July 07, 2014

ANGALIA HAPA VIDEO UJIONEE KITU CHA AJABU ALICHOKIBUNI HUYU MTOTO NI BALAA

Umri wake anaonekana bado mdogo lakini amejaribu kufanya kitu ambacho ukikitazama unaweza kujua nini alichokusudia kufanya,sijajua ni... thumbnail 1 summary

Umri wake anaonekana bado mdogo lakini amejaribu kufanya kitu ambacho ukikitazama unaweza kujua nini alichokusudia kufanya,sijajua ni kutoka nchi
gani huyu dogo nimekutana nayo facebook nikaona nikuonyeshe na wewe mtu wangu.
Asilimia kubwa hapo inaonekana katumia mabomba ya sindano ambayo kwake ndiyo kama yanaendeshea hiki kijiko.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: