October 22, 2014

MSANII MIKE TEE AVAMIWA NA MAJAMBAZI, ATANGAZA DONGE NONO KWA ATAEIONA GARI HII.

Msanii Mike Tee anaumaliza mwaka vibaya baada ya leo kuvamiwa na watu wenye silaha na kumpora mali zake zenye thamani kibao, Mike Tee am... thumbnail 1 summary
mike tee
Msanii Mike Tee anaumaliza mwaka vibaya baada ya leo kuvamiwa na watu wenye silaha na kumpora mali zake zenye thamani kibao, Mike Tee ameandika kwenye account yake ya Facebook maneno

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADANSA WA DIAMOND WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI...DIAMOND ATOKA NDUKI

Staa wa Bongo Fleva,  Nasibu Abdul 'Diamond'  (wa pili kutoka kushoto), akiwa na madansa wake pamoja na Nay wa Mitego wakit... thumbnail 1 summary


Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' (wa pili kutoka kushoto), akiwa na madansa wake pamoja na Nay wa Mitego wakitoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Leaders Club jijini Dar.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA NI KINGA YA UGONJWA WA KUPOOZA.

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo Marekani (American Heart Association) unaonyesha kuwa mboga za majani na matunda ni kinga sahihi y... thumbnail 1 summary
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo Marekani (American Heart Association) unaonyesha kuwa mboga za majani na matunda ni kinga sahihi ya kumwondoa binadamu kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa kupooza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO NANE YANAYOKUWEKA KATIKA HATARI YA KUUGUA UGONJWA WA KISUKARI

Yafuatayo ni mambo 8 yanayoweza kukuweka katika hatari ya kuugua ugonjwa wa kisukari. thumbnail 1 summary
Yafuatayo ni mambo 8 yanayoweza kukuweka katika hatari ya kuugua ugonjwa wa kisukari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NJIA RAISI ZA KUHESABU SIKU ZAKO ILI KUEPUKA MIMBA ZISIZOTARAJIWA

1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku... thumbnail 1 summary
1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini: 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

T.I kufika Marekani si akakutana na mwandishi aliemuuliza kuhusu Ebola Tanzania… alichojibu kiko hapa

Alikua mgeni kwenye stage ya Tamasha la Fiesta lililofanyika Leaders club October 18 2014 akiwa na timu yake ya watu wasiopungua watano n... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-10-22 at 9.29.15 AMAlikua mgeni kwenye stage ya Tamasha la Fiesta lililofanyika Leaders club October 18 2014 akiwa na timu yake ya watu wasiopungua watano na kuisimamia hiyo show kwa zaidi ya dakika 60.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA WANAWAKE WANAOTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO

ukubwa wa makalio yao na kujiletea madhara makubwa ya kiafya Hii ni kutokana na mtindo ambao unaonekana na wengi nchini humo kwamba mwa... thumbnail 1 summary


ukubwa wa makalio yao na kujiletea madhara
makubwa ya kiafya
Hii ni kutokana na mtindo ambao unaonekana na
wengi nchini humo kwamba mwanamke mwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JESHI LAANZA KUMCHUNGUZA DIAMOND BAADA YA KUPANDA STEJINI NA NGUO ZA JESHI, HIKI NDO KILICHOSEMWA NA KIONGOZI HUYU WA JESHI.

Kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo limeandika habari inayodai kuwa msanii Diamond Platnumz anachunguzwa Na jeshi la wananchi Tanza... thumbnail 1 summary
IMG_20141021_145913
Kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo limeandika habari inayodai kuwa msanii Diamond Platnumz anachunguzwa Na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ Kwa madai kuwa eti alitumbuiza Na magwanda ya jeshi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika jumamosi iliyopita katika viwanja vya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU BIG BROTHER HOTSHOTS

Diamond Platnumz akifanya makamuzi ndani ya Big Brother Hotshots. STAA wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Nasibu Abdul 'Di... thumbnail 1 summary

Diamond Platnumz akifanya makamuzi ndani ya Big Brother Hotshots.
STAA wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku huu amefanya makamuzi ya nguvu katika uzinduzi wa shindano la Big

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ben Pol adai uhusiano wa miezi 9 na Latifa ni mrefu zaidi aliowahi kuwa nao tangu awe staa

Uhusiano na mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2013, Latifa Mohamed wenye miezi tisa sasa, ndio uhusiano mrefu zaidi aliowahi kuwa nao Ben ... thumbnail 1 summary

Uhusiano na mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2013, Latifa Mohamed wenye miezi tisa sasa, ndio uhusiano mrefu zaidi aliowahi kuwa nao Ben Pol tangu awe staa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE, Q CHIEF AFUNGUKA KUHUSU BIFU LA DIAMOND NA ALI KIBA,

Mapya yanazidi kuibuka kuhusu ushindani wa Diamond na Ali Kiba amba ulianzia katika hitimisho la tamasha la Fiesta lililofanyika katika v... thumbnail 1 summary

q_chillar - bongoclan.co.tz

Mapya yanazidi kuibuka kuhusu ushindani wa Diamond na Ali Kiba amba ulianzia katika hitimisho la tamasha la Fiesta lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar. Mashabiki wa wasanii hawa wawili wanavutana huku kila

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE OMMY DIMPOZ ATOBOA SIRI YA PICHA ANAYOONEKANA AKISHUKA KWENYE TRENI

Baada ya kusambaa kwa picha ya Ommy Dimpoz anayoonekana akiwa kama kijana wa kijijini aliyetua mjini Dar es Salaam na watu wengi kuhis... thumbnail 1 summary


Baada ya kusambaa kwa picha ya Ommy Dimpoz anayoonekana akiwa kama kijana wa kijijini aliyetua mjini Dar es Salaam na watu wengi kuhisi ni picha yake ya zamani aliyopigwa wakati anatua Dar (kitu ambacho si kweli),

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALI KIBA AMMWAGIA SIFA DIAMOND KWA KUFANYA POA KATIKA JUKWAA LA FIESTA

Ni siku chache zimepita tangu tamasha la Serengeti Fiesta lifanyike, ambapo tulishuhudia baadhi ya wasanii wa hapa Bongo wakipata nafasi ya... thumbnail 1 summary

ali kiba na diamondNi siku chache zimepita tangu tamasha la Serengeti Fiesta lifanyike, ambapo tulishuhudia baadhi ya wasanii wa hapa Bongo wakipata nafasi ya kushare stage na wasanii wakubwa wa Afrika kama Davido na Waje huku kutoka Marekani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSIBA MWINGINE TENA....! BAADA YA KUONDOKEWA NA YP HUYU NI MSANII MWINGINE ALIYEFARIKI SIKU YA LEO

Ni masaa machache tu yamepita tangu muziki wa kizazi kipya Tanzania, Bongo Fleva kumpoteza aliyekuwa staa wa muziki huo kutoka kundi l... thumbnail 1 summary

Ni masaa machache tu yamepita tangu muziki wa kizazi kipya Tanzania, Bongo Fleva kumpoteza aliyekuwa staa wa muziki huo kutoka kundi la TMK Wanaume Family, aliyekuwa akifahamika kwa jina la YP, taarifa nyingine ya simanzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIGI YA MABIGWA: MATOKEO YA BARCELONA vs AJAX HAYA HAPA

BARCELONA imeshinda mabao 3-1 dhidi ya Ajax katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu wa Camp Nou. Neymar alianza kuif... thumbnail 1 summary

BARCELONA imeshinda mabao 3-1 dhidi ya Ajax katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu wa Camp Nou. Neymar alianza kuifungia Barcelona dakika ya nane kabla ya Lionel Messi kufunga la pili dakika ya 24,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDO JINSI BAYERN MUNICH ILIVOIPIGA KIPIGO CHA MBWA MWIZI AS ROMA UWANJA WA OLIMPICO MJINI ROME

Home » Unlabelled » BAYERN MUNICH YAITANDIKA ROMA 7-1 NYUMBANI KWAKE BAYERN Munich imeifumua AS Roma mabao 7-1 katika mchezo wa Kundi ... thumbnail 1 summary

Home » Unlabelled » BAYERN MUNICH YAITANDIKA ROMA 7-1 NYUMBANI KWAKE BAYERN Munich imeifumua AS Roma mabao 7-1 katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Olimpico mjini Rome,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DROGBA 'ACHEKA NA NYAVU' CHELSEA IKIUA 6-0 LIGI YA MABINGWA

CHELSEA imefanya kile kinachoitwa ‘mauaji’ baada ya kuifumua Maribor mabao 6-0 katika mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku h... thumbnail 1 summary

CHELSEA imefanya kile kinachoitwa ‘mauaji’ baada ya kuifumua Maribor mabao 6-0 katika mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Stamford Bridge, London. Loic Remy aliifungia bao la kwanza timu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SASA ALEX FERGUSON AHAMUA KUPASUA JIBU KUHUSU DAVID MOYES

KOCHA mstaafu, Sir Alex Ferguson amesema hakuwa na cha kufanya juu ya taratibu zilizotumika kumfukuza David Moyes katika klabu ya Manche... thumbnail 1 summary
KOCHA mstaafu, Sir Alex Ferguson amesema hakuwa na cha kufanya juu ya taratibu zilizotumika kumfukuza David Moyes katika klabu ya Manchester United Aprili mwaka huu na kwamba alichanganyikiwa baada ya kugundua hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGEL DIMARIA AZUA HOFU KUBWA MANCHESTER UNITED

WINGA Angel di Maria alionekana hayuko vizuri akiwa ameketi kwenye benchi la Manchester United usiku wa jana, huku amekandamizia baraf... thumbnail 1 summary

WINGA Angel di Maria alionekana hayuko vizuri akiwa ameketi kwenye benchi la Manchester United usiku wa jana, huku amekandamizia barafu katika nyonga yake kwenye mchezo huo ulioisha kwa sare ya 2-2 na West Bromwich Albion.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: