November 01, 2014

Staa mtoto Blue Ivy Carter kwenye headlines tena, safari hii katinga kivazi kama Michael Jackson

Blue Ivy Carter, mtoto wa wakali wawili kutoka Marekani, Jay Z na Beyonce ameendelea kuchukua headlines kwenye mitandao kila kunapokucha. thumbnail 1 summary
blue-ivyBlue Ivy Carter, mtoto wa wakali wawili kutoka Marekani, Jay Z na Beyonce ameendelea kuchukua headlines kwenye mitandao kila kunapokucha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbinu Mpya za Wanawake wa Siku Hizi Wanao Saka Ndoa Kwa Nguvu

Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka... thumbnail 1 summary
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja
anaifua
anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi
anaondoka...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SITTI MTEMVU SASA KUVULIWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014 NA KUNA UWEZEKANO MKUBWA AKAISHIA POLISI.

WAKATI serikali kupita Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), ikisema itakifuta cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitt... thumbnail 1 summary

WAKATI serikali kupita Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), ikisema itakifuta cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu, taarifa zinasema kwamba hawezi tena kuendelea na taji hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIO MSANII ANAYEMILIKI GARI HII YENYE RANGI YA DHAHABU, NA HAYA NDIO MAGARI YAKE MENGINE YA BEI MBAYA

Anaitwa Kcee  ni staa wa mziki kutoka Nigeria, inaaminika kua msanii huyu ni kati ya wasanii wachache sana wenye mkwanja mrefu kutoka Ni... thumbnail 1 summary
1
Anaitwa Kcee  ni staa wa mziki kutoka Nigeria, inaaminika kua msanii huyu ni kati ya wasanii wachache sana wenye mkwanja mrefu kutoka Nigeria. Ndio msanii pekee kutoka Afrika ambae ameweza fanya kolabo na Nicki Minaj. Mpya kutoka kwa jamaa huyu ni gari yake mpya aliyonunua aina ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema: Kipindi Cha in My Shoes on Air Next Week, Diamond Atakuwepo.

Kipindi cha maisha na hustle za Wema Sepetu 'In My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo na kwenye interview niliyof... thumbnail 1 summary
Kipindi cha maisha na hustle za Wema Sepetu 'In
My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo
na kwenye interview niliyofanya naye Wema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBINU ZA KUMFANYA MTOTO WAKO APENDE KULA.

Kutatua tatizo huanzia kwenye kujua tatizo liko wapi. Ushauri nasaha unaotolewa na madaktari ni kuwa, hakuna muarobaini wa kutibu hii ta... thumbnail 1 summary
Kutatua tatizo huanzia kwenye kujua tatizo liko wapi. Ushauri nasaha unaotolewa na madaktari ni kuwa, hakuna muarobaini wa kutibu hii tabia, bali ni swala la kujaribu mbinu mbalimbali ili kuweza kujua kitu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHEKI X GIRL FRIEND WA DIAMOND, DVJ PENNY ALIVYOWALIZA WATU!!!

Wasikilizaji wa kipindi cha ‘Genge’ cha 93.7 E-FM ya Dar es Salaam wamepokea kwa masikitiko taarifa kutoka kwa mtangazaji wa kipindi hicho ... thumbnail 1 summary


Wasikilizaji wa kipindi cha ‘Genge’ cha 93.7 E-FM ya Dar es Salaam wamepokea kwa masikitiko taarifa kutoka kwa mtangazaji wa kipindi hicho waliyekuwa wamemzoea, Penniel Mungilwa a.k.a VJ Penny kuwa hatasikika tena kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS WA BURKINA FASO AJIUZULU

Rais Blaise Compaore aliyejiuzulu. RAIS wa Burkina Faso, Blaise Compaore ametangaza kujiuzulu kufuatia vurugu za kisiasa zinazoendel... thumbnail 1 summary

Rais Blaise Compaore aliyejiuzulu.
RAIS wa Burkina Faso, Blaise Compaore ametangaza kujiuzulu kufuatia vurugu za kisiasa zinazoendelea nchini humo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABBY AMFUNIKA MKE WA BOB JUNIOR KWA MAHABA!

MSANII  anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amezama ... thumbnail 1 summary
MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amezama kwenye penzi la staa wa Bongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHENI YA SH. MIL. 6 YAMFIKISHA POLISI AUNTY EZEKIEL

NYOTA  wa sinema Bongo, Aunty Ezekiel ameingia matatani na maafande wa Kituo cha Polisi Pangani, Ilala jijini Dar akidaiwa kutokomea na che... thumbnail 1 summary
NYOTA wa sinema Bongo, Aunty Ezekiel ameingia matatani na maafande wa Kituo cha Polisi Pangani, Ilala jijini Dar akidaiwa kutokomea na cheni ya Shabani Limo yenye thamani ya shilingi milioni 6.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKOFU GEOR DAVIE AVUNJA NDOA YA SEKRETARI WAKE

KIMENUKA!  Ndoa iliyodumu kwa miaka 15 kati ya Wiston Lotta (52) na Pamella Geofrey (40) imevunjwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kufua... thumbnail 1 summary
KIMENUKA! Ndoa iliyodumu kwa miaka 15 kati ya Wiston Lotta (52) na Pamella Geofrey (40) imevunjwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kufuatia ushahidi mzito uliotolewa mahakamani hapo kumridhisha Hakimu Hawa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mambo manne aliyoyasema Chidi Benz, jinsi alivyokamatwa Airport na dawa za kulevya

Imekua stori namba 1 kwa mwezi wa October 2014 inayomuhusu msanii kwenye familia ya bongofleva iliyoandikwa au kuripotiwa na kila aina ya... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-01 at 3.14.15 AMImekua stori namba 1 kwa mwezi wa October 2014 inayomuhusu msanii kwenye familia ya bongofleva iliyoandikwa au kuripotiwa na kila aina ya chombo cha habari kuanzia TV, Magazeti na hata mitandaoni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ndiyo Caroline Bernard, mshindi wa Miss Universe Tanzania 2014

. Mrembo Caroline Bernard usiku huu wa October 31 2014 ndio ametangazwa mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2014 ambalo was... thumbnail 1 summary
.
.
Mrembo Caroline Bernard usiku huu wa October 31 2014 ndio ametangazwa mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2014 ambalo washiriki wake wamekua sehemu ya headlines zenye kumbukumbu baada ya kuzitumia vizuri nafasi zao akiwemo Flaviana Matata.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWALIMU WA SHULE YA MSINGI AFUMANIWA,WACHOMANA VISU,DAMU YATANDA,UTUMBE NJE NJE

Mume wa mtu, Raphael Bernard (33) aliyechomana visu na mwalimu baada ya fumanizi. KATIKA hali ya kutisha, fumanizi lililoambatana na bon... thumbnail 1 summary

Mume wa mtu, Raphael Bernard (33) aliyechomana visu na mwalimu baada ya fumanizi.

KATIKA hali ya kutisha, fumanizi lililoambatana na bonge moja la mtiti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LADY JAYDEE AANZA KUMUIMBA MTALAKA WAKE.

Mdau mmoja Huko Jamii Forums Amefunguka Hivi kuhusu Tangazo la Mgahawa Mpya wa MOG ambalo amelifanya Lady Jady linalorushwa Radio Mba... thumbnail 1 summary

Mdau mmoja Huko Jamii Forums Amefunguka Hivi kuhusu Tangazo la Mgahawa Mpya wa MOG ambalo amelifanya Lady Jady linalorushwa Radio Mbali Mbali: “Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Uvumi wa Kuwa na Ujauzito wa Diamond,Meninah Kayazungumza Haya

Meninah ambaye ni zao kutoka Bongo Star Search miezi michache iliyopita ameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond Platnumz huk... thumbnail 1 summary
Meninah ambaye ni zao kutoka Bongo Star Search miezi michache iliyopita ameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond Platnumz huku mwenyewe akikana mara kadhaa kila anapopata nafasi ya kulizungumza hili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unaambiwa Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta...'Loading..'

Kwa mujibu wa MwanaFa akiwa kwenye kipindi Choice fm ni kuwa Davido alilipwa Dolla 40,000 kupiga show Fiesta. thumbnail 1 summary
Kwa mujibu wa MwanaFa akiwa kwenye kipindi Choice fm ni kuwa Davido alilipwa Dolla 40,000 kupiga show Fiesta.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: