January 30, 2016

Sikuwahi Kumpenda Kanye West, Wiz Khalifa Ndiye Aliushika Moyo Wangu – Amber Rose

Amber Rose amesema hakuwahi kumpenda Kanye West wala ex wake wengine. thumbnail 1 summary


Amber Rose amesema hakuwahi kumpenda Kanye West wala ex wake wengine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kuwa wa Kwanza Kudownload Wimbo Mpya wa Navy Kenzo - Kamatia!

Kundi la Mziki la Navy Kenzo linalo Undwa na Nahreel na Aika Wameachia Wimbo wao mpya unaitwa thumbnail 1 summary


Kundi la Mziki la Navy Kenzo linalo Undwa na Nahreel na Aika Wameachia Wimbo wao mpya unaitwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Stori Kuhusu Mbwana Samatta Mara Baada ya Kutua Ubelgiji Kwenye Club ya Genk

Mbwana Samatta, amewasili nchini Ubelgiji tayari kujiunga rasmi na Klabu ya KRC Genk inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo. thumbnail 1 summary


Mbwana Samatta, amewasili nchini Ubelgiji tayari kujiunga rasmi na Klabu ya KRC Genk inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Desperate Single Women, Acheni Complication

Desperate Single Women Watajwa hapo juu ni wanawake ambao hawana waume/mahusiano ya kudumu. thumbnail 1 summary


Desperate Single Women
Watajwa hapo juu ni wanawake ambao hawana waume/mahusiano ya kudumu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kambi Rasmi Ya Upinzani Yagoma Kusoma Hotuba Yao Bungu Lasitishwa

Bunge Kwa mara nyingine bunge limesitisha shughuli zake baada ya kambi rasmi ya upinzani bungeni kugoma kusoma hotuba yao ya mpan... thumbnail 1 summary


Bunge
Kwa mara nyingine bunge limesitisha shughuli zake baada ya kambi rasmi ya upinzani bungeni kugoma kusoma hotuba yao ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu Aelezea Kwa Kina Beef yake na Zari, ‘Sio Nasib Wala sio Mwanamke Wake, Wote Waniache’ (Audio)

Wema Sepetu amefunguka kwa mapana kuhusiana na ugomvi wake na Zari the Bosslady ulioshuhudia warembo hao wakibadilishana michambo k... thumbnail 1 summary


Wema Sepetu amefunguka kwa mapana kuhusiana na ugomvi wake na Zari the Bosslady ulioshuhudia warembo hao wakibadilishana michambo kwenye Instagram.


Miss Tanzania huyo wa zamani alikuwa akihojiwa kwenye Ijumaa hii kwenye kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM. Alikuwa ameongozana na mpenzi wake, Idris Sultan.

Mimi nilivyoamua kuwa out of Diamond’s life niliamua hivyo and I am out of Diamond’s life. I don’t know why watu wanajaribisha sana kunibring back to his life wakati I have already like moved on,” alisema Wema.

“I accepted my break up with Diamond from the beginning and I never wanted anything to do with him, nilivyoamua kwamba this is is going to be it nikaamua. Mimi na Diamond tumeachana 2014 and I was the one who actually decided that it’s going to be over. Lakini wakati Diamond ameshamove on ameshakutana na girlfriend wake, mama wa mtoto wake mimi sikuwahi kujihusisha katika mambo yao. Lakini I think the girl (Zari) anakuwa kama ana kitu na mimi. I have been quite for a very long time, first year nimekaa kimya, second year nimekaa kimya, it’s like kama vile anataka kunichokonoa,” alifafanua.

Wema alisema kuwa kuna wakati Zari alikuwa anatembelea ukurasa wake wa Instagram na kulike baadhi ya post zake lakini aliamua kumblock ili kuepusha shari.

“Nilivyomblock nikaona sasa anaendelea,ataongea atamtag Esma sasa nikitagiwa mimi nakuta kwenye ‘photos of you.’ Anasema ndipo alipogundua kuwa Zari amemwandikia maneno makali yaliyomuumiza kiasi cha kuamua kuuvunja ukimya wake.

“So I said what I have to say, kwasababu najua at that point nimwambie tu kitu ambacho kitamkera, sijui kuhusu mtoto wao that’s their life na sitaki kujihusisha. So nikafanya hivyo ili naye kumkera kwasababu lengo si ni kukerana.”

Wema anasema baada ya kumjibu hivyo Zari, mpenzi wake Idris alimgombeza sana kwakuwa hakufurahia. Hata hivyo amesema watu wake wa karibu walimjaza kuwa amekuwa akimvumilia Zari kwa miaka mingi sasa na kwamba ifike wakati naye ajibu mashambulizi.

“So I was like ‘okay let me do it’ so I did lakini sio kwamba nimetaka kufanya ni kitu ambacho this is not me.” Muigizaji huyo alisema ndio maana aliamua kuandika post kwake kuwa amefunzwa kutogombana na ‘watu wazima.’

Kwa upande wake Idris alisema hakupenda kitendo hicho na hapendi kuona kikitokea tena.

"Mimi sipendi, mimi na Diamond hatuna tatizo, he has been a brother to me for a long time. Naamini kwamba yeye na Wema haya mambo ni ya nyuma na yalishatokea na hakuna tatizo. Sio kwamba wewe ukishaondoka ndio umefunga basi marafiki zako wote, Diamond anajuana na watu wangapi? Kama watu wote anaojuana nao ikitokea mmoja amependana na ex wake basi nilishatoka na kaka yangu basi ndio imetoka,” alisema Idris.

Wema alimalizia kwa kuwataka Diamond na Zari waachane na maisha yake. Mrembo huyo na mpenzi wake Idris wanatarajia kupata mtoto katikati ya mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chadema Wadai wako Tayari Kuchangisha Fedha Kuilipa TBC irushe Bunge Lote 'Live'

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kiko tayari kuzunguka thumbnail 1 summary


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kiko tayari kuzunguka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Idriss Sultan Asimulia A to Z Jinsi Alivyompa Mimba Wema Sepetu.....

WEMA ALIMWAMBIA IDRIS KUWA ANATAKA KUSAFISHA KIZAZI...IDRIS AKASEMA thumbnail 1 summary


WEMA ALIMWAMBIA IDRIS KUWA ANATAKA KUSAFISHA KIZAZI...IDRIS AKASEMA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aika na Nahreal; Muziki Kama Kawa, Mapenzi Kama Dawa

 Miongoni mwa wasanii wanao-ipeperusha vyema bendera ya Bongo kwa sasa ni Aika na thumbnail 1 summary


 Miongoni mwa wasanii wanao-ipeperusha vyema bendera ya Bongo kwa sasa ni Aika na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

January 28, 2016

Faiza Ally "Najua Nilikosea Kupost Mwanangu Akiwa Analia..Naomba Rathi ila...

Faiza Ally Awaomba Radhi Watanzania ila Kaacha Ujumbe huu: Kutoka kwa Faiza Ally "Hakuna njia rahisi ya kuvumbua maovu ... thumbnail 1 summary


Faiza Ally Awaomba Radhi Watanzania ila Kaacha Ujumbe huu:
Kutoka kwa Faiza Ally

"Hakuna njia rahisi ya kuvumbua maovu ya watu....niko tayari kupata misukosuko ya aina

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unamkumbuka Mwanamuziki Lil Kim! Huu Ndio Muonekano Wake wa Sasa...Nini Kimemtokea?

Hivi ndivyo Mwanamuziki Lil Kim Alivyo kwa sasa alivyokuwa akifanya show weekend thumbnail 1 summary



Hivi ndivyo Mwanamuziki Lil Kim Alivyo kwa sasa alivyokuwa akifanya show weekend

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nina Miaka 10 ila Siwezi Pitisha Siku Bila Kufanya Mapenzi na Watu Wakubwa

A girl aged 13 years is shockingly addicted to s**x that she complains that she cannot live in thumbnail 1 summary



A girl aged 13 years is shockingly addicted to s**x that she complains that she cannot live in

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mengine yaibuka Kuhusu Ranger Rover ya Wema Sepetu Baada ya Kusemekana Imekamatwa

Baada ya Martin Kadinda kusema gari ya Wema yuko nayo kihalali, hakuna deni lolote la kodi alikwepa kwenye kulipia gari hilo aina y... thumbnail 1 summary


Baada ya Martin Kadinda kusema gari ya Wema yuko nayo kihalali, hakuna deni lolote la kodi alikwepa kwenye kulipia gari hilo aina ya Range Rover aliyojipa zawadi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maoni ya Wananchi: Ni Sawa Kusitisha Matangazo ya Bunge LIVE TBC?

Je,Unadhani ni haki kwa serekali kukatiza matangazo ya moja kwa moja kwa shughuli za bunge? Tutoe maoni yetu hapa serekali itayaona... thumbnail 1 summary


Je,Unadhani ni haki kwa serekali kukatiza matangazo ya moja kwa moja kwa shughuli za bunge?
Tutoe maoni yetu hapa serekali itayaona na kuyafanyia kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha Hii ya ‘Mahaba Niue’ ya Jokate na Alikiba Yawa Gumzo Mtandaoni

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto. thumbnail 1 summary


Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali Yasema Mawaziri Wakuu Waliokihama Chama cha Mapinduzi (LOWASSA na SUMAYE ) Wataendelea Kulipwa Pensheni Zao Kama Kawaida

Serikali imesema leo kuwa mawaziri wakuu waliokihama Chama cha Mapinduzi (CCM) wataendelea kulipwa pensheni zao kwa mujibu wa sheri... thumbnail 1 summary


Serikali imesema leo kuwa mawaziri wakuu waliokihama Chama cha Mapinduzi (CCM) wataendelea kulipwa pensheni zao kwa mujibu wa sheria ya nchi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vurugu zaibuka, Wabunge wa Upinzani Watimuliwa Bungeni..Wapinga TBC Kukatazwa Kuonyesha Bunge live

Hali ya Sintofahamu imetawala Bungeni jioni hii kufuatia wabunge wa Upinzani kupinga TBC kusitisha kurusha live matangazo ya moja ... thumbnail 1 summary


Hali ya Sintofahamu imetawala Bungeni jioni hii kufuatia wabunge wa Upinzani kupinga TBC kusitisha kurusha live matangazo ya moja kwa moja kuanzia jana kwa kigezo cha kubana matumizi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hotel ya Mtoto wa Amani Karume yateketea kwa moto, Vijana wawili wahusishwa

Moto mkubwa umeteketeza hoteli ya kitalii ya Konokono Beach Resort iliyoko Michamvi mkoa wa kusini Unguja, inayomilikiwa na mtoto ... thumbnail 1 summary


Moto mkubwa umeteketeza hoteli ya kitalii ya Konokono Beach Resort iliyoko Michamvi mkoa wa kusini Unguja, inayomilikiwa na mtoto wa rais wa zamani wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serekali Yatangaza Kusitisha Matangazo ya Bunge Laivu Kuanzia Jana..Sababu Hizi Hapa

Serikali yatangaza leo Bungeni kuwa kuanzia tarehe 26 Januari 2016 TBC imesitisha kuonyesha baadhi ya matangazo ya moja kwa moja y... thumbnail 1 summary


Serikali yatangaza leo Bungeni kuwa kuanzia tarehe 26 Januari 2016 TBC imesitisha kuonyesha baadhi ya matangazo ya moja kwa moja ya shughuli za Bunge

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wasira Kumrudisha Tena Esther Bulaya Mahakani..Sasa Kesi Kufunguliwa Upya Mahakama ya Rufaa

Steven Wasira Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza, kuipiga chini kesi iliyokuwa ikimkabili mbunge wa Bunda Mjini (... thumbnail 1 summary


Steven Wasira
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza, kuipiga chini kesi iliyokuwa ikimkabili mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Esther Bulaya, wadai katika kesi hiy

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zitto Kabwe Awashukia Takururu Kwa Kushindwa Kuwafikisha Mahakamani Lake Oil na IPTL

Zitto Kabwe IKIWA imepita siku moja toka taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU thumbnail 1 summary


Zitto Kabwe
IKIWA imepita siku moja toka taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

January 27, 2016

Zile Picha za Mwanamke Aliyekutwa Shimoni Hakuwa Msukule, Ndugu Wamesimulia.. (+Audio)

Kulikuwa na picha mitandaoni zilizoenea, wako waliosema mwanamke huyo aliyekutwa maeneo ya Kibamba Dar ni msukule… wengine wakasema... thumbnail 1 summary


Kulikuwa na picha mitandaoni zilizoenea, wako waliosema mwanamke huyo aliyekutwa maeneo ya Kibamba Dar ni msukule… wengine wakasema ana matatizo ya akili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tetesi Kubwa Tano za Usajili wa Ulaya Pamoja na Swala la Kujiuzulu Kwa Van Gaal wa Manchester United

Barani Ukaya kwasasa ni vurugu kwenye soko la usajili wa wachezaji kila timu ikitaka kujiimarisha thumbnail 1 summary
Barani Ukaya kwasasa ni vurugu kwenye soko la usajili wa wachezaji kila timu ikitaka kujiimarisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maiti ya Kijana Mtanzania yazuiwa India Siku 27 Sasa..Kisa Kizima Hichi Hapa

Jeneza Mwili wa kijana, Abel Machanga (24), aliyefariki dunia Desemba 31 thumbnail 1 summary


Jeneza
Mwili wa kijana, Abel Machanga (24), aliyefariki dunia Desemba 31

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Amuua Mwenzake Kwa Kipigo Baada ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake

Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada ku... thumbnail 1 summary



Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Spika Job Ndugai Anaweza Kulikimbia Bunge Hili, Kiatu Kinapwaya

Job Ndugai  Wakuu sitaki niongee kishabiki wala kwa hisia ila tu naongea kiuhalisia kupitia jukwaa hili! thumbnail 1 summary


Job Ndugai 
Wakuu sitaki niongee kishabiki wala kwa hisia ila tu naongea kiuhalisia kupitia jukwaa hili!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari: Wakiniita ‘Bi Kizee’ Huwa Najiangalia Kwenye Kioo Najiona Mrembo Sana

Zari Hassan Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni m... thumbnail 1 summary


Zari Hassan
Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa Mwigizaji wa Bongo Movies Wastara Juma MSANII wa filamu Wastara Juma amb... thumbnail 1 summary

Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa



Mwigizaji wa Bongo Movies Wastara Juma
MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu wake nchini India, amedai akirejea nchini, atakuja kivingine katika kazi zake za uigizaji.

Akizungumza kwa njia ya simu akiwa huko, Wastara alisema anam shukuru Mungu kwani anaendelea vizuri na matibabu, lakini akawaahidi mashabiki wake vitu vipya kwani safari yake huko imemuo ngezea ubunifu.

“Yaani nikirudi Bongo naamini nitakuwa niko fiti na nitafanya makubwa kwa kutoa filamu kali zenye ubunifu mkubwa tofauti na zamani hivyo mashabiki wakae mkao wa kula,” alisema Wastara.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Andrew Chenge Asema Haya Kuhusu Sakata la Tegeta Escrow Baada ya Kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa Bunge

MBUNGE wa Bariadi, Andrew Chenge na wabunge wawili wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na Najma Giga, wamechaguliwa kuwa Wenyeviti wa Bung... thumbnail 1 summary
MBUNGE wa Bariadi, Andrew Chenge na wabunge wawili wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na Najma Giga, wamechaguliwa kuwa Wenyeviti wa Bunge kwa kipindi cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bosi Amlawiti Mtumishi wa Nyumbani Mpaka Kusababisha Kifo Chake

Picha si ya tukio Mtumishi  wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo,... thumbnail 1 summary


Picha si ya tukio
Mtumishi  wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo, Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 27, Ikiwemo ya Madee Kugoma Kuchoma Gari yake

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 27, Ikiwemo ya Madee Kugoma Kuchoma Gari yake ... thumbnail 1 summary


Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 27, Ikiwemo ya Madee Kugoma Kuchoma Gari yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: