June 03, 2016

Hamisa Mobetto aumia jinsi mwanae anavyohusishwa kwenye mambo yasiyomhusu, ‘Issue ya Majay na Lulu’

Mwanamitindo Hamisa Hassani Mobeto, amekataa kuzungumzia mgogoro unaodaiwa kuendelea kati yake na staa wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ h... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo Hamisa Hassani Mobeto, amekataa kuzungumzia mgogoro unaodaiwa kuendelea kati yake na staa wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ huku akionyesha kuchukizwa na jinsi mwanae anavyohusishwa katika mambo yasiyo muhusu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Polisi wavamia nyumba ya Faiza Ally

Leo polisi wamevamia kwenye nyumba ya msanii wa filamu bongo, Faiza Ally kwa kufanya uchunguzi kutokana na taarifa walizozipata kuwa msanii... thumbnail 1 summary
Leo polisi wamevamia kwenye nyumba ya msanii wa filamu bongo, Faiza Ally kwa kufanya uchunguzi kutokana na taarifa walizozipata kuwa msanii huyo ni muuzaji wa madawa ya kulevya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Faiza aliandika:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nilifanya Naye Mapenzi Kinyume na Maumbile (tiGo), Je Anafaa Kuoa?!

Nilikuwa na mpenzi wangu, tulipendana sana, nilimteka akili sana, tulifanya mapenzi kwa muda mrefu sana ikatokea siku nikajaribu kuingiza... thumbnail 1 summary
Nilikuwa na mpenzi wangu, tulipendana sana, nilimteka akili sana, tulifanya mapenzi kwa muda mrefu sana ikatokea siku nikajaribu kuingiza kidole nyuma nikaona ametulia, pepo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa Hili Tutampinga Rais MAGUFULI Kwa Nguvu Zote -ZITTO Kabwe

Mhe. Zitto Kabwe aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema hawatakubali kuona wanarudishwa nyuma au kuona misingi ya taas... thumbnail 1 summary
Mhe. Zitto Kabwe aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema hawatakubali kuona wanarudishwa nyuma au kuona misingi ya taasisi za uwajibikaji zikibomolewa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Justin Bieber awaonesha mashabiki kipaji chake kingine alipokutana na Neymar

Staa asiyeishiwa vituko kila kukicha, amewaonyesha mashabiki wake kipaji kingine ambacho amebarikiwa kuwa nacho ukiachilia mbali na muziki ... thumbnail 1 summary
Staa asiyeishiwa vituko kila kukicha, amewaonyesha mashabiki wake kipaji kingine ambacho amebarikiwa kuwa nacho ukiachilia mbali na muziki anaofanya sasa.
Staa huyo alikutana na mchezaji wa timu ya Barcelona, Neymar na kumuonyesha kuwa na yeye yupo fit hata kama asingeimba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAMAKI DUME ANATAFUTA MPENZI JIKE BAADA YA KUHISI KEMIKALI MAALUM KWENYE PUA YAKE

Watafiti wa Japan wamegundua kuwa vipokezi maalum vya kuhisi harufu vinafanya kazi kubwa katika kitendo cha samaki cha kutafuta mpenzi. U... thumbnail 1 summary
Watafiti wa Japan wamegundua kuwa vipokezi maalum vya kuhisi harufu vinafanya kazi kubwa katika kitendo cha samaki cha kutafuta mpenzi. Ugunduzi huo utasaidia kufahamu mabadiliko ya neva ya kuhisi ya samaki, na kuendeleza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ukiwa mtu wa kuchukia kazini ni rahisi kuachana nayo? Utafiti huu umegundua kitu tofauti kabisa

Kuchukia kazini kunafanya uwe na uwezekano mdogo sana wa kuiacha kazi yako (cha ajabu hizo ni dalili kuwa unaijali) Pale hasira za kazini... thumbnail 1 summary
Kuchukia kazini kunafanya uwe na uwezekano mdogo sana wa kuiacha kazi yako (cha ajabu hizo ni dalili kuwa unaijali)
Pale hasira za kazini zinapowafika shingoni wafanyakazi, kwa kawaida inaaminika kuwa watachukua uamuzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ACHA TABIA HIZI UEPUKANE NA MAGONJWA SUGU KAMA PRESHA,VIDONDA VYA TUMBO,KANSA NA NGUVU ZA KIUME..!!!

Baadhi ya tabia za mtu hupelekea yeye mwenyewe kujikuta akipatwa na magonjwa sugu bila kujua kuwa kwa kuendekea tabia hizo kumemfanya yey... thumbnail 1 summary
Baadhi ya tabia za mtu hupelekea yeye mwenyewe kujikuta akipatwa na magonjwa sugu bila kujua kuwa kwa kuendekea tabia hizo kumemfanya yeye kuwa katika hali hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Keki yakatwa kumkaribisha Rich Mavoko ‘State House’ ya Diamond

Baada ya Rich Mavoko Alhamisi hii kuandika historia mpya katika maisha ya muziki wake kwa kusaini rasmi mkataba wa miaka 10 wa kufanya kazi... thumbnail 1 summary
Baada ya Rich Mavoko Alhamisi hii kuandika historia mpya katika maisha ya muziki wake kwa kusaini rasmi mkataba wa miaka 10 wa kufanya kazi na label ya ‘WCB’ iliyochini Diamond Platnumz, staa wa huyo wa hit nyingi amekaribishwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Barcelona wathibitisha kuondoka kwa Dani Alves

Beki wa kulia wa Brazil Dani Alves anaondoka katika klabu ya Barcelona, kulingana na klabu hiyo. Alves mwenye umri wa miaka 33 alijiunga ... thumbnail 1 summary
Beki wa kulia wa Brazil Dani Alves anaondoka katika klabu ya Barcelona, kulingana na klabu hiyo.
Alves mwenye umri wa miaka 33 alijiunga na Seveilla mwaka 2008 na kushinda mataji 3 ya ligi ya vilabu bingwa pamoja na mataji sita ya La Liga na Barcelona.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Michael Jordan aungana na Neymar kutengeneza viatu vipya vya Nike

Staa wa soka wa timu ya Barcelona, Neymar na legend wa mchezo wa kikapu duniani, Michael Jordan wameungana kutengeneza viatu vipya vya soka... thumbnail 1 summary
Staa wa soka wa timu ya Barcelona, Neymar na legend wa mchezo wa kikapu duniani, Michael Jordan wameungana kutengeneza viatu vipya vya soka vya ushirikiano wa Nike/Jordan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nick wa Pili awachana wasanii wanaoishi maisha ya kuigiza

Msanii msomi wa Hip Hop Bongo, Nick wa Pili amewachana baadhi ya wasanii wanaoishi maisha ya kuigiza yasiyokuwa na uhalisia. Ni kweli was... thumbnail 1 summary
Msanii msomi wa Hip Hop Bongo, Nick wa Pili amewachana baadhi ya wasanii wanaoishi maisha ya kuigiza yasiyokuwa na uhalisia.
Ni kweli wasanii wengi bongo wanaongoza kwa kuishi maisha ya kuigiza tofauti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nguo, tuzo na mali zingine na Whitney Houston kupigwa mnada

Tuzo, nguo za red carpet na mali zingine za marehemu Whitney Houston zitapigwa mnada June 24 na 25. thumbnail 1 summary
Tuzo, nguo za red carpet na mali zingine za marehemu Whitney Houston zitapigwa mnada June 24 na 25.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Shabiki asababisha Adele agome kufanya show

Msanii wa muziki kutoka nchini Uingereza, Adele alilazimika kusimamisha show yake wikiendi iliyopita kwenye ukumbi wa Arena di Verona, Ital... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki kutoka nchini Uingereza, Adele alilazimika kusimamisha show yake wikiendi iliyopita kwenye ukumbi wa Arena di Verona, Italia baada ya kumuona shabiki mmoja akiwa ana rekodi vipande vya video vya show hiyo.
Adele alimuomba shabiki huyo aache kurekodi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mastaa Waweka Wazi Bei za Malipo yao Mtu Akihitaji Picha Zao Za Utupu.

Dunia imekwisha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara wa kuweka picha zao chafu mitandaoni, kuwe... thumbnail 1 summary
Dunia imekwisha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara wa kuweka picha zao chafu mitandaoni, kuweka wazi viwango vyao vya malipo endapo mtu atahitaji picha zao za utupu (X).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Cyrill Kamikaze Ayaandika Haya Baada ya WCB Kumkana Kuwa Ngoma Aliyoifanya Hajamshirikisha Raymond

Cyrill Kamikaze ameachia ngoma mpya anayodai amemshirikisha msanii wa WCB, Raymond. Hata hivyo WCB imedai kutoutambua wimbo huo. Meneja w... thumbnail 1 summary
Cyrill Kamikaze ameachia ngoma mpya anayodai amemshirikisha msanii wa WCB, Raymond. Hata hivyo WCB imedai kutoutambua wimbo huo.
Meneja wa Diamond na mmoja wa wakurugenzi wa bodi ya label hiyo, Sallam Sharafflakini amedai kuwa wimbo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madhara ya Zoezi la Uzimaji Simu feki Sasa Dhahiri

Madhara ya zoezi la uzimaji wa simu bandia litakalofanywa na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA ifikapo Juni 16 mwaka huu yameanza kuonekana k... thumbnail 1 summary

Madhara ya zoezi la uzimaji wa simu bandia litakalofanywa na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA ifikapo Juni 16 mwaka huu yameanza kuonekana kwa wafanyabiashara wa simu eneo la Kariakoo ambao baadhi yao wamefilisika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Faini kwa watakaogonga mabasi yaendayo haraka hii hapa

Moja ya story kubwa June 02 2016 kwenye gazeti la Mwananchi ni hii yenye kichwa cha habari ‘watakaogonga mabasi ya Udart faini 300,000‘  thumbnail 1 summary
Moja ya story kubwa June 02 2016 kwenye gazeti la Mwananchi ni hii yenye kichwa cha habari ‘watakaogonga mabasi ya Udart faini 300,000‘ 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKIMWI wa Paka umegunduliwa kwenye nchi ya Kenya

Kwenye nchi ya Kenya virusi hatari aina ya FIV vinaavyofanana kabisa na virusi vya HIV vinavyosababisha UKIMWI vimegunduliwa katika paka ... thumbnail 1 summary
Kwenye nchi ya Kenya virusi hatari aina ya FIV vinaavyofanana kabisa na virusi vya HIV vinavyosababisha UKIMWI vimegunduliwa katika paka mmoja ikiwa ni baada ya uchunguzi wa kina wa damu ya paka huyo kuthibitisha uwepo wa viini vinavyofanana kabisa na vile vinavyoathiri binaadamu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANGA SASA HAPAKALIKI, WANANCHI WAANZA KUHAMA WAKIOGOPA KUCHINJWA..TUKIO LOTE ILI HAPA

Ukatili uliofanywa na watu wasiojulikana wa kuwachinja watu wanane wa kitongoji cha Kibatini mkoani Tanga, umesababisha wakazi wa kitongo... thumbnail 1 summary
Ukatili uliofanywa na watu wasiojulikana wa kuwachinja watu wanane wa kitongoji cha Kibatini mkoani Tanga, umesababisha wakazi wa kitongoji hicho kuanza kuyahama makazi yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAPINZANI WAANIKA SABABU 6 ZA KUMNG'OA NAIBU SPIKA

Wabunge wa upinzani wameendelea kususia kwa siku ya tatu mfululizo vikao vya Bunge vinavyoendeshwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson tangu ... thumbnail 1 summary
Wabunge wa upinzani wameendelea kususia kwa siku ya tatu mfululizo vikao vya Bunge vinavyoendeshwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson tangu walipotangaza hatua hiyo Jumatatu wiki hii kwa kutokuwa na imani naye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMBER ROSE KUTOKA NA MCHEZA KIKAPU?

Mwanamitindo Amber Rose ameendelea kuzungumziwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Marekani, baada ya kuonekana na nyota wa kika... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo Amber Rose ameendelea kuzungumziwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Marekani, baada ya kuonekana na nyota wa kikapu wa timu ya Toronto, Terrence Ross wakiwa katika mazingira ya kimapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Mastaa wapamba uzinduzi wa management mpya ya Shetta

Hit maker wa Shikorobo, Shetta Alhamisi hii aliandaa sherehe maalum ya kuwashukuru mashabiki wa muziki wake kwa kumfikisha hapo alipo pam... thumbnail 1 summary
Hit maker wa Shikorobo, Shetta Alhamisi hii aliandaa sherehe maalum ya kuwashukuru mashabiki wa muziki wake kwa kumfikisha hapo alipo pamoja na kuitambulisha management yake mpya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video ya Aje ya Alikiba imehit 1 Million views over one week

Ali Kiba Hongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ya Aje ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu ... thumbnail 1 summary
Ali Kiba
Hongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ya Aje ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu iachiwe YouTube.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magufuli ataka wanaopita kwenye barabara za mwendokasi zichomolewe tairi za magari yao na ziuzwe

Rais John Pombe Magufuli achukizwa na uharibifu na matumizi mabaya ya miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi na kuagiza mamlaka zinazohusik... thumbnail 1 summary
Rais John Pombe Magufuli achukizwa na uharibifu na matumizi mabaya ya miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi na kuagiza mamlaka zinazohusika ziwachukulie hatua kwa wasiofuata sheria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: BASATA yasema Diamond kuanzisha label ya ‘WCB’ ni hatua nzuri kwenye muziki wa Tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepongeza Diamond Platnumz kwa hatua ya kuanzisha label ya WCB ambayo itakuwa inasimania wasanii. K... thumbnail 1 summary
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepongeza Diamond Platnumz kwa hatua ya kuanzisha label ya WCB ambayo itakuwa inasimania wasanii.
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa Taifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 3, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 3 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
June 3 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Audio: Jokate azungumzia dili na Alikiba na Sony na Diamond na tuzo za BET

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Jokate Mwegelo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu issue kibao zikiwemo brand yake ya Kidoti na nin... thumbnail 1 summary
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Jokate Mwegelo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu issue kibao zikiwemo brand yake ya Kidoti na nini kipya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Man City imefanya usajili wake wa kwanza leo June 2/ 2016 wa kiungo Gundogan

Klabu ya Manchester City ya Uingereza leo June 2 2016 imetangaza usajili wa kwanza wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani kutoka klabu ya Borr... thumbnail 1 summary
Klabu ya Manchester City ya Uingereza leo June 2 2016 imetangaza usajili wa kwanza wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani kutoka klabu ya Borrusia Dortmund Ilkay Gundogan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: