October 25, 2014

SALMA JABIR:SINA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA DIRECTOR WANGUXXX

Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakuwa uliwahi kukutana na picha ya mtangazaji na pia mwongozaji wa kipindi cha ... thumbnail 1 summary
Salma Jabir


Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakuwa uliwahi kukutana na picha ya mtangazaji na pia mwongozaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir akimpiga busu mmoja kati ya director wa kipindi cha mkasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HOFU YA UGONJWA WA EBOLA YATANDA MJINI MOSHI

Lango kuu la kuingia zahanati ya Shirimatunda likiwa na tangazo la kusitishwa kwa huduma za afya katika zahanati hiyo kwa hofu ya ku... thumbnail 1 summary

Lango kuu la kuingia zahanati ya Shirimatunda likiwa na tangazo la kusitishwa kwa huduma za afya katika zahanati hiyo kwa hofu ya kuwapo kwa mgonjwa wa Ebola.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAY C AFUNGUKA MAZITO KUHUSU CHID BENZ KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA.

Baada ya msanii Chidi Benz kukamatwa na madawa ya kulevya jana jioni 24 Oct 2014 akiwa njiani kuelekea Mbeya, Ray C ambaye nae alikuwa na... thumbnail 1 summary

Baada ya msanii Chidi Benz kukamatwa na madawa ya kulevya jana jioni 24 Oct 2014 akiwa njiani kuelekea Mbeya, Ray C ambaye nae alikuwa na matatizo na madawa na sasa ameweza kupona na kuwa msaada kwa waathirka wengine kupitia foundtion yake ya RAY C,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIRI IMEFICHUKA: MTIFUANO KATI YA DIAMOND NA ALIKIBA KUMBE CHANZO NDIO HIKI HAPA.

Kama umefuatilia katika wiki  hii kumekuwa na vuguvugu kali  linaloendelea kati ya Mahasimu hawa wawili, sasa wengi wakiwa hawajui nini ... thumbnail 1 summary

Kama umefuatilia katika wiki hii kumekuwa na vuguvugu kali linaloendelea kati ya Mahasimu hawa wawili, sasa wengi wakiwa hawajui nini chanzo cha Bifu kubwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamke aliyejinusuru kubakwa na kumuua mbakaji, ahukumiwa kunyongwa.

Reyhaneh Jabbari mwenye umri wa miaka 26 amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtu mmoja ambaye alifanya jaribio la k... thumbnail 1 summary
Iran MadamReyhaneh Jabbari mwenye umri wa miaka 26 amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtu mmoja ambaye alifanya jaribio la kumbaka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIRI NJE NJE, SAFARI HII HAKUNA UBISHI, NI KWAMBA MISS TANZANIA ANA MIAKA 25 NA SIYO 18 KAMA ANAVYODAI YEYE, UKWELI HU HAPA

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu. LILE  sakata la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu kudaiwa kudanganya limein... thumbnail 1 summary

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu.



LILE sakata la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu kudaiwa kudanganya limeingia ukurasa mwingine kufuatia ufukunyuku wa gazeti hili kubaini kuwa, miaka 25 ndiyo sahihi kwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE NEWS,UNAAMBIWA WAZIRI ARUSHIANA NA MWANAE WA KUMZAA MUDA HUU

Naibu Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Lucy Nkya. Naibu Waziri wa zamani wa Afya na  mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki , Lucy Nkya, ... thumbnail 1 summary

Naibu Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Lucy Nkya.
Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FREEMASON YAZUA KIZAAZAA KWENYE ZOEZI LA CHANJO HUKO RUFIJI PWANI

Chanjo ya surua na rubella katika baadhi ya maeneo wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani imekumbwa na changamoto mbalimbali, ikiwamo ya baadh... thumbnail 1 summary
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhl7rP2AegT5zgGsqVHCLevz02wTFh89Rx6djkVDChLZ3JNbtlOM74qZhCuSnwN0c_BwnX1sOFqtAZMwlI-3K-SjouvHojcgAe8pBkfabmozdSZ2T9o0gwGMcfSr043JFPGE6lmDbpyX50V/s1600/elkra.JPG

Chanjo ya surua na rubella katika baadhi ya maeneo wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani imekumbwa na changamoto mbalimbali, ikiwamo ya baadhi ya wananchi kugoma kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya kwa madai kuwa dawa hizo zinatolewa na ‘Freemason’ ili kuwafunga vizazi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHAKIRA, JENIFFER LOPEZ WATUMIKA KWA UTANI WA EL CLASICO.

Ushabiki mkubwa wa klabu kubwa mbili za Hispania, Barcelona na Real Madrid, sasa umeingia kwenye sura nyingine. Mechi ya kesho ya El C... thumbnail 1 summary
Ushabiki mkubwa wa klabu kubwa mbili za Hispania, Barcelona na Real Madrid, sasa umeingia kwenye sura nyingine.Mechi ya kesho ya El Clasico sasa imevushwa hadi kwa wanamuziki wawili nyota wanawake.Jennifer Lopez yeye ni Real Madrid

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHINA AKAMATWA HUKO PWANI BAADA YA KUMTEKA MWENZAKE, AKUTWA NA RISASI 300

JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia raia wa nchi ya China We Sheng (39) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma... thumbnail 1 summary


JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia raia wa nchi ya China We Sheng (39) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumteka nyara Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viatu vya Plastiki (Yeboyebo), Li Cheng Weng (54) baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAKUNA UBISHI SITTI MTEMVU KADANGANYA UMRI

LILE  sakata la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu kudaiwa kudanganya limeingia ukurasa mwingine kufuatia ufukunyuku wa gazeti h... thumbnail 1 summary
LILE sakata la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu kudaiwa kudanganya limeingia ukurasa mwingine kufuatia ufukunyuku wa gazeti hili kubaini kuwa, miaka 25 ndiyo sahihi kwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA KANUMBA: WEMA ZAA FASTA

MAMA  wa aliyekuwa nguli wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amempa darasa la kuzaa haraka mwigizaji Wema Sepetu na mpenzi... thumbnail 1 summary
MAMA wa aliyekuwa nguli wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amempa darasa la kuzaa haraka mwigizaji Wema Sepetu na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAVINA: NATESEKA KUZUIWA KUMUONA MWANANGU

STAA  wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa yuko katika mateso makali baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa takriban mie... thumbnail 1 summary
STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa yuko katika mateso makali baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa takriban miezi mitatu na mzazi mwenzake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROSE MUHANDO MGONJWA

TUMUOMBEE!  Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. thumbnail 1 summary
TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUTEMANA NA EDZEN..UNAAMBIWA DIDA NDOA TENA! AMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE MPYA

Mtangazaji wa Kipindi wa Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' akimlisha keki Shemeji yake, Feisal. SIKU  chache baada ya kudai hawezi kuo... thumbnail 1 summary

Mtangazaji wa Kipindi wa Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' akimlisha keki Shemeji yake, Feisal.


SIKU chache baada ya kudai hawezi kuolewa kwa sasa, mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHID BENZ NAYE HUENDA AKAOZEA GEREZANI...NI BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE :

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz'. MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid B... thumbnail 1 summary



Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz'.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroine na bangi akiwa kwenye Uwanja wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINSI YA KUTAMBUA NA KUDHIBITI UGONJWA WA PRESHA MAPEMA.

Presha ya Juu hutokea endapo itazidi kiasi cha140/90mmlHg na ikiwa haitibiwi huharibu mishipa ya damu katika macho, misuli ya moyo kuwa... thumbnail 1 summary
Presha ya Juu hutokea endapo itazidi kiasi cha140/90mmlHg na ikiwa haitibiwi huharibu mishipa ya damu katika macho, misuli ya moyo kuwa minene , kusababisha mshutuko wa  moyo (heart attack), mshipa ya damu safi kuwa migumu, figo kushindwa kufanya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAUMIVU NA KUVIMBA KATIKA SEHEMU ZA HAJA KUBWA

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sah... thumbnail 1 summary
Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUPONA VIDONDA VYA TUMBO FUATA MAMBO HAYA MUHIMU SANA.

Watu wengi wamekuwa wakilalamika kutopona vidonda vya tumbo baada ya kutumia dawa mbalimbali sababu wamekuwa wakipatiwa dawa ambazo ha... thumbnail 1 summary

Watu wengi wamekuwa wakilalamika kutopona vidonda vya tumbo baada ya kutumia dawa mbalimbali sababu wamekuwa wakipatiwa dawa ambazo hazitibu kabisa tatizo hilo bali kupunguza maumivu.Baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu sasa suluhisho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NESI WA EBOLA APONA NA AKUTANA NA KUMPA HAGI RAIS OBAMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI

Mmoja wa manesi waliopata Ebola wakati akimuuguza mgonjwa wa Ebola Thomas Eric Duncan aliyepata wakati akitokea Liberia. Nesi Nin... thumbnail 1 summary


Mmoja wa manesi waliopata Ebola wakati akimuuguza mgonjwa wa Ebola Thomas Eric Duncan aliyepata wakati akitokea Liberia. Nesi Nina Pham leo Ijumaa Oct 24, 2014

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: