December 19, 2016

Real Madrid ya twaa kombe la klabu bingwa duniani

Real ilipata goli lake la kwanza kunako dakika ya tisa kupitia mshambuliaji Karim Benzema, lakini Gaku Shibasaki alifunga mabao mawili ... thumbnail 1 summary

Real ilipata goli lake la kwanza kunako dakika ya tisa kupitia mshambuliaji Karim Benzema, lakini Gaku Shibasaki alifunga mabao mawili katika kipindi cha kwanza na cha pili na kuiweka mbele Kashima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nay Wa Mitego Na Madai Ya Kuwa na Nyumba ya Milioni 300 Tabata, Sikiliza Hapa

Wasikilize hapa Watangazaji wa Clouds FM Kina Adam Mchomvu wakibishana na Nay wa Mitego baada ya kusema anajenga nyumba ya milioni 300 in... thumbnail 1 summary
Wasikilize hapa Watangazaji wa Clouds FM Kina Adam Mchomvu wakibishana na Nay wa Mitego baada ya kusema anajenga nyumba ya milioni 300 inayofanana na ile ya Diamond Platnumz ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Kama ulikosa kucheki game ya Man City vs Arsenal, magoli yapo hapa

Jumapili ya December 18 2016 Ligi Kuu England ilipigwa Big Match kati ya Man City dhidi ya Arsenal katika uwanja wa Etihad, mchezo ul... thumbnail 1 summary


Jumapili ya December 18 2016 Ligi Kuu England ilipigwa Big Match kati ya Man City dhidi ya Arsenal katika uwanja wa Etihad, mchezo ulichezwa na Man City walifanikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUDIO: Anachokumbuka Darassa sekunde chache kabla ya kupata ajali, yeye ndio alikuwa anaendesha

Msanii wa Bongofleva Darassa Jumapili ya December 18 2016 akiwa njiani kutokea Kahama Shinyanga kuelekea Kakola Geita, amepata ajali ... thumbnail 1 summary


Msanii wa Bongofleva Darassa Jumapili ya December 18 2016 akiwa njiani kutokea Kahama Shinyanga kuelekea Kakola Geita, amepata ajali ya gari akiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Alivyotangazwa mshindi wa Miss World 2016, nchi moja ya Afrika imeingia TOP 5

December 18 2016 Washington Marekani ndio siku ambayo fainali ya shindano la Miss World 2016 lilifanyika, shindano hilo lilifanyika n... thumbnail 1 summary


December 18 2016 Washington Marekani ndio siku ambayo fainali ya shindano la Miss World 2016 lilifanyika, shindano hilo lilifanyika na Miss Puerto Rico kuibuka mshindi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha/Video: Darassa, Hanscana wanusurika kwenye ajali mbaya ya gari

Rapper Darassa, muongozaji wa video za muziki nchini, Hanscana na watu wengine wawili, wamenusurika kwenye ajali mbaya ya gari wakati wakiw... thumbnail 1 summary
Rapper Darassa, muongozaji wa video za muziki nchini, Hanscana na watu wengine wawili, wamenusurika kwenye ajali mbaya ya gari wakati wakiwa njiani wakitokea Kahama mkoani Shinyanga kwenda Kakola mkoani humo kwaajili ya show.

Gari namba T503 DGQ mali ya Hanscana ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali

Hakuna aliyeumiwa kwenye ajali hiyo iliyotokea mchana wa Jumapili (December 18), ingawa gari hiyo inayomilikiwa na Hanscana imeharibika vibaya. Kwa mujibu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha ya Alikiba na mdogo wake Zari yazua kasheshe mtandaoni

Mdogo wake Zari The Bosslady, Zuleha amezua kasheshe mtandaoni baada ya kupost picha akiwa na Alikiba. Wawili hao walikutana jijini Kampala... thumbnail 1 summary
Mdogo wake Zari The Bosslady, Zuleha amezua kasheshe mtandaoni baada ya kupost picha akiwa na Alikiba. Wawili hao walikutana jijini Kampala, ambako Alikiba alienda kwaajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la Blankets and Wines.


Zuleha ambaye ni tumbo moja na Zari, alipost picha hiyo akiwa na Alikiba Instagram, na kuandika: With the one and only @officialalikiba, c u at blankets and wines.”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Daddy Mashona baada ya kufanya vizuri na ‘Falling In Love’ akiwa Soprano, kuja na ‘Mkamilifu ‘

⁠⁠⁠Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Mbeya, Daddy Mashona baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Falling In Love’ akiwa amemshirikisha Sopran... thumbnail 1 summary
⁠⁠⁠Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Mbeya, Daddy Mashona baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Falling In Love’ akiwa amemshirikisha Soprano, anajipanga kuachia wimbo mpya wiki hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: