July 01, 2014

HuZUNI SANA~ TID MNYAMA AMTUKANA RAY C MATUS MAKUBWA SANA INSTAGRAM, SOMA ZAID HAPA

Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze. thumbnail 1 summary

Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze.


Mwimbaji huyo ambaye anadaiwa kuwa mmoja wa wasanii wanaotumia dawa za

kulevya huenda alihisi Ray C anataka kumletea habari za kumsaidia kuachana na matumizi ya dawa hizo kupitia Methadone.

“Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Aliandika Ray C.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: