March 26, 2016

MUFTI WA TANZANIA AMUOMBEA DUA PAUL MAKONDA LEO NYUMBANI KWAKE

MUFTI wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubery amemuombea dua, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Rais Dk. John Magufuli ili waweze kul... thumbnail 1 summary

makonda na Masheikh

MUFTI wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubery amemuombea dua, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Rais Dk. John Magufuli ili waweze kulitumikia vema taifa na kuliletea maendeleo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ABDILLAHIE YUSUFU MTANZANIA ANAYE ‘TESA’ LIGI YA ENGLAND

Abdilahie Yusufu Mtanzania anaye kipiga Ligi ya England kimya kimya. Alianza kucheza katika ‘Academy’ ya Leicester city mwaka 2008-20... thumbnail 1 summary
Abdilahie Yusufu Mtanzania anaye kipiga Ligi ya England kimya kimya.
Alianza kucheza katika ‘Academy’ ya Leicester city mwaka 2008-2011 lakini alishindwa kupata nafasi mwaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

wimbo mpya wa YEMI ALADE utaza,e hapa

Baada ya kufanya vizuri katika Hit single ya ‘Na Gode’ Staa kutoka Nigeria Yemi Aladeametualika tena kuutazama mdundo thumbnail 1 summary

Baada ya kufanya vizuri katika Hit single ya ‘Na Gode’ Staa kutoka Nigeria Yemi Aladeametualika tena kuutazama mdundo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wachezaji wanne wa FC Barcelona wanaoongoza kwa kuchelewa mazoezini, hii ndio faini yao

Kocha wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Enrique ameweka utaratibu kwa wachezaji wa klabu hiyo kupigwa faini kama hawatakuwa na ut... thumbnail 1 summary
Kocha wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Enrique ameweka utaratibu kwa wachezaji wa klabu hiyo kupigwa faini kama hawatakuwa na utamaduni wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Usitarajie kumuona Ibrahimovic Man United kama mambo yataendelea kuwa hivi …

March 25 starsport wamerudisha jina la Zlatan Ibrahimovic kwenye headlines za kutaka kujiunga na klabu ya Man United ya Uingereza akitoke... thumbnail 1 summary
March 25 starsport wamerudisha jina la Zlatan Ibrahimovic kwenye headlines za kutaka kujiunga na klabu ya Man United ya Uingereza akitokea Paris Saint Germain yaUfaransa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 10: za ajali nyingine iliyotokea Kimara Dar es salaam usiku wa March 25

Ikiwa zimepita wiki mbili tangu kutokea kwa ajali Kimara Dar es salaam, Usiku wa March 25 kumetokea ajali nyingine Kimara Baruti ambapo ... thumbnail 1 summary
Ikiwa zimepita wiki mbili tangu kutokea kwa ajali Kimara Dar es salaam, Usiku wa March 25 kumetokea ajali nyingine Kimara Baruti ambapo basi la Princes Muro lenye usajili namba T 551 BQP limevamia kituo kipya cha abiria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 26 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo

March 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnew... thumbnail 1 summary
March 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: