June 07, 2016

Abdu Kiba: Nipo Tayari Kufanya Kazi na Lebo ya WCB

Abdul Kiba amesema yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kama hela itawekwa mezani. Bifu la Alikiba na Diamond lin... thumbnail 1 summary
Abdul Kiba amesema yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kama hela itawekwa mezani.
Bifu la Alikiba na Diamond linaonekana kuathiri mpaka mfumo wa watu wa pembeni wanaowazunguka wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diddy achora tatoo ya jina la Mohammad Ali kifuani kwake

Rapper mkongwe kutoka Marekani, Sean Combs maarufu kama Diddy amechora kifuani tattoo ya aliyekuwa bingwa wa dunia Mohammad Ali aliyefariki... thumbnail 1 summary
Rapper mkongwe kutoka Marekani, Sean Combs maarufu kama Diddy amechora kifuani tattoo ya aliyekuwa bingwa wa dunia Mohammad Ali aliyefariki Juni 4 mwaka huu.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diddy amepost

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YOWERI MUSEVEN KAMTEUA MKEWE KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI.

Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni amemteua mkewe, First Lady Janet Kataha Museveni kuwa Waziri wa Michezo na Elimu. Kwa mujibu wa o... thumbnail 1 summary
Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni amemteua mkewe, First Lady Janet Kataha Museveni kuwa Waziri wa Michezo na Elimu.
Kwa mujibu wa orodha ya Baraza Jipya la Mawaziri wa nchi hiyo, Janet Museveni anakuwa miongoni mwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hillary Clinton ashinda nafasi ya kugombea urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic

Hillary Clinton ameshinda nafasi ya kugombea urais wa Marekani kupitia chama chake cha Democratic baada ya kujikusanyia namba za uwakilishi... thumbnail 1 summary
Hillary Clinton ameshinda nafasi ya kugombea urais wa Marekani kupitia chama chake cha Democratic baada ya kujikusanyia namba za uwakilishi zinazotakiwa, kwa mujibu wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Mashabiki walivyovunja show Kanye West mjini New York

Wikiendi hii rapper, Kanye West alilazimika kuvunja show yake baada ya mashabiki kuwa wengi zaidi na kupelekea kuvunjika kwa show hiyo kuto... thumbnail 1 summary
Wikiendi hii rapper, Kanye West alilazimika kuvunja show yake baada ya mashabiki kuwa wengi zaidi na kupelekea kuvunjika kwa show hiyo kutokana na hofu ya usalama.
Show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Webster

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Will Smith na Lennox Lewis wateuliwa kubeba jeneza la Muhammad Ali

Staa wa filamu nchini Marekani, Will Smith na bingwa wa ngumi wa dunia, Lennox Lewis wameteuliwa kuwa miongoni mwa watu watakaobeba jeneza ... thumbnail 1 summary
Staa wa filamu nchini Marekani, Will Smith na bingwa wa ngumi wa dunia, Lennox Lewis wameteuliwa kuwa miongoni mwa watu watakaobeba jeneza la marehemu Muhammad Ali siku ya mazishi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NED MUSIC ASIMULIA JINSI ALIVYOKUTANA NA OMMY DIMPOZ MPAKA KUSAJILIWA PKP.

Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya kutokea PKP, Ned Music, amesimulia jinsi alivyokutana na bosi wake wa sasa Ommy Dimpoz. thumbnail 1 summary
Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya kutokea PKP, Ned Music, amesimulia jinsi alivyokutana na bosi wake wa sasa Ommy Dimpoz.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAPA PREZO AWAOMBA RADHI MASHABIKI ZAKE.

Rapa mwenye vituko nchini Kenya, CMB Prezzo, amesema kutokana na kuandamwa sana katika mitandao ya kijamii kutokana na aliyoyatenda kati... thumbnail 1 summary
Rapa mwenye vituko nchini Kenya, CMB Prezzo, amesema kutokana na kuandamwa sana katika mitandao ya kijamii kutokana na aliyoyatenda katika matukio mbalimbali kwa sasa ameamua kuachana nayo na kuja kivingine ili kuwashawishi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RONALDO AMVAA FLORENTINO PEREZ KUHUSU SAFARI YA JAMES

Nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameutaka uongozi wa klabu ya Real Madrid, kutofanya maamuzi ya kumuw... thumbnail 1 summary
Nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameutaka uongozi wa klabu ya Real Madrid, kutofanya maamuzi ya kumuweka sokoni James Rodriguez.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serena Williams amuondoa Sharapova kama mwana michezo wa kike anayelipwa fedha nyingi zaidi

Serena Williams amekichukua kiti kilichokuwa kimekaliwa na Maria Sharapova kama mwana michezo anayelipwa fedha nyingi zaidi. Katika kipin... thumbnail 1 summary
Serena Williams amekichukua kiti kilichokuwa kimekaliwa na Maria Sharapova kama mwana michezo anayelipwa fedha nyingi zaidi. Katika kipindi cha miezi 12, Serena

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: AKA uso kwa uso na Taraji (Cookie) na Terrence (Lucious)

Waigizaji wa tamthilia ya Empire, Taraji P Henson na Terrence Howard wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kwaajili ya kupromote tamthilia... thumbnail 1 summary
Waigizaji wa tamthilia ya Empire, Taraji P Henson na Terrence Howard wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kwaajili ya kupromote tamthilia hiyo inayopendwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shishi Baby Amlia Mingo Raymond wa WCB..Wanaswa Kona Wakipeana Denda.

Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazid umri kwasababu...) Yule Ngapepe Sukari ya vijana aka Mario a... thumbnail 1 summary
Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazid umri kwasababu...)
Yule Ngapepe Sukari ya vijana aka Mario ajulikane kama Shishi Baby juzi kwenye party ya kumkaribisha Rich

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ualimu haikuwa hobby yangu, nilifundisha basi tu – Roma

Hivi unajua kuwa Roma Mkatoliki aliwahi kuwa mwalimu wa sekondari? Mkali huyo wa hip hop ameyazungumzia maisha yake kipindi anafundis... thumbnail 1 summary

Hivi unajua kuwa Roma Mkatoliki aliwahi kuwa mwalimu wa sekondari?
Mkali huyo wa hip hop ameyazungumzia maisha yake kipindi anafundisha shule ya sekondari kwao mkoani Tanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nick Cannon aendelea kugoma kumpa talaka Mariah Carey

Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Rapper Nick Cannon ameendelea kugoma kusaini talaka kwa Mariah Carey. Wawili hao walid... thumbnail 1 summary
Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Rapper Nick Cannon ameendelea kugoma kusaini talaka kwa Mariah Carey.
Wawili hao walidumu kwenye mahusiano kwa miaka saba waliachana tangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Joe Budden aanza kuwagombanisha Drake na Diddy

Rapper Joe Budden amedai Drake amemchana Diddy kwenye wimbo wake mpya ‘4PM In Calabasas’ kwa kutumia flow za wimbo wa Bad Boy. Budden ame... thumbnail 1 summary
Rapper Joe Budden amedai Drake amemchana Diddy kwenye wimbo wake mpya ‘4PM In Calabasas’ kwa kutumia flow za wimbo wa Bad Boy.
Budden ameonekana kumuandama Drake tangu alipoachia albamu yake ya ‘Views’. Kupitia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Staa huyu mkubwa Marekani kuigiza series ya TV ya maisha ya Nelson Mandela

Baada ya muigizaji wa Uingereza, Idris Elba kucheza filamu ya maisha ya Nelson Mandela (Mandela: Long Walk to Freedom, 2013), ni wazi kila ... thumbnail 1 summary
Baada ya muigizaji wa Uingereza, Idris Elba kucheza filamu ya maisha ya Nelson Mandela (Mandela: Long Walk to Freedom, 2013), ni wazi kila mtu alidhani hakutakuwa na kazi nyingi kubwa ya kiongozi huyo wa zamani wa Afrika Kusini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 7, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 7 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
June 7 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sugu: Kutoka Muziki na Maisha mpaka Siasa na Maisha

Joseph Osmund Mbilinyi maarufu kama Mr Two, 2 proud au Sugu ni mkongwe katika muziki wa kizazi kipya nchini na pia ni mbunge wa Mbeya Mji... thumbnail 1 summary
Joseph Osmund Mbilinyi maarufu kama Mr Two, 2 proud au Sugu ni mkongwe katika muziki wa kizazi kipya nchini na pia ni mbunge wa Mbeya Mjini kwa awamu ya pili sasa. Kwa jinsi ambavyo Sugu anavyoipenda Mbeya unaweza kusema ndipo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Maisha Plus 2016 yaja kivingine

Mashindano ya Maisha Plus ambayo yamefahamika kwa kuwa na uhalisia zaidi yamerudi katika awamu nyingine tena. Majaji wa shindano hilo... thumbnail 1 summary
Mashindano ya Maisha Plus ambayo yamefahamika kwa kuwa na uhalisia zaidi yamerudi katika awamu nyingine tena.
Majaji wa shindano hilo, Masoud Kipanya na Kaka Bonda
Msimu huu mpya tutegemee ushindani mkubwa zaidi kutokana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unafiki ni kirusi kinachoua sanaa yetu – Mboto

Mchekeshaji maarufu, Mboto amewachana baadhi ya wasanii wenye tabia ya kuwachukia wenzao. Akiongea na gazeti la Mtanzania, Mboto alisema,... thumbnail 1 summary
Mchekeshaji maarufu, Mboto amewachana baadhi ya wasanii wenye tabia ya kuwachukia wenzao.
Akiongea na gazeti la Mtanzania, Mboto alisema, “Ukweli ni kwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Knowing facts before you throw stones

Life is not easy; some think you are made out of steel and forget that you human. How many times in your life have you ever faced a false... thumbnail 1 summary
Life is not easy; some think you are made out of steel and forget that you human. How many times in your life have you ever faced a false accusation? Leave the one your sibling tells your mother that you took the 10 shilling coin on the table. The

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Muimbaji wa Tanzania aishiye Sweden The Dati aeleza kwanini ni ngumu Bongo Flava kuchezwa Ulaya

Muziki wa Afrika hususan Bongo Flava, utachukua muda mrefu sana kuanza kuchezwa barani Ulaya, kwa mujibu wa msanii wa Tanzania aishiye nchi... thumbnail 1 summary
Muziki wa Afrika hususan Bongo Flava, utachukua muda mrefu sana kuanza kuchezwa barani Ulaya, kwa mujibu wa msanii wa Tanzania aishiye nchini Sweden, The Dati.


Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM ya Mwanza, Jay Jay, The Dati amesema sababu kubwa ni mfumo wa jinsi muziki unavyochezwa na vituo vya redio na TV vya Ulaya.

“Ulaya nyimbo yako ikichezwa lazima wakulipe, hawachezi bure kwahiyo muziki wako ukichezwa lazima waende kuna website wanaregister kwamba tumecheza muziki huu na huu na kila wimbo, kila dakika una malipo yake,” amesema Dati.

“Kwahiyo ni ngumu ukianza kucheza muziki wa Kitanzania, hawajui ni akina nani, hamna contract ni ngumu. Hazipati airplay, lugha pia nadhani ni kikwazo,” ameongeza.

Amesema muziki wa Marekani na kidogo wa Brazil ndio unachezwa zaidi barani Ulaya.

The Dati alitumbuiza pamoja na Diamond mwaka huu kwenye show ya Sweden


Hata hivyo The Dati amesema muziki wa Afrika una nguvu na kinachotakiwa sasa ni kupigania uweze kusambaaa zaidi.

Msikilize zaidi hapo chini.i.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Harufu ya viatu vya MB Dog iliwahi kumfanya P-Funk amtimue studio

Madee amesema mtayarishaji mkongwe wa muziki Bongo, P-Funk Majani aliwahi kuwafukuza studio kwa sababu ya kunuka kwa viatu vya MB Dogg. A... thumbnail 1 summary
Madee amesema mtayarishaji mkongwe wa muziki Bongo, P-Funk Majani aliwahi kuwafukuza studio kwa sababu ya kunuka kwa viatu vya MB Dogg.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EATV, Madee alisema, “Tumeenda kwa mara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: