September 08, 2014

Picha 16 za ajali nyingine ya Basi Dodoma leo, alikuwemo pia meneja wa Dr. Cheni

Aliekuwemo kwenye hili basi ndio amenitumia hizi picha na kuniambia watu wasiozidi watano wamefariki dunia wengine zaidi kujeruhiwa baada... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.50 PMAliekuwemo kwenye hili basi ndio amenitumia hizi picha na kuniambia watu wasiozidi watano wamefariki dunia wengine zaidi kujeruhiwa baada ya basi lao kuanguka Mkange Berega.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAZIWA KUVIMBA NA KUUMA WAKATI WA UJAUZITO (Breast Tenderness &Pain)

Tatizo la kuvimba kwa maziwa na kuuma wakati wa ujauzito asa wa wiki 4 mpaka 6 linatokana na kuongezeka kwa hormone za progesterone n... thumbnail 1 summary

Tatizo la kuvimba kwa maziwa na kuuma wakati wa ujauzito asa wa wiki 4 mpaka 6 linatokana na kuongezeka kwa hormone za progesterone na estrogen mwilini ambazo huongeza kasi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VYAKULA VITAKAVYOKUFANYA KUISI NJAA MUDA WOTE

Kuna baadhi ya watu wamehathirika na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo hawawezi kuacha hata kama vinawaletea madhara. Kuna thumbnail 1 summary

Kuna baadhi ya watu wamehathirika na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo hawawezi kuacha hata kama vinawaletea madhara. Kuna

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAPA BILA NEY WA MITEGO KUFUGA MBWA NI BALAA MAANA HUYU MWANAYE MZURI SANAAA

Mambo hadharani! Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mara ya kwanza amemwanika mtot... thumbnail 1 summary


Mambo hadharani! Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na kukiri kwamba ni wa kwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ulitamani kujua mwanamke anayetarajiwa kuolewa na Profesa Jay?kamtaja huyu.

Miongoni mwa manguli wa muziki wa Bongo Fleva Profesa Jay ambaye pia yuko kwenye list ya mastar walioufanya muziki wa Tanzania kupata naf... thumbnail 1 summary
peteeMiongoni mwa manguli wa muziki wa Bongo Fleva Profesa Jay ambaye pia yuko kwenye list ya mastar walioufanya muziki wa Tanzania kupata nafasi ya kukubalika na kuheshimika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dr. Hamisi Kigwangalla atangaza nia ya kugombea Urais 2015, zisome hapa points zake. @hkigwangalla

September 7 2014 Dr. Hamisi ambae ni mbunge wa Nzega kwa ruhusa ya CCM alikutana na Waandishi Dar es salaam akiwa ameongozana na mke wake... thumbnail 1 summary
h11September 7 2014 Dr. Hamisi ambae ni mbunge wa Nzega kwa ruhusa ya CCM alikutana na Waandishi Dar es salaam akiwa ameongozana na mke wake pamoja na watoto wao na kisha kuweka wazi kwamba yuko tayari kugombea kiti cha Urais kwa tiketi ya CCM 2015.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA ANTI LULU ANATAKA KUZAA NA DIAMOND,ATANGAZA VITA NA WEMA

MOYO unahifadhi mengi! Msichana wa mjini asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ amefunguka kwamba yupo tayar... thumbnail 1 summary


MOYO unahifadhi mengi! Msichana wa mjini asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ amefunguka kwamba yupo tayari kuzaa na staa wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA NYUMA YA CAMERA ZA MSANII AUNTY EZEKIEL AKIWAKATIKA UTENGENEZAJI WA TANGAZO LA Angels Pads

"Angels Pads Zikiwa katika Ubora wa hali ya juu'in mchina is voice �� Hawa nw days wote wanajua kiswahili aisee �� ANGELS PAD... thumbnail 1 summary

"Angels Pads Zikiwa katika Ubora wa hali ya juu'in mchina is voice �� Hawa nw days wote wanajua kiswahili aisee �� ANGELS PADS COMING SOON" By Aunt Ezekiel

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNT EZEKIEL AFUNGUKA NA KUDAI WEMA ANAFAA KUWA MKE

FAGIO!   Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amemmwagia sifa shosti yake Wema Sepetu na kudai anafaa kuwa mke kama alivyo yeye. thumbnail 1 summary


FAGIO!
 Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amemmwagia sifa shosti yake Wema Sepetu na kudai anafaa kuwa mke kama alivyo yeye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI MUSOMA YADAIWA NI KAFARA!

Inauma sana!  Ajali mbaya iliyosababisha vifo vya watu 39 iliyohusisha Basi la Kampuni ya J4 Express lenye nambari za usajili T 677 CYC, ... thumbnail 1 summary

Inauma sana! Ajali mbaya iliyosababisha vifo vya watu 39 iliyohusisha Basi la Kampuni ya J4 Express lenye nambari za usajili T 677 CYC, lililokuwa likitoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA NA KAJALA PATAMU, SASA WEMA AMKEJELI KAJALA LIVE

NGOMA nzito!  Kauli ya sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kuwa yupo tayari kumtumikia msanii mwenzake... thumbnail 1 summary

NGOMA nzito! Kauli ya sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kuwa yupo tayari kumtumikia msanii mwenzake Kajala Masanja ‘K’ kwenye kampuni yake ya KAY Entertiment tena bila malipo yoyote,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA PICHA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA MUSOMA

 Serengeti Fiesta September 7 2014 Musoma, show ambayo ilifanywa maalum baada ya maamuzi kufikiwa ili upendo usambazwe kwa wote waliof... thumbnail 1 summary
7
 Serengeti Fiesta September 7 2014 Musoma, show ambayo ilifanywa maalum baada ya maamuzi kufikiwa ili upendo usambazwe kwa wote waliofiwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE HUKO MTWARA

Ndege ya Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote ikiwasili katika uwanja wa Mtwara. thumbnail 1 summary
Ndege ya Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote ikiwasili katika uwanja wa Mtwara.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UJERUMAINI WICHAPA SCOTLAND 2-1 SAFARI YA EURO

+17 Kitu kambani: Winga wa Scotland, Ikechi Anya akipiga mpira uliompita kipa wa Ujerumani  Manuel Neuer na kuisawazisha bao. thumbnail 1 summary

Special moment: Scotland winger Ikechi Anya places the ball past Germany goalkeeper Manuel Neuer to equalise for the Scots against the current world champions

Kitu kambani: Winga wa Scotland, Ikechi Anya akipiga mpira uliompita kipa wa Ujerumani  Manuel Neuer na kuisawazisha bao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKARI POLISI AFARIKI KIUTATA

Na Suzy Baltazar "Huyu anaitwa Afande John kapata ajali mbaya mpaka kufariki maeneo ya thumbnail 1 summary

Na Suzy Baltazar

"Huyu anaitwa Afande John kapata ajali mbaya mpaka kufariki maeneo ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: