July 07, 2014

Pata picha ya video ya Mdogo mdogo ya Diamond kwa kutazama kipande hiki.

Video hii pamoja na ile ambayo ameshirikiana na Iyanya kutoka Nigeria Diamond Platnumz ameahidi kuziachia kesho wakati anasherehekea siku... thumbnail 1 summary
Diamond3Video hii pamoja na ile ambayo ameshirikiana na Iyanya kutoka Nigeria Diamond Platnumz ameahidi kuziachia kesho wakati anasherehekea siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi
ingawa kuna suprise ambayo imesemekana anataka kumfanyia zaidi ya kuachia video hizo.
Hii ni ni miongoni mwa video atakazoachia July 07,audio imefanywa na producer Tuddy
Thomas wimbo unaitwa Mdogo Mdogo umefanywa na director yule yule alitefanya video kadhaa za mastar wa Afrika anaitwa God Father.
Sekunde kadhaa za video hiyo ni hizi,.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: