July 07, 2014

UNAZIJUA NUSU FAINALI TANO ZA KIHISTORIA KATIKA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA?

NUSU fainali ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil inaanza kesho. Hapa ni nusu fainali tano zilizochezwa na kuacha historia kubwa k... thumbnail 1 summary
Five memorable World Cup semi-finals
NUSU fainali ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil inaanza kesho. Hapa ni nusu fainali tano zilizochezwa na kuacha historia kubwa katika ulimwengu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OFFICIAL: PRANDELLI ATHIBITISHWA KUWA KOCHA WA GALATASARAY, MOYES ATOSWA MCHANA KWEUPE!

CESARE Prandelli amethibitishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Galatasaray ya Uturuki zikiwa zimepita wiki mbili tangu ajiuzulu kuifundisha... thumbnail 1 summary
Official: Prandelli confirmed as Galatasaray boss
CESARE Prandelli amethibitishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Galatasaray ya Uturuki zikiwa zimepita wiki mbili tangu ajiuzulu kuifundisha timu ya Taifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BALOTELLI AFANYA MATANUZI YA 'SIJALI LOLOTE' MAREKANI NA KIMWANA MKALII TAZAMA PICHA HAP

BAADA ya matokeo mabaya katika Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya taifa, Italia, mshambuliaji Mario Balotelli amepigwa picha akivuta... thumbnail 1 summary

BAADA ya matokeo mabaya katika Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya taifa, Italia, mshambuliaji Mario Balotelli amepigwa picha akivuta sigara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kiongozi wa CHADEMA kanda ya Magaharibi Ashambuliwa

WATU wasiojulikana wamemvamia na kumpiga pamoja na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia vitu vyenye ncha kali Makamu Mwenyeki... thumbnail 1 summary
mgonjwa
WATU wasiojulikana wamemvamia na kumpiga pamoja na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia vitu vyenye ncha kali Makamu Mwenyekiti wa uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKATABA WA GESI UMEVUJA: TANZANIA KUPOTEZA SHS 1.6 TRILIONI KWA MWAKA‏

  Zitto Kabwe, Mb Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta Tanzania na Kam... thumbnail 1 summary
 Zitto Kabwe, Mb
Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA HAPA VIDEO UJIONEE KITU CHA AJABU ALICHOKIBUNI HUYU MTOTO NI BALAA

Umri wake anaonekana bado mdogo lakini amejaribu kufanya kitu ambacho ukikitazama unaweza kujua nini alichokusudia kufanya,sijajua ni... thumbnail 1 summary

Umri wake anaonekana bado mdogo lakini amejaribu kufanya kitu ambacho ukikitazama unaweza kujua nini alichokusudia kufanya,sijajua ni kutoka nchi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kuhusu Kiasi kikubwa na kidogo alichowahi kulipwa Madee kwenye maisha ya kimuziki.

Maisha ya kimuziki ya wasanii wengi wa Tanzania walio wahi kufanya show nyingi kipindi cha nyuma wanaweza kuwa mashuhuda wa hiki alichok... thumbnail 1 summary

madeeeeMaisha ya kimuziki ya wasanii wengi wa Tanzania walio wahi kufanya show nyingi kipindi cha nyuma wanaweza kuwa mashuhuda wa hiki alichokizungumza Madee kupitia Exclusive

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Degree ya heshima ya udaktari aliyopewa mwanamuziki Oliver Mtukudzi.

Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa... thumbnail 1 summary
MUTU2
Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa mshauri na balozi mzuri wa muziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pata picha ya video ya Mdogo mdogo ya Diamond kwa kutazama kipande hiki.

Video hii pamoja na ile ambayo ameshirikiana na Iyanya kutoka Nigeria Diamond Platnumz ameahidi kuziachia kesho wakati anasherehekea siku... thumbnail 1 summary
Diamond3Video hii pamoja na ile ambayo ameshirikiana na Iyanya kutoka Nigeria Diamond Platnumz ameahidi kuziachia kesho wakati anasherehekea siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 7 za mchezaji Neymar akisafirishwa na helicopter baada ya kutoka hospitali

Mchezaji aliyekuwa tegemezi kwenye mechi za kombe la dunia za timu ya Brazil Neymar Jr, hatimaye amepelekwa kwao Guaruya, Sao Paulo kwa ... thumbnail 1 summary
home
Mchezaji aliyekuwa tegemezi kwenye mechi za kombe la dunia za timu ya Brazil Neymar Jr, hatimaye amepelekwa kwao Guaruya, Sao Paulo kwa ajili ya mapumziko.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HII MASOGANGE APINGA KUFUNIKWA MAKALIO

Stori: Imelda Mtema MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la ... thumbnail 1 summary

Stori: Imelda Mtema MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa. Modo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHEKI DOGO JANJA HAPA AKIWA NDANI YA SARE ZA SHULE YA SEKONDARI

Abdulaziz Chende 'Dogo Janja' kutoka Ngarenaro. ABDULAZIZ Chende ndilo jina lake halisi alilokuja nalo jijini Dar es Salaam aki... thumbnail 1 summary


Abdulaziz Chende 'Dogo Janja' kutoka Ngarenaro. ABDULAZIZ Chende ndilo jina lake halisi alilokuja nalo jijini Dar es Salaam akitokea Ngarenaro, kule mjini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA JINSI MKIA WA DIVA ULIVOZUA UTATA MTANDAONI

  Kama wewe haupendi mambo ya UDAKU na USHAMBENGA....Ishia hapa hapa!!! Daah hii ni NOUMA sana!! Kama mnavyojua tena mwanadada DIVA THE B... thumbnail 1 summary


 Kama wewe haupendi mambo ya UDAKU na USHAMBENGA....Ishia hapa hapa!!!Daah hii ni NOUMA sana!! Kama mnavyojua tena mwanadada DIVA THE BAWSE  alishatangaza kujito TEAM WEMA ....Sasa hao wanaojiita Team wema huko

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUJIKUMBUSHE MABASI YA ABIRIA YA ZAMANI TOKEA TUPATE UHUR

Wadau haswa lale lalioenda umri kidogo, hebu tukumbushane mabasi yetu ya zamani. Mengi yalikuwa ni Leyland. thumbnail 1 summary

Wadau haswa lale lalioenda umri kidogo, hebu tukumbushane mabasi yetu ya zamani. Mengi yalikuwa ni Leyland.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA EXCLUSIVE PICHA ZA MJENGO PAMOJA NA MAGARI ANAYOMILIKI PROFESA JAY, DAH JAMAA YUKO MBALI, TAZAMA HAPA

 Mjengo mpya wa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay. thumbnail 1 summary
 Mjengo mpya wa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHEKA KISPOT: Jamaa alivyojichanganya katika usafiri wa daladala

Kuna jamaa 1 alipanda daladala mfukoni akiwa na shiling miatano tu! lakini daladala ilikuwa imejaa yaani walikuwa wamebanana ile mbay... thumbnail 1 summary



Kuna jamaa 1 alipanda daladala mfukoni akiwa na shiling miatano tu! lakini daladala ilikuwa imejaa yaani walikuwa wamebanana ile mbaya, sasa imefikia wakat konda anataka hela

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: