December 12, 2013

Kauli ya kutolipiza kisasi aliyoitoa Rais Kikwete yaibua mapya....

KAULI iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwenye maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika juz... thumbnail 1 summary



KAULI iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwenye maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika juzi jijini Dar es Salaam, kwa kuwataka watu wanaotaka uongozi kutokuwa na visasi imezua maswali kwa baadhi ya wasomi na wanasiasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mahakama Nchini INDIA yapinga vikali mahusiano na Ndoa za Jinsia Moja.

Mahakama ya juu kabisa nchini India, imetaka kuendelea kwa sheria inayowatia hatiani wapenzi wa jinsia moja, uamuzi ambao unaonekan... thumbnail 1 summary

Mahakama ya juu kabisa nchini India, imetaka kuendelea kwa sheria inayowatia hatiani wapenzi wa jinsia moja, uamuzi ambao unaonekana kuwa pigo kwa haki za watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Uamuzi wa mahakama hiyo unabadilisha uamuzi wa Mahakama Kuu ya Delhi uliofanyika mwaka 2009, ambapo mahakama hiyo iliona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: