MAZITO KUHUSU SAKATA HILO!

WAKATI  mume wa mwimba Injili Bongo,  Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, ... thumbnail 1 summary
WAKATI mume wa mwimba Injili Bongo,  Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima ameibuka na kunena mazito kuhusiana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: