January 28, 2016

Faiza Ally "Najua Nilikosea Kupost Mwanangu Akiwa Analia..Naomba Rathi ila...

Faiza Ally Awaomba Radhi Watanzania ila Kaacha Ujumbe huu: Kutoka kwa Faiza Ally "Hakuna njia rahisi ya kuvumbua maovu ... thumbnail 1 summary


Faiza Ally Awaomba Radhi Watanzania ila Kaacha Ujumbe huu:
Kutoka kwa Faiza Ally

"Hakuna njia rahisi ya kuvumbua maovu ya watu....niko tayari kupata misukosuko ya aina yoyote ili kuleta mabadiliko kwa mateso wanayo pitia wanawake na watoto... Ntasimama kwenye ukweli hata kama naumia kutukanwa na wamama wasio jielewa lkn mwisho wa siku ntawapa ujasiri wa kusimamia haki zenu na watoto wenu....NAJUA NIMEKOSA KUPOST MWANANGU AKIWA ANA LIA..... Lkn hiyo ndio ilikua njia pekee ya kuonyesha umma kuwa kuna haya... Mtoto ni jukumu la baba na mama ! Hata kama wamama tunajikaza kutunza watoto wetu lkn mwisho wa siku tuna umia na tunahitaji misaada kutoka kwa wenzi wetu.... Na sio mahitaji tu na mapenzi  ya baba na mtoto....Najua nchi yangu bado wana wake wako nyuma ktk kuungana na kujisimamai lkn mm ntajitolea na najua haita kuwa faida ya mmoja itakua ya wengi... Na hata wanaume wengine watajifunza kupitia hapa! Ntasimama... Ntawajibika... Na ntashiriki... Ikiwa binafsi! Serekali au makampuni binafsi kwa ajilia yangu na wanawake wengine ......KWA MTANZANIA YOYOTE NILIE MUUMIZA KUPITIA VIDEO YA SASHA NAOMBA RATHI LKN NAOMBA MSIANGALIE TU VIDEO ANGALIENI NA MAMBO MENGINE YA MUHIMU KTK HILI....! #HAKUNA JAMBO RAHISI..." Faiza Ally

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: