May 12, 2016

PICHA: PHARELL NA DAVIDO KUNA KAZI MPYA KATI YAO?

Picha hii kati ya Msanii wa Nigeria Davido pamoja na Producer Pharell Williams, imekuwa maarufu sana katika Blogs na social media kadhaa ... thumbnail 1 summary
Picha hii kati ya Msanii wa Nigeria Davido pamoja na Producer Pharell Williams, imekuwa maarufu sana katika Blogs na social media kadhaa za raia wa taifa hilo.

Pengine inawezekana tukategemea kolabo au ngoma kati yao.

Ngoja tusubiri chochote kati yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments