November 20, 2014

‘Hold you down’ yapiga namba 1 Top10 ya RNB Trace TV.

Kama shabiki wa muziki wa RNB duniani unaweza kuwa na hamu ya kujua ni single gani ambayo iko juu kwenye chati za muziki huu duniani…. kw... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-20 at 3.02.46 AMKama shabiki wa muziki wa RNB duniani unaweza kuwa na hamu ya kujua ni single gani ambayo iko juu kwenye chati za muziki huu duniani…. kwa sababu kazi yangu ni
kukusogezea zote muhimu, nakusogezea na hii kwamba TraceTV ya Ufaransa imeicheza video hii kama namba 1 lakini video hiihii imekua miongoni mwa 3 nilizoziona zikichezwa sana na TV kubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: