November 20, 2014

HAYA NDIO MAJIBU YA MSANII DIAMOND ALIPOULIZWA LEO HII KUHUSU KUACHANA NA WEMA SEPETU>

Copied From Clouds FM, ... He didn't like to talk about it... and this is his answer when he was asked  about breaking up with Wem... thumbnail 1 summary


Copied From Clouds FM, ... He didn't like to talk about it... and this is his answer when he was asked  about breaking up with Wema ....today on Clouds FM ........ 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE:NEW SONG KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ - NITAMPATA WAPI?

Mabibi na mabwana tunamleta kwenu Diamond Platnumz Akiwa na wimbo wake mpya unaoutwa nitampata wapi, kuwa wakwanza kusikiliza hapa  thumbnail 1 summary


nitampata wapi

Mabibi na mabwana tunamleta kwenu Diamond Platnumz Akiwa na wimbo wake mpya unaoutwa nitampata wapi, kuwa wakwanza kusikiliza hapa 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMA KWELI WATU WENGINE HAWANA HIYANA..UNAAMBIWA MASOGANGE NA MCHUMBA WAKE SASA NI PAKA NA CHUI

SIKU  chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umeti... thumbnail 1 summary


SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA VJ PENNY AKUMBWA NA MAPEPO BARA BARANI... AEGESHA GARI PEMBENI NA KUANZA KUPIGA MAYOWE

Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ anadaiwa kukumbwa na mauzauza yaliyodaiwa ni mapepo na kuj... thumbnail 1 summary


Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ anadaiwa kukumbwa na mauzauza yaliyodaiwa ni mapepo na kujikuta akipiga makelele barabarani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEVUNJA REKODI KWA KUPENDA KUZAA WATOTO WENGI...

Staa wa Filamu za Kibongo,   Shamsa Ford. Staa wa Filamu za Kibongo,  Shamsa Ford amesema kuwa kutokana na kupenda watoto anaona ha... thumbnail 1 summary




Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford.
Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema kuwa kutokana na kupenda watoto anaona hawezi kutosheka kuzaa watoto wawili au watatu ila atakachofanya ni kuzaa tu mpaka atakapoambiwa hospitali inatosha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUWADI NAMBA MOJA WA DIAMOND ''HALIMA KIMWANA SIHUSIKI UHUSIANO WA DIAMOND NA ZARI''

Dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana akipozi naye.. Mdada wa mjini ambaye ni dada wa hiyari wa ... thumbnail 1 summary


Dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana akipozi naye..

Mdada wa mjini ambaye ni dada wa hiyari wa msanii,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNTY EZEKIEL AANGUA KILIO ‘LOCATION’ KWA NINI SOMA HAPA ZAIDI

DIVA  wa Filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel hivi karibuni alijikuta akiangua kilio alipokuwa eneo la kuigiza ‘location’ pande za Kijichi ji... thumbnail 1 summary
DIVA wa Filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel hivi karibuni alijikuta akiangua kilio alipokuwa eneo la kuigiza ‘location’ pande za Kijichi jijini Dar baada ya kusumbuliwa na jino ambapo alishindwa kuvumilia maumivu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENNY AKUMBWA NA MAUZUZA!

Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ anadaiwa kukumbwa na mauzauza yaliyodaiwa ni mapepo na kujik... thumbnail 1 summary
Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ anadaiwa kukumbwa na mauzauza yaliyodaiwa ni mapepo na kujikuta akipiga makelele barabarani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WABUNGE WA TANZANIA WALIOKUFA KWA AJALI

WIKI  iliyopita tuliwaletea marais waliouawa kwa risasi wakiwa madarakani. Wiki hii tunawaletea wabunge wa Tanzania waliokufa kwa ajali, iw... thumbnail 1 summary
WIKI iliyopita tuliwaletea marais waliouawa kwa risasi wakiwa madarakani. Wiki hii tunawaletea wabunge wa Tanzania waliokufa kwa ajali, iwe ndege, gari au

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MPYA HII DUNIANI: BIKIRA NDICHO KIGEZO CHA KUWA ASKARI INDONESIA

Serikali ya Indonesia inaelezwa kuruhusu kuwafanyia wanawake wanaotaka kujiunga na Jeshi la Polisi kipimo cha bikira ,shirika la Huma... thumbnail 1 summary

Serikali ya Indonesia inaelezwa kuruhusu kuwafanyia wanawake wanaotaka kujiunga na Jeshi la Polisi kipimo cha bikira ,shirika la Human rights Watch limeeleza. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHERIA KALI KWA WANAOVUTA SIGARA HADHARANI.

Suala la watu wengi kutopendezwa na kitendo cha baadhi ya watu kuvuta sigara hadharani ama ndani ya vyombo vya usafiri limekuwa likizung... thumbnail 1 summary
Suala la watu wengi kutopendezwa na kitendo cha baadhi ya watu kuvuta sigara hadharani ama ndani ya vyombo vya usafiri limekuwa likizungumziwa sehemu mbalimbali na ikafika wakati hata Bunge la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO YANAYOSABABISHA MKOJO KUWA NA HARUFU MBAYA.

Yafuatayo ni mambo ambayo yanweza kusababisha mkojo kuwa na harufu mbaya asa wakati wa asubuhi na mara nyigine muda wowote ndani ya siku. thumbnail 1 summary
Yafuatayo ni mambo ambayo yanweza kusababisha mkojo kuwa na harufu mbaya asa wakati wa asubuhi na mara nyigine muda wowote ndani ya siku.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BILIONEA WA DUNIA BILL GATES KUSAIDIA KUPAMBANA NA EBOLA

Bill  Gates  na Melinda Gates. MFUKO wa Bill na Melinda Gates umeahidi kutoa kiasi cha dola milioni 5.7 kwa ajili ya mradi kusaidia... thumbnail 1 summary
Bill Gates na Melinda Gates.
MFUKO wa Bill na Melinda Gates umeahidi kutoa kiasi cha dola milioni 5.7 kwa ajili ya mradi kusaidia matibabu dhidi ya maradhi ya Ebola nchini Guinea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DALILI ZA UGONJWA WA KIFUA KIKUU.

  Ugonjwa wa tb au kifua kikuu unatibika kabisa kama ukiwahi mapema. Nenda hospitali mara uonapo dalili hizi:- thumbnail 1 summary


 

Ugonjwa wa tb au kifua kikuu unatibika kabisa kama ukiwahi mapema. Nenda hospitali mara uonapo dalili hizi:-

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (Ovarian cyst)

Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke... thumbnail 1 summary

Uvimbe kwenye mayai ya
mwanamke (ovary) hutokana na
mkusanyiko wa majimaji
yanayozungukwa na kuta
nyembamba ndani ya mayai ya
mwanamke. Uvimbe huu ambao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DALILI NA VISABABISHI VYA PRESHA.

Visababishi vya presha kuwa juu ni pamoja na:- Chuvi nyingi Unene uliozidi Umri mkubwa au uzee Figo ikiwa haifanyi kazi Historia ya ug... thumbnail 1 summary


Visababishi vya presha kuwa juu ni pamoja na:-
Chuvi nyingi
Unene uliozidi
Umri mkubwa au uzee
Figo ikiwa haifanyi kazi
Historia ya ugonjwa
wapresha kwenye familia
Ugonjwa wa kisukari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SENTENSI 14 ZA UWONGO WA WANAWAKE:

1. I love u baby  2. nipo singo  thumbnail 1 summary

1. I love u baby 
2. nipo singo 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HILI NDILO TUKIO LINALOBAMBA KWA SASA DUNIANI, TAZAMA NYOKA AKIMFANYA BINADAMU MASAJI KWA USTADI MKUBWA

  UNAPENDA  kufanyiwa masaji na nyoka? Unaweza kukaza roho na usiogope kung’atwa? Kama ndio basi nenda nchini Indonesia utaipata kw... thumbnail 1 summary


 
UNAPENDA kufanyiwa masaji na nyoka? Unaweza kukaza roho na usiogope kung’atwa? Kama ndio basi nenda nchini Indonesia utaipata kwa raha zako.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ali Kiba Kumbuka Majivuno na Maringo Ndivyo Vilivyokupoteza

Kwako staa uliyerudi kivingine na wimbo wa Mwana, Ali Kiba. Vipi uko poa? Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na harakati zako za ki... thumbnail 1 summary
Kwako
staa uliyerudi kivingine na wimbo wa Mwana, Ali Kiba. Vipi uko poa? Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na harakati zako za kimuziki.Ukitaka kujua hali yangu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kinachoendelea Kuhusu Kesi ya Mauaji ya Mwigizaji Lulu Michael

Stori: Musa Mateja KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imewekwa kiporo kufuati... thumbnail 1 summary
Stori: Musa Mateja
KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imewekwa kiporo kufuatia kuwepo kwa kesi nyingi za mauaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOMBASA HALI NI TET,MSAKO WA POLISI MISIKITINI VIJANA WANNE WAFARIKI

  KIJANA alipigwa risasi na kuuawa na wenzake zaidi ya 250 kukamatwa kwenye operesheni kali ya kusaka magaidi mjini Mombasa jana.   B... thumbnail 1 summary

 KIJANA alipigwa risasi na kuuawa na wenzake zaidi ya 250 kukamatwa kwenye operesheni kali ya kusaka magaidi mjini Mombasa jana. BAADHI ya vijana waliokamatwa ndani ya misikiti ya Musa na Sakina, eneo la Majengo, Mombasa, wakati wa msako wa polisi usiku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

‘Hold you down’ yapiga namba 1 Top10 ya RNB Trace TV.

Kama shabiki wa muziki wa RNB duniani unaweza kuwa na hamu ya kujua ni single gani ambayo iko juu kwenye chati za muziki huu duniani…. kw... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-20 at 3.02.46 AMKama shabiki wa muziki wa RNB duniani unaweza kuwa na hamu ya kujua ni single gani ambayo iko juu kwenye chati za muziki huu duniani…. kwa sababu kazi yangu ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Louis van Gaal kayatoa ya moyoni…. anataka nani ashinde Ballon d’Or 2014? Ronaldo na Messi je?

Wanaowania tuzo ya  Ballon d’Or 2014  walishatangazwa ambapo list hiyo pia inawahusisha mastaa wa soka kama  Cristiano Ronaldo  na  Lione... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-20 at 3.53.45 AMWanaowania tuzo ya Ballon d’Or 2014 walishatangazwa ambapo list hiyo pia inawahusisha mastaa wa soka kama Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, huku list hiyo ikiwa pia na wachezaji wa Ujerumani iliyoshinda kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya kuandikwa amemuomba Diamond collabo, Jose Chameleone ametoa haya majibu

Ni stori nyingi tunakutana nazo kwenye vyombo vya habari kila tunapoamka na mara nyingi tunaamka nazo kwenye mitandao ya kijamii moja wa... thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-11-20 at 4.14.24 AMNi stori nyingi tunakutana nazo kwenye vyombo vya habari kila tunapoamka na mara nyingi tunaamka nazo kwenye mitandao ya kijamii moja wapo ikiwa hii ya mwimbaji wa Uganda Jose Chameleone kudaiwa kumuomba Diamond wafanye collabo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: