September 25, 2014

Meninah Aongelea Issue ya Yeye Kufunga Ndoa na Mwanamuziki Diamond Platnumz

"Yaani sijui hata nianzie wapi kuzungumzia hili la kutaka kufunga ndoa na Diamond, naomba niseme ukweli kwamba nashanga... thumbnail 1 summary

"Yaani sijui hata nianzie wapi kuzungumzia hili la kutaka kufunga ndoa na Diamond, naomba niseme ukweli kwamba nashangaa, kwanza sijui chochote, nimekuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USIKUBALI KUOGOPA KUMUONYESHA MKE AU GIRLFREND WAKO UMPENDAE KISA UNAOGOPA WASHKAJI WATAKUONA BWEGE

Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye. Ni t... thumbnail 1 summary

Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WOLPER SASA ACHOKA NA MAISHA YA UPWEKE ASAKA BWANA WA KUMUOA

STAA  mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke. thumbnail 1 summary


STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIMPOZ, VANESSA MDEE MAHABA NIUE

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, ime... thumbnail 1 summary

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, imedaiwa kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchongo Mpya Alioupata Diamond Platnumz, Huu Unahusu Application ya Simu.

Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambay... thumbnail 1 summary

Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE AFUNGUKA: SIWEZI KUACHANA NA NUH

KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Moha... thumbnail 1 summary

KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  Naftari Mlawa ‘Nuh

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Marekani yatoa video inayoonesha mashambulizi ya anga dhidi ya ISIS nchini Syria

BONYEZA LIKE HAPO CHINI Makao Makuu ya Ulinzi, Pentagon Marekani imetoa kipande cha video inayoonesha jinsi walivyotek... thumbnail 1 summary

BONYEZA LIKE HAPO CHINI

Makao Makuu ya Ulinzi, Pentagon Marekani imetoa kipande cha video inayoonesha jinsi walivyotekeleza na kufanikisha mashambulizi ya kwanza nchini Syria dhidi ya kundi linalojiita Islamic State Of Syria and Iraq (ISIS).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hackers watishia kuvujisha picha za utupu za muigizaji wa Harry Porter Emma Watson kufuatia hotuba yake ya UN

Staa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za us... thumbnail 1 summary

Sony Ericsson Empire Film Awards: Winners BoardsStaa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za usawa wa kijinsia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

September 24, 2014

KATUNI

thumbnail 1 summary

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UZINDUZI YAMOTO BAND: WEMA AACHA HISTORIA

“MADAM...Madam...Madam...” ndizo kelele zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa akimtunza fedha nyingi dogo ma... thumbnail 1 summary
“MADAM...Madam...Madam...” ndizo kelele zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa akimtunza fedha nyingi dogo machachari wa Bendi ya Yamoto, Asilahi Isiyaka ‘Dogo Aslay’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

September 23, 2014

Safari za Treni Tanzania kuongezeka.

  Dr. Harryson Mwakyembe ni miongoni mwa Mawaziri ambao wanazungumziwa sana na vijana pamoja na Watanzania wengine kwenye marika mbali... thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-09-23 at 9.43.10 AM 
Dr. Harryson Mwakyembe ni miongoni mwa Mawaziri ambao wanazungumziwa sana na vijana pamoja na Watanzania wengine kwenye marika mbalimbali kutokana na jinsi anavyochapa mzigo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Goodnews: Huyu ndio msanii staa wa kimataifa anaekuja Fiesta Dar 2014.

Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-23 at 3.40.20 PM
Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA UTUPU ZA RIHANNA, GABRIELLE UNION NA KIM KARDASHIAN ZAVUJA

Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja ... thumbnail 1 summary


Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja mtandaoni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"NIMEKOMA KUTUMIA MKOROGO"..SHILOLE AFUNGUKA

MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kwa alichokiona, amekoma ku... thumbnail 1 summary

MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kwa alichokiona, amekoma kutumia mkorogo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE MWEGELO,IRENE UWOYA,ADAM KUAMBIANA NA JB WAKUTANA KWENYE FILAMU YA MIKONO SALAMA, JIONEE HAPA

Tarehe 25.09.2014 Filamu kali na yenye kusisimua "MIKONO SALAMA" Itaingia kwenye Soko la Filamu za kitanzania na kuanza... thumbnail 1 summary

Tarehe 25.09.2014 Filamu kali na yenye kusisimua "MIKONO SALAMA" Itaingia kwenye Soko la Filamu za kitanzania na kuanza kuuzwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Big Brother Africa Wamemtaja Mshiriki wa Pili Ambae Ataiwakilisha Tanzania Katika Shindano Hilo

Bachelor of Arts & Social Sciences graduate Laveda was born in Dar Es Salaam. She’s single and describes herself as eccentric, lov... thumbnail 1 summary

Bachelor of Arts & Social Sciences graduate Laveda was born in Dar Es Salaam. She’s single and describes herself as eccentric, loving, caring, simple and fun.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA HOT PICHA BANANA ZORRO AKIWA AMEPOZI NA MTOTO WAKE NOMA SANA JAMAA KATOA KOPI

Huyu ni SON wa Banana Zahir Ally Zorro, mara ya kwanza nilivyomuona pale uwanjani nilihisi ni katoto ka kike kumbe NI WA KIUME.. nafk... thumbnail 1 summary


Huyu ni SON wa Banana Zahir Ally Zorro, mara ya kwanza nilivyomuona pale uwanjani nilihisi ni katoto ka kike kumbe NI WA KIUME.. nafkiri hata wewe ukimuangalia tu utakubaliana na mimi.. kamekaa kama kasichana kabisa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MMMH KWA POZI HIZI NA VINGUO HIVI VYA PAULA MTOTO WA KAJALA, DZAINI KAMA ANAINGIA BONGOMOVIE RASMI

Dalili zinzidi kuonyesha kwamba dogo huyu mtoto wa kajala ambaye amemaliza shule hivi karibuni atajikita bongo movie au bongo fl... thumbnail 1 summary



Dalili zinzidi kuonyesha kwamba dogo huyu mtoto wa kajala ambaye amemaliza shule hivi karibuni atajikita bongo movie au bongo flava, wengi wamekuwa wakijiuliza maswali hayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI KWELI MAYAI HUSABABISHA UGONJWA WA MOYO?

UTAFITI  uliofanywa nchini Marekani hivi karibuni unaonesha kuwa katika miaka ya 1950, wastani wa ulaji wa mayai ya kuku ulikuwa mayai 37... thumbnail 1 summary
UTAFITI uliofanywa nchini Marekani hivi karibuni unaonesha kuwa katika miaka ya 1950, wastani wa ulaji wa mayai ya kuku ulikuwa mayai 375 kwa mtu mmoja, lakini hadi kufikia mwaka 2007, kiwango hicho kimepungua hadi kufikia mayai 250 tu kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KATUNI

thumbnail 1 summary

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BI. MOZA ATAMANI MWISHO UFIKE HARAKA

Soma hii! Kikongwe mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza Nyanongwa (anakadiria ana miaka zaidi 100), mkazi wa Tandale, Kwatumbo jijini Dar... thumbnail 1 summary
Soma hii! Kikongwe mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza Nyanongwa (anakadiria ana miaka zaidi 100), mkazi wa Tandale, Kwatumbo jijini Dar amefunguka kuwa anatamani mwisho wa dunia ufike mapema kwa kudai kuchoshwa na mmomonyoko wa maadili unaoendelea nchini na dunia nzima kwa jumla.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MREMBO ALILIA MILIONI TANO ILI AWE KAMA ZAMANI

MSICHANA Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75 na kumsababish... thumbnail 1 summary
MSICHANA Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75 na kumsababishia maumivu makali, anahitaji kiasi cha shilingi 5,000,000  ili aweze kufanyiwa upasuaji nchini India.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi. MA... thumbnail 1 summary

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi.
MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

September 20, 2014

ETI MSANII HUYU WA BONGO MOVIE ASIPOVAA NUSU UTUPU ETI AJISIKII RAHA, TAZAMA MAVAZI YAKE HAPA

Msanii wa filamu, Lungi Mwaulanga ametoa kali baada ya kusema kuwa, bila kuvaa nguo zinazoanika baadhi ya sehemu zake ‘muhimu’ hasikii ra... thumbnail 1 summary

Msanii wa filamu, Lungi Mwaulanga ametoa kali baada ya kusema kuwa, bila kuvaa nguo zinazoanika baadhi ya sehemu zake ‘muhimu’ hasikii raha. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VYAKULA VINAVYOFAA KWA MGONJWA WA KISUKARI

Kisukari ni ugonjwa sugu ambao huathiri uwezo wa mwili kutumia nguvu na chakula kwa muda mrefu kutokana na kuongezeka kwa thumbnail 1 summary

Kisukari ni ugonjwa sugu ambao huathiri uwezo wa mwili kutumia nguvu na chakula kwa muda mrefu kutokana na kuongezeka kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA MIGUU KUTOA HARUFU MBAYA

Miguu kutoa harufu mbaya ni tatizo sugu linalowakabili baadhi ya watu katika jamii, wengi wakiwa wanaume. T atizo hili linaonekana kuzi... thumbnail 1 summary

Miguu kutoa harufu mbaya ni tatizo sugu linalowakabili baadhi ya watu katika jamii, wengi wakiwa wanaume. Tatizo hili linaonekana kuzidi kuwa sugu, hali inayosababisha kuwepo na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDEGE ZA KIVITA HATARI ZAIDI DUNIANI ZINAZOMILIKIWA NA URUSI

Japokuwa Urusi inaaminika kuwa na silaha nyingi hatari za kivita lakini mtandao wetu kwa msaada wa mtandao wa yahoo.com unakuletea ndege... thumbnail 1 summary

Japokuwa Urusi inaaminika kuwa na silaha nyingi hatari za kivita lakini mtandao wetu kwa msaada wa mtandao wa yahoo.com unakuletea ndege ambazo ni hatari zaidi zinaposhambulia toka angani zinazosmikiwa na Urusi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAMANI KUONYESHA CHANZO CHA EBOLA KUTOKA KWA MNYAMA ANAYESADIKIWA KUWA NI POPO.

  Wanasayansi wa chuo kikuu cha Oxford wameonyesha ramani ya maeneo ambako wanyama huenda wana maambukizo ya virusi vya ebola, ikiwa ni ... thumbnail 1 summary


 
Wanasayansi wa chuo kikuu cha Oxford wameonyesha ramani ya maeneo ambako wanyama huenda wana maambukizo ya virusi vya ebola, ikiwa ni hatua ya kwanza kutabiri wapi ugonjwa huu utazuka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEJINYONGA KWA KUKOSA MATIBABU MKOANI KAGERA

Mwanafunzi wa kidato cha 5 shule ya sekondari Ihungo Ezera Gerald (19) Ameamua kujinyonga kwa kutumia shuka lake katika hospital ya thumbnail 1 summary
Mwanafunzi wa kidato cha 5 shule ya sekondari Ihungo Ezera Gerald (19) Ameamua kujinyonga kwa kutumia shuka lake katika hospital ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHANZO, KINGA NA TIBA YA HOMA YA MANJANO (Jaundice)

Homa ya manjano ni tatizo linaosababisha ngozi yako, midomo na sehemu nyeupe ya jicho kuwa ya njano kutokana na kuongezeka kwa rangi y... thumbnail 1 summary

Homa ya manjano ni tatizo linaosababisha ngozi yako, midomo na sehemu nyeupe ya jicho kuwa ya njano kutokana na kuongezeka kwa rangi ya bilirubini katika damu inayotengenezwa kwenye ini baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUTANA NA MUUGUZI ALIYEPONA EBOLA NA ANAWASIDIA WAGONJWA WENGINE

Will Pooley ni muuguzi aliyepona virusi vya Ebola baada ya kutibiwa  katika hosipitali ya Royal kusini mwa jiji la London kwa muda wa wi... thumbnail 1 summary
Will Pooley ni muuguzi aliyepona virusi vya Ebola baada ya kutibiwa  katika hosipitali ya Royal kusini mwa jiji la London kwa muda wa wiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MGONGO SOMA HII

Maumivu chini ya mgongo hutokea sana kwa kila mtu na mara nyingi huwa ni chini ya mbavu za nyuma na juu ya miguu na huweza kusambaa mpa... thumbnail 1 summary

Maumivu chini ya mgongo hutokea sana kwa kila mtu na mara nyingi huwa ni chini ya mbavu za nyuma na juu ya miguu na huweza kusambaa mpaka kwenye kiuno na hips. Maumivu haya usikika na kuumiza pale unapoinua kitu, kusimama, kukaa kwenye kiti au kutembea na usababishwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

September 18, 2014

HIZI NDIZO DALILI 10 ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KIMAPENZI LAKINI ANASHINDWA KUSEMA

1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona thumbnail 1 summary

1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU AMVUTA LINAH BONGO MOVIE , WAFANYA PAMOJA FILAMU MPYA "MAPENZI YA MUNGU" ITAKAYOTOKA HIVI KARIBUNI

Tumeshashuhudia baadhi ya waigizaji wa Bongo Movie ambao wamejaribu bahati zao upande mwingine wa sanaa kwa kujitosa kwenye muziki kama Shi... thumbnail 1 summary

Tumeshashuhudia baadhi ya waigizaji wa Bongo Movie ambao wamejaribu bahati zao upande mwingine wa sanaa kwa kujitosa kwenye muziki kama Shilole, na pia baadhi ya wasanii wa muziki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

List ya viwanja 7 vya ndege vilivyo busy duniani! Afrika je?

Wakati nchi kama Tanzania inapambana kujenga viwanja vya ndege ili ndege kubwa kama za  Fastjet  ziweze kutua sehemu kama Musoma, Kigoma ... thumbnail 1 summary
ATL 3Wakati nchi kama Tanzania inapambana kujenga viwanja vya ndege ili ndege kubwa kama za Fastjet ziweze kutua sehemu kama Musoma, Kigoma na Arusha baada ya kuweza kufanya safari zake kwenye mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya, Dar na Mwanza, ifuatayo ni list

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilichomfanya Jacqueline Wolper aifute hii picha ya Lucy Komba instagram….

September 17 2014 mwigizaji Jackline Wolper aliweka kwenye page yake ya Instagram picha ya mwigizaji mwenzake Lucy Komba alieolewa hivi k... thumbnail 1 summary
Lucy Komba 1September 17 2014 mwigizaji Jackline Wolper aliweka kwenye page yake ya Instagram picha ya mwigizaji mwenzake Lucy Komba alieolewa hivi karibuni na raia kutoka nje ya Tanzania na kuandika masikitiko yake ya kushindwa kuhudhuria harusi hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JIDE NA GADNER SASA CHUI NA SWALA, JAY DEE AKWEPA CAMERA, HUKU MWENZAKE AKIWA NA MCHEPUKO MPYA

PAMOJA  na kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ‘G.... thumbnail 1 summary

PAMOJA na kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ‘G. Habash’ na ‘mtalaka’ wake, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, Jumamosi iliyopita walifanya tukio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NORA NA KAJALA SASA BIFU ZITO, NI KUFATIA HATUA YA NORA KUMCHANA LIVE KWAMBA HASTAILI KUWA MWIGIZAJI

MWIGIZAJI  kiwango enzi hizo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa wa mwen... thumbnail 1 summary

MWIGIZAJI kiwango enzi hizo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa wa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJANGA, BASI LAZAMA BAHARINI BAADA YA BREAK KUGOMA GHAFLA

mwaka huu majanga basi lanusurika kuzama mto pangani Kwenye kivuko cha mv pangani baada ya kufeli break leo hii asubuhi majeruhi dereva ... thumbnail 1 summary
mwaka huu majanga basi lanusurika kuzama mto pangani Kwenye kivuko cha mv pangani baada ya kufeli break leo hii asubuhi majeruhi dereva peke yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: