December 12, 2015

PICHA 9 ZA WAZIRI KITWANGA ALIVYOKARIBISHWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI BAADA YA KUAPISHWA LEO DEC 12

December 10 2015 Rais John Pombe Magufuli alitangaza baraza lake la Mawaziri katika awamu yake ya uongozi Ikulu Dar ingawa halikukamilik... thumbnail 1 summary
December 10 2015 Rais John Pombe Magufuli alitangaza baraza lake la Mawaziri katika awamu yake ya uongozi Ikulu Dar ingawa halikukamilika, Leo Dec 12 shughuli ya uapishwaji ilifanyika.
Hapa ninazo picha kutokea Wizara ya Wambo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAGUFULI AMWAGA MABILIONI YA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU,SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

Shilingi billion 473 zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka huu ikilinganishwa na Shilingi b... thumbnail 1 summary
Shilingi billion 473 zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka huu ikilinganishwa na Shilingi bilioni 341 zilizotolewa mwaka jana ikiwa ni ongezeko la Tsh. bilioni 132 katika bajeti ya mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PROFESA LIPUMBA,LISSU WAPINGA UTEUZI WA MUHONGO NA MWAKYEMBE

Saa chache baada ya rais Magufuli kutangaza baraza lake la Mawaziri ambalo limekuwa baraza dogo kama alivyoahidi, aliyekuwa mwenyekiti wa C... thumbnail 1 summary
Saa chache baada ya rais Magufuli kutangaza baraza lake la Mawaziri ambalo limekuwa baraza dogo kama alivyoahidi, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu wamekosoa uteuzi wa Profesa Sospeter Muhongo na Dk. Harison Mwakyembe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: