May 08, 2015

BABA WA MAYWEATHER AMKEJELI PACQUIAO NA SHAIRI LA USHINDI

Floyd Mayweather katika pozi na baba yake mzazi. BABA wa bondia Floyd Mayweather ameamua naye kumrushia ‘makonde’ Pacquiao, lakini kwa... thumbnail 1 summary
Floyd Mayweather katika pozi na baba yake mzazi.

BABA wa bondia Floyd Mayweather ameamua naye kumrushia ‘makonde’ Pacquiao, lakini kwa njia ya mashairi ambapo amesema ameshindwa kwa vile mwalimu wake wa ndondi hajui lolote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hospitali imeamua hivi kuhusu afya ya mkongwe wa soka duniani Pele..

Baada ya aliyekuwa nyota wa timu ya Taifa ya Brazil Edson Arantes do Nascimentomaarufu kama Pele kuugua kwa muda wa miezi sita, hatimay... thumbnail 1 summary

Baada ya aliyekuwa nyota wa timu ya Taifa ya Brazil Edson Arantes do Nascimentomaarufu kama Pele kuugua kwa muda wa miezi sita, hatimaye uongozi wa hospitali yaSao Paulo, Brazil imefikia maamuzi ili kuokoa maisha yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hongera kwa Chelsea Ubingwa wa Ligi Kuu England, kocha bora je???

Ukiizungumzia Chelsea kwa sasa ndio klabu bora kwenye ligi kuu ya England baada ya kutwaa kombe hilo msimu huu na kutangazwa kuwa mac... thumbnail 1 summary


Ukiizungumzia Chelsea kwa sasa ndio klabu bora kwenye ligi kuu ya England baada ya kutwaa kombe hilo msimu huu na kutangazwa kuwa machampion wapya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa wanaodata na gari za Rolls Royce, hili ni lao kwenye toleo jipya !!

Rolls-Royce ni moja ya magari ya kifahari ambayo mimi nimezoea kuyaona tu kwenye video za Mastaa wakubwa wa muziki duniani na ni moja... thumbnail 1 summary


Rolls-Royce ni moja ya magari ya kifahari ambayo mimi nimezoea kuyaona tu kwenye video za Mastaa wakubwa wa muziki duniani na ni moja ya magari nadra SANA kukutana nayo mitaani hapa Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hapa Nimeweka Taarifa ya Wizara ya Mawasiliano Kuhusu Sheria Ya Makosa ya Mitandao kuanza Kutumika

Ndugu Wananchi, Ndugu Waandishi wa Habari, Kukua kwa kasi kwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kumeleta m... thumbnail 1 summary
Ndugu Wananchi,

Ndugu Waandishi wa Habari,

Kukua kwa kasi kwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kumeleta mafanikio mengi katika nyanja mbalimbali za maisha ya kila siku. Mafanikio haya yanathibitika kwa kuongezeka kwa huduma za mawasiliano, huduma za kifedha na matumizi ya mitandao ya kijamii. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tofauti ya Askari Wetu na Wenzetu..Katika Majanga ya Mafuriko

Askari Wetu Wakisaidiwa Kuvuka Maji  thumbnail 1 summary
Askari Wetu Wakisaidiwa Kuvuka Maji 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HOW three Women KIDNAPPED, RAPED and stole SPERMS from a man at Gunpoint

A man was kidnapped and raped at gunpoint by three women who wanted to harvest his semen. thumbnail 1 summary
A man was kidnapped and raped at gunpoint by three women who wanted to harvest his semen.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking News! Jerry Muro Apigwa Faini Milioni 5,kwa Kosa Lipi ?, Soma Hapa…..

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni t... thumbnail 1 summary
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Jerry Muro kwa kutoa kauli za chuki, kisirani na uchochezi dhidi ya uongozi wa Bodi ya Ligi (TPLB) nchini na TFF.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Kikwete Amesaini Rasmi Sheria Yenye Utata ya Makosa Mitandaoni, Kuanzia Sasa Itaanza Kutumika..

Rais Jakaya Kikwete tayari ameshasaini sheria yenye utata ya makosa ya mtandao na muda wowote kuanzia sasa itaanza kutumika rasmi thumbnail 1 summary
Rais Jakaya Kikwete tayari ameshasaini sheria yenye utata ya makosa ya mtandao na muda wowote kuanzia sasa itaanza kutumika rasmi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Salman Khan Wa BollyWood Ahukumiwa Jela Miaka 5 Kwa Mauaji !!

Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan. Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan am... thumbnail 1 summary

Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan.
Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BONGO MOVIE WAMLIZA MAMA LORAA!

Baadhi ya mastaa wa tasnia ya sinema za Kibongo wanaounda Klabu ya Bongo Movie, wamemliza laivu mlezi wao ambaye amekuwa akiwasapoti kwa ... thumbnail 1 summary
Baadhi ya mastaa wa tasnia ya sinema za Kibongo wanaounda Klabu ya Bongo Movie, wamemliza laivu mlezi wao ambaye amekuwa akiwasapoti kwa hali na mali, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’ baada ya kumuangushia bonge la pati la kushtukiza (suprise) ambalo hakulitarajia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM Kumtosa Lowassa Urais 2015 , Kumzawadia Uwaziri Mkuu Kumpoza

Tetesi: Habari kutoka duru za siasa za CCM zinadai kwamba CCM wamepanga kumtosa rasmi Lowasa kwenye mbio za urais ila watampoza kwa kumua... thumbnail 1 summary
Tetesi:
Habari kutoka duru za siasa za CCM zinadai kwamba CCM wamepanga kumtosa rasmi Lowasa kwenye mbio za urais ila watampoza kwa kumuahidi cheo cha uwaziri mkuu. Habari za kuaminika kutoka kada maarufu wa CCM anayehudumu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mafuriko Yaua Watu Jijini Dar, Nyumba Kibao Zafunikwa......Katapila latumika Kuokoa Watu

Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo tangu juzi imesababisha vifo vya watu watano huku mamia wakikosa makazi baada ya nyumba z... thumbnail 1 summary
Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo tangu juzi imesababisha vifo vya watu watano huku mamia wakikosa makazi baada ya nyumba zao kubomolewa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madansa Wanne wa Diamond Wamejenga Nyumba Kupitia Muziki Wake

Si Diamond pekee anayenufaika na muziki wake – hata madensa wake pia. Diamond amesema madansa wake wanne tayari wamefanikiwa kujenga nyum... thumbnail 1 summary
Si Diamond pekee anayenufaika na muziki wake – hata madensa wake pia.
Diamond amesema madansa wake wanne tayari wamefanikiwa kujenga nyumba zao kutokana na kipato wanachopata.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tunampenda TID, Tumsaidie Kumtoa Kwenye Matumizi ya Unga – Q-Chief

Q-Chief amedai kuwa ni muhimu jitihada zikafanyika na wadau mbalimbali ili kumuokoa TID kutoka kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kul... thumbnail 1 summary
Q-Chief amedai kuwa ni muhimu jitihada zikafanyika na wadau mbalimbali ili kumuokoa TID kutoka kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

THEA AMKANA MUMEWE MIKE LIVE, AFUNGUKA MAZITO!

Msanii wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Ndumbangu Mesayo ‘Thea’ amefungua kinywa kwa mara ya kwanza kuwa, hivi sasa hana wala h... thumbnail 1 summary
Msanii wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Ndumbangu Mesayo ‘Thea’ amefungua kinywa kwa mara ya kwanza kuwa, hivi sasa hana wala hahitaji kabisa mpenzi na hapendi kukumbuka chochote kilichopita katika maisha yake ya kimapenzi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUFUATIA SKENDO CHAFU: MKURUGENZII WA VODACOM TANZANIA AJIUZULU!

Tenders resignation letter this morningFeared he may flee the country to avoid prosecution Sources reveal how Vodacom Tanzania MD met m... thumbnail 1 summary
Tenders resignation letter this morningFeared he may flee the country to avoid prosecution
Sources reveal how Vodacom Tanzania MD met more than 10 times with Tanil Somaiya, Rostam .Aziz to negotiate $5 million kickback

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUKU DIAMOND AKITANGAZA NDOA NA KUSUBIRI KUPOKEA MTOTO ZARI, PEDESHEE KATUNZI LAIVU!

KABAAANG! Wakati supastaa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitembea kifua mbele huku akijinasibu kuwa anasubiri kwa hamu kupata mtoto kutok... thumbnail 1 summary
KABAAANG! Wakati supastaa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitembea kifua mbele huku akijinasibu kuwa anasubiri kwa hamu kupata mtoto kutoka kwa mchumba wake, Zarinah Hassan ‘Zari’, imevuja picha inayomuonesha laivu mwandani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nchi hii ya Afrika Yapiga Marufuku Matumizi ya Mkorogo!

Ivory Coast imepiga marufuku uigizwaji uuzaji na usambazaji wa bidhaa zozote zenye uwezo wa kuchubua rangi ya ngozi ya binadamu .  thumbnail 1 summary
Ivory Coast imepiga marufuku uigizwaji uuzaji na usambazaji wa bidhaa zozote zenye uwezo wa kuchubua rangi ya ngozi ya binadamu . 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA TENA: Kiongozi Mwingine ang'olewa madarakani kwa tuhuma za usaliti!

Bundi atua tena Chadema. Wamtimua tena Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Bw.Ally Kisala. Sasa ni wazi kuwa Chadema ni Bomba bovu. ... thumbnail 1 summary

Bundi atua tena Chadema.
Wamtimua tena Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Bw.Ally Kisala. Sasa ni wazi kuwa Chadema ni Bomba bovu. Kila kilizibwa upande huu linafumuka upande ule.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UCHAGUZI MKUU 2015: CCM HOFU TELE!

Ni dhahiri kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeingiwa hofu inayokifanya kishindwe kutangaza mchakato na ratiba za vikao vya uteuzi wa ... thumbnail 1 summary

Ni dhahiri kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeingiwa hofu inayokifanya kishindwe kutangaza mchakato na ratiba za vikao vya uteuzi wa wagombea wake wakiwamo wa urais na ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Reasons why Men Are Poor in Bed, Kiss TV’s Angeline Wanjeri Says, Ladies, Do You Agree?

Bootylicious Kiss TV’s host, Angeline Wanjeri, has blasted Kenyan men by claiming that they are poor in bed. thumbnail 1 summary
Bootylicious Kiss TV’s host, Angeline Wanjeri, has blasted Kenyan men by claiming that they are poor in bed.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: