July 01, 2014

HuZUNI SANA~ TID MNYAMA AMTUKANA RAY C MATUS MAKUBWA SANA INSTAGRAM, SOMA ZAID HAPA

Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze. thumbnail 1 summary

Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUTUA BONGO DAVIDO ALIKIRI WAZI KUWA HAWA NDIYO WANAWAKE WAREMBO ALIO TOKEA KUWATAKA KIMAHABA

PLZ SEND: TMT 07 KWENDA 15678 Maneno hayo yamesemwa na msanii mashuhuri sana wa Nigeria, Davido pale alipokutana na picha za wagombea... thumbnail 1 summary

PLZ SEND: TMT 07 KWENDA 15678
Maneno hayo yamesemwa na msanii mashuhuri sana wa Nigeria, Davido pale alipokutana na picha za wagombea umiss wa mwaka 2013 pindi alipotembelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKE WA WIZ KHALIFA, AMBER ROSE LICHA YA KUJIFUNGUA BADO AENDELEA KUTISHA TAZAMA HAPA SXY PHOTO...!

Toka ajifungue mke wa rapper Wizzy Khalifa anayejulikana kwa jina la Amber Rose ameonekana  akirudi thumbnail 1 summary


Toka ajifungue mke wa rapper Wizzy Khalifa anayejulikana kwa jina la Amber Rose ameonekana akirudi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI WALIOSOMA SHULE YA MSINGI AMANI DODOMA MIAKA YA NYUMA

Umoja wa wanafunzi waliosoma Shule ya Msingi Amani Dodoma waliosoma miaka ya Nyumba wameamua kufanya kitu cha kipekee kama ishara ya kumb... thumbnail 1 summary

Umoja wa wanafunzi waliosoma Shule ya Msingi Amani Dodoma waliosoma miaka ya Nyumba wameamua kufanya kitu cha kipekee kama ishara ya kumbukumbu ya walipotoekea na kutambua mchango wa shule hiyo kuwafisha mahali walipo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI Sababu zipi zinapelekea mahouse girl kuwazidi kete maboss wao na kuchukua nafasi ya mke ndani ya nyumba? Jibu hili hapa.

NI siku nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya ... thumbnail 1 summary

NI siku nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. 
Mimi nitakuwa mchoyo wa shukurani kama sitachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa mema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MISUKULE YAENDELEA KUMTESA MZEE WA UPAKO, MWENYEWE ALALAMA

MBALI  na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makan... thumbnail 1 summary


MBALI na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJANGA, MTOTO MIAKA 6, HAKUI, HAONGEI TAFADHALI SOMA HAPA UMSAIDIE MTOTO HUYU

HUSSEIN  Jumbe ni mtoto mwenye miaka 6 sasa, lakini hakui, kwani hajaweza kukaa  wala  kuongea, mwonekano wake ni sawa na mtoto wa  mwak... thumbnail 1 summary


HUSSEIN Jumbe ni mtoto mwenye miaka 6 sasa, lakini hakui, kwani hajaweza kukaa  wala  kuongea, mwonekano wake ni sawa na mtoto wa  mwaka mmoja, imekuwa kilio  na majonzi kwa mama yake  mzazi, Rukia Twalibu, mkazi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKATILI, MME AMPIGA MKE NA NYUNDO KICHWANI, AMCHARANGA KWA MAPANGA MWILI MZIMA,SOMA HAPA

DAH!  Inasikitisha sana jamani. Faustina Selali, 38, mkazi wa Mgeta, Mvomero mkoani hapa, yupo kwenye mateso makali akijiuguza kutokana na... thumbnail 1 summary
DAH! Inasikitisha sana jamani. Faustina Selali, 38, mkazi wa Mgeta, Mvomero mkoani hapa, yupo kwenye mateso makali akijiuguza kutokana na kipigo alichopata kutoka kwa mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

50 CENTS AFUNGUKA KUHUSU MSANII DIAMOND PLATINUM

Mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini Tanzania, bado wanayo maswali mengi yasiyokuwa na majibu  kuhusu suala la msanii Diamond Platnum... thumbnail 1 summary
Mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini Tanzania, bado wanayo maswali mengi yasiyokuwa na majibu kuhusu suala la msanii Diamond Platnums, kuzimikiwa na warembo ambao kibongo bongo wana chukuliwa kuwa high classy. Wema Sepetu, Jackline Wolper, Jokate Mwegelo,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full time ya Nigeria vs Ufaransa – wafungaji na matokeo

Ndoto za mabingwa wa Afrika Nigeria kuingia kwenye historia ya kucheza hatua 8 bora ya michuano ya kombe la dunia zimefutika rasmi le... thumbnail 1 summary

20140630-231746-83866695.jpg


Ndoto za mabingwa wa Afrika Nigeria kuingia kwenye historia ya kucheza hatua 8 bora ya michuano ya kombe la dunia zimefutika rasmi leo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huu ni wimbo mpya wa Chris Brown ft Usher & Rick Ross – New Flame

Baada ya kurudi kwa show ya BET awards Chris Breezy ametoa wimbo mpya akiwa na Rick Ross & Usher. Unaweza kuusikiliza na ku-download ... thumbnail 1 summary
newBaada ya kurudi kwa show ya BET awards Chris Breezy ametoa wimbo mpya akiwa na Rick Ross & Usher. Unaweza kuusikiliza na ku-download hapa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NI LISTI MPYA YA FORBES YA MOST POWERFUL CELEBRITIES NA PESA WALIZOINGIZA KWA MWAKA.

Forbes mtandao unaoaminika kwa kutoa list mbalimbali za uhakika hivi sasa wametoa list ya most powerful celebrities pamoja na pesa wali... thumbnail 1 summary
bey
Forbes mtandao unaoaminika kwa kutoa list mbalimbali za uhakika hivi sasa wametoa list ya most powerful celebrities pamoja na pesa walizoingiza tangu June 2013 hadi June 2014. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OFISI YA RAIS-SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA YATANGAZA NAFASI ZA KAZI 1,324 JANA 30 JUNI, 2014..CHANGAMKIA DILI HILO

Serikali yatangaza nafasi za kazi 1,324. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia Watanzania wenye sifa na uw... thumbnail 1 summary




Serikali yatangaza nafasi za kazi 1,324.

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 1,324 ambazo ni kwa ajili ya waajiri mbalimbali Nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO MHIMU KWA MWANAUME KUFANYA ILI KUEPUKA KUCHUNWA NA WANAWAKE

Naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha, ambao hawaishi na  wazazi wao, wanaokumbana na mkono wa Mama/Baba mwenye n... thumbnail 1 summary

Naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha, ambao hawaishi na 
wazazi wao, wanaokumbana na mkono wa Mama/Baba mwenye nyumba kila baada ya miezi sita mitatu au mwaka..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALIYEKUWA AKIZUIA MAGARI YASIKANYAGE MAITI DAR NAE AGONGWA NA KUFARIKI PAPO HAPO, SOMA ZAIDI

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi akiwamo Emmanuel Ndahani (39) mkazi wa Kibamba, aliyegongwa na gari na kufar... thumbnail 1 summary


WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi akiwamo Emmanuel Ndahani (39) mkazi wa Kibamba, aliyegongwa na gari na kufariki dunia alipokuwa akiweka alama za matawi kuzuia gari zisikanyage maiti. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA: SIOLEWI KWA KUFUATA MKUMBO WA WATU WENGINE

STAA  wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema anaishi katika staili ya kivyake hivyo kamwe hawezi thumbnail 1 summary
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema anaishi katika staili ya kivyake hivyo kamwe hawezi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: