May 12, 2016

FANYA MAMBO HAYA 6 KUZUIA WATU WASIINGILIE MAPENZI YENU

Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pi... thumbnail 1 summary
Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya msingi yanayoendelea katika mahusiano yako wewe na mpenzi wako. Hata hivyo kuna wakati watu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais wa Brazil Dilma Rousself kasimamishwa kazi…

Mtu wangu kama utakuwa karibu na vyombo vya habari vya kimataifa story inayochukua headline sasa hivi ni kuhusu aliyekuwa Rais wa Brazil ... thumbnail 1 summary
Mtu wangu kama utakuwa karibu na vyombo vya habari vya kimataifa story inayochukua headline sasa hivi ni kuhusu aliyekuwa Rais wa Brazil wa kwanza mwanamke Dilma Rousself kusimamishwa kazi ya urais.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ben Pol kafunguka kwa nini amekuwa akiitumia Hashtag ya moyo kazi yake nini

Kama umekuwa karibu na social network za Ben Pol utakuwa umekutana na hashtag imeandikwa moyo kazi yake nini, wengi wakahisi anataka kufu... thumbnail 1 summary
Kama umekuwa karibu na social network za Ben Pol utakuwa umekutana na hashtag imeandikwa moyo kazi yake nini, wengi wakahisi anataka kufungua darasa la kuelezea kazi za moyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ben Pol kaachia hii video mpya ‘moyo mashine’ aliyoifanya South

Mshindi wa KTMA mwimbaji staa wa RNB Tanzania Ben Pol katuletea kichupa kingine kipya time hii alichokifanya Afrika Kusini na single thumbnail 1 summary

Mshindi wa KTMA mwimbaji staa wa RNB Tanzania Ben Pol katuletea kichupa kingine kipya time hii alichokifanya Afrika Kusini na single

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ushauri wa Rais Magufuli kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni

May 12 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni muda... thumbnail 1 summary
May 12 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni muda mfupi baada ya kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Actress Jacqueline Wolper Shares Lovely Pic with a Touching Message...Read It Here

Bongo Movies actress Jacqueline Wolper has shared her lovely pic shows off her beautiful sitting room, On her post she wrote a message to... thumbnail 1 summary
Bongo Movies actress Jacqueline Wolper has shared her lovely pic shows off her beautiful sitting room, On her post she wrote a message to her fans, This is what she wrote:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Photos: Cristiano Ronaldo dapper on London visit

The Real Madrid star was spotted exiting celebrity haunt, Chiltern Firehouse in London and as always, he was dressed thumbnail 1 summary
The Real Madrid star was spotted exiting celebrity haunt, Chiltern Firehouse in London and as always, he was dressed

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Photos: Aika of Navy Kenzo Stuns In New Amazing Photos

Aika of Navy Kenzo has shared a lovely pics of herself, She is the one who makes the music group known as Navy kenzo associating with her... thumbnail 1 summary
Aika of Navy Kenzo has shared a lovely pics of herself, She is the one who makes the music group known as Navy kenzo associating with her boyfriend Nahreel and for now they

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kenyan Socialite Vera Sidika Stuns In Green Jump Suit Outfit, She Looks Amazing...

Kenyan Socialite Vera Sidika shows off her lovely Body in Green Outfit " Jump Suit Like " thumbnail 1 summary
Kenyan Socialite Vera Sidika shows off her lovely Body in Green Outfit " Jump Suit Like "

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA: PHARELL NA DAVIDO KUNA KAZI MPYA KATI YAO?

Picha hii kati ya Msanii wa Nigeria Davido pamoja na Producer Pharell Williams, imekuwa maarufu sana katika Blogs na social media kadhaa ... thumbnail 1 summary
Picha hii kati ya Msanii wa Nigeria Davido pamoja na Producer Pharell Williams, imekuwa maarufu sana katika Blogs na social media kadhaa za raia wa taifa hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Haijawahi Tokea TZ, Mwana FA na AY Kulipwa Billion 2 Tshs na Tigo Baada ya Nyimbo zao Kutumika Bila Ruhusa Yao

A court has awarded two Tanzanian musicians Sh2.18 billion in special damages in a landmark ruling that could set a precedent in the appl... thumbnail 1 summary
A court has awarded two Tanzanian musicians Sh2.18 billion in special damages in a landmark ruling that could set a precedent in the application of the copyright law in the country.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ubonge wa Mwili Wamtesa Joyce Kiria, Ahofia Kuipoteza Ndoa Yake...

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa kupitia EATV, Joyce Kiria ameweka wazi kuwa hivi sasa yuko kwenye mikakati ya kupun... thumbnail 1 summary
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa kupitia EATV, Joyce Kiria ameweka wazi kuwa hivi sasa yuko kwenye mikakati ya kupunguza mwili wake ili asije kupoteza ndoa.
Akizungumza na Amani Joyce alisema, amekuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jinsi ya Kuchepuka Bila Kukamatwa!

Baada ya taarifa kuenea mitandaoni kuwa mkuu wa kanisa letu anatuhumiwa kubeba mrembo wa watu, nimeona kuna emergency ya kuandika juu ya ... thumbnail 1 summary
Baada ya taarifa kuenea mitandaoni kuwa mkuu wa kanisa letu anatuhumiwa kubeba mrembo wa watu, nimeona kuna emergency ya kuandika juu ya hii mada. Lengo langu sio ku promote uchepukaji, but no, my position is, mtu anapochepuka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rapa AKA Wa Afrika Kusini Anunua Gari Mpya (Picha)

Hii gari mpya ya Rapa mkali kutoka Afrika kusini ambaye hivi karibuni amefanya collabo na wasanii wawili kutoka Tanzania Joh Makini na Di... thumbnail 1 summary
Hii gari mpya ya Rapa mkali kutoka Afrika kusini ambaye hivi karibuni amefanya collabo na wasanii wawili kutoka Tanzania Joh Makini na Diamond platnumz.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

GAMBE MBAYA:HAWA WA DIAMOND AKILI KULEWA MPAKA KUSAHAU KUOGA

Msanii Hawa ambaye aliimba na Diamond kwenye wimbo wa nitarejea, amesema kwa sasa mume wake ndiye mtu muhimu zaidi maishani mwake kwani a... thumbnail 1 summary
Msanii Hawa ambaye aliimba na Diamond kwenye wimbo wa nitarejea, amesema kwa sasa mume wake ndiye mtu muhimu zaidi maishani mwake kwani amembadilisha maisha yake. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Linah Sanga Shows Off Her New Hairstyle...Watch her Video!

Bongo fleva singer Linah Sanga has shared a new pic shows off her new hairstyle, also she shared a short video of thumbnail 1 summary
Bongo fleva singer Linah Sanga has shared a new pic shows off her new hairstyle, also she shared a short video of

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Amber Rose was the first person Blac Chyna told about her pregnancy - after Rob Kardashian

The first person Blac Chyna shared her baby news with after fiancé Rob Kardashian was her best friend Amber Rose. Amber, who shares son... thumbnail 1 summary
The first person Blac Chyna shared her baby news with after fiancé Rob Kardashian was her best friend Amber Rose.
Amber, who shares son Sebastian with her ex-husband Wiz Khalifa, was over the moon with the news that Blac was pregnant.
Speaking to People magazine, Amber confessed

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz and Mafikizolo to Perform On the Same Stage at UDOM

Diamond Platnumz and South African artists 'Mafikizolo' have good time in Tanzania after their arrival to introduce their new son... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz and South African artists 'Mafikizolo' have good time in Tanzania after their arrival to introduce their new song 'Colours of Africa', Tomorrow they will be at University of Dodoma for performance together with Diamond Platnumz.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI WALIMWENGU HAWAISHI VITUKO:: MWANAMKE HUYU AUNDA BOTI LENYE UMBO LA UKE WAKE

Mahakama moja ya Japan imemwachia huru mwanamke mmoja aliyetengeza boti iliyofanana na uke wake. Jaji aliamuru kwamba boti ya Megumi ... thumbnail 1 summary
Mahakama moja ya Japan imemwachia huru mwanamke mmoja aliyetengeza boti iliyofanana na uke wake.

Jaji aliamuru kwamba boti ya Megumi Igarashi iliofanana na uke wake na yenye rangi nyingi haikuashiria umbo la uke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA SKENDO YA KUIBIWA NYIMBO, BLUE KAJA NA ALIKIBA KATIKA WIMBO HUU HAPA

Mr Blue alitumia Acount yake ya Instgram kufikisha ujumbe huo kwa mashabiki wake na kuwaambia kazi ambayo amefanya na msanii Alikiba kwa pr... thumbnail 1 summary
Mr Blue alitumia Acount yake ya Instgram kufikisha ujumbe huo kwa mashabiki wake na kuwaambia kazi ambayo amefanya na msanii Alikiba kwa producer Man Water ‘Combination Sound’imekamilika na sasa ipo mikononi mwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII RUBY AFUNGUKA JUU YA MR FLAVOUR, ASEMA ANAMNYIMA USINGIZI

MWANADADA anayefanya vizuri kunako anga la Muziki wa Bongo Fleva, Helen George ‘Ruby’amesema msanii wa Nigeria, Mr Flavour anamnyima usingi... thumbnail 1 summary
MWANADADA anayefanya vizuri kunako anga la Muziki wa Bongo Fleva, Helen George ‘Ruby’amesema msanii wa Nigeria, Mr Flavour anamnyima usingizi, kwani ndoto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mo Music: Maumivu Ya Mapenzi Yanasababisha Mimi Kufanya Vizuri Kwenye Kazi.

Mo Music ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva ambao wanaumizwa sana na mapenzi hasa akikumbuka siku ambayo aliyopigwa chini na mpenzi wake. thumbnail 1 summary
Mo Music ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva ambao wanaumizwa sana na mapenzi hasa akikumbuka siku ambayo aliyopigwa chini na mpenzi wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

New Audio: Linah - Imani | Download

Mwanadada Linah Sanga Anakuletea Ngoma Mpya Ijulikanayo kwa Jina la 'Imani' Itazame hapa. thumbnail 1 summary
Mwanadada Linah Sanga Anakuletea Ngoma Mpya Ijulikanayo kwa Jina la 'Imani' Itazame hapa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Kuvunjika Kwa Penzi, Shilole Afunguka "Mpenzi Wangu Ni Hela"

Baada ya kuvunjika kwa mahusiano na Nuh Mziwanda, taarifa za chini zimezidi kuenea kuwa Shilole ana mahusiano ya kimapenzi na msanii chip... thumbnail 1 summary
Baada ya kuvunjika kwa mahusiano na Nuh Mziwanda, taarifa za chini zimezidi kuenea kuwa Shilole ana mahusiano ya kimapenzi na msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Nerd aliye chini ya label ya Ommy Dimpoz, PKP.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

New Audio: Alikiba ft M.I - Aje | Download

Alikiba anakuletea Ngoma Yake Mpya Inaitwa "AJE" amemshirikisha msanii M.I thumbnail 1 summary
Alikiba anakuletea Ngoma Yake Mpya Inaitwa "AJE" amemshirikisha msanii M.I

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Atoa Sababu ya Kutosema Chochote wakati Anashoot Video na P-Square ‘Video Ninayo Tayari’ (Video)

Diamond Platnumz aliamua kutosema chochote wakati alipokuwa Afrika Kusini kufanya video ya wimbo aliowashirikisha P-Square. Ni Paul na Pete... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz aliamua kutosema chochote wakati alipokuwa Afrika Kusini kufanya video ya wimbo aliowashirikisha P-Square. Ni Paul na Peter Okoye tu ndio waliopost picha za behind the scenes za uchukuaji wa video hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Binti wa Miaka 19 Anayedai Kuwa na Ujauzito wa Papa Wemba Ajitokeza Hadharani

Binti wa miaka 19 anadaiwa kuspend one night on the same bed na Hayati Papa Wemba amekua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ndani na nje ya C... thumbnail 1 summary
Binti wa miaka 19 anadaiwa kuspend one night on the same bed na Hayati Papa Wemba amekua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ndani na nje ya Congo(D.R.C) akidai kuwa na ujauzito wa Mfalme huyo wa Rhumba aliefariki April 24

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unafahamu alichokikanusha Harmonize kuhusu Diamond Platnumz?

Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva. thumbnail 1 summary
Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RC Makonda kakamata zaidi ya tani 1300 za sukari Dar

Headline za sukari zimeendelea katika vyombo mbalimbali vya habari , Leo May 11 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameendel... thumbnail 1 summary
Headline za sukari zimeendelea katika vyombo mbalimbali vya habari , Leo May 11 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameendelea na zoezi la kuchunguza watu wanaodaiwa kuficha bidhaa hiyo ambapo ametembelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Matokeo ya Liverpool vs Chelsea na list ya vilabu vitatu vilivyoshuka daraja EPL msimu wa 2015/2016

Tayari Ligi Kuu ya Uingereza Bingwa tumeshafahamu ni klabu ya Leicester City ambayo imeweka historia mpya, baada ya kutwaa taji hilo kwa ... thumbnail 1 summary
Tayari Ligi Kuu ya Uingereza Bingwa tumeshafahamu ni klabu ya Leicester City ambayo imeweka historia mpya, baada ya kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza katika historia yake toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, licha ya kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanaopita Daraja la Nyerere Kigamboni zaidi ya mara moja kwa siku Wamehurumiwa kulipia?

Juzi zilitangazwa bei za tozo za kila gari litalopita juu ya daraja jipya la NyerereKigamboni ambapo kuanzia Baiskeli, Pikipiki na Magari... thumbnail 1 summary
Juzi zilitangazwa bei za tozo za kila gari litalopita juu ya daraja jipya la NyerereKigamboni ambapo kuanzia Baiskeli, Pikipiki na Magari kila kitu kitakua na bei yake, baadhi ya wakazi wa Kigamboni wakataka ufafanuzi zaidi kama mtu anapita mara mbili kwa siku akienda kazini na gari yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maelekezo ya kutumia card za kulipia nauli kwenye Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam

Kuanzia wiki ijayo wakazi wa Dar es salaam wanaanza kulipia kupanda mabasi yaendayo haraka ambayo yatasafirisha abiria kupitia barabara m... thumbnail 1 summary
Kuanzia wiki ijayo wakazi wa Dar es salaam wanaanza kulipia kupanda mabasi yaendayo haraka ambayo yatasafirisha abiria kupitia barabara maalum zilizotengwa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHEKESHAJI KINYAMBE AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya. thumbnail 1 summary
Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: