June 22, 2014

Napenda Kudate na WanaumeMaarufu Tu, Wasio na Jina hapaMjini kwangu Takataka.. Jionee Huyu Mdada

Hii kitu imenitokea sana mara nyingi Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu thumbnail 1 summary

Hii kitu imenitokea sana mara nyingi Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii Ndiyo Sababu Kubwa Ya Wanawake Warembo Kuolewa na Wanaume Wenye Sura Mbaya!!! Soma Hapa

Wanawake wengi waliowazuri wa sura huwa wanapenda kuolewa na wanaume wabaya wa sura. Hii inatokana na ukweli kwamba wanawake wenye sura ... thumbnail 1 summary
Wanawake wengi waliowazuri wa sura huwa wanapenda kuolewa na wanaume wabaya wa sura. Hii inatokana na ukweli kwamba wanawake wenye sura nzuri hupenda kuolewa na wanaume wenye sura mbaya ili kulinda uzuri wao kwani wanaamini kuwa iwapo ataolewa na mwanaume mwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rekodi mpya iliyoandikwa na Nigeria usiku wa jana kwenye kombe la dunia

Timu ya taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’ jana iliweka rekodi mpya katika michuano ya kombe la dunia, baada ya ushindi dhidi ya Bosnia. thumbnail 1 summary

20140622-122832-44912263.jpg


Timu ya taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’ jana iliweka rekodi mpya katika michuano ya kombe la dunia, baada ya ushindi dhidi ya Bosnia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini….

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..  thumbnail 1 summary

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini….. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Barabara Mradi Mabasi Mwendo Kasi ni Janga, Usalama Wake ni wa Hatari kubwa Mabilioni Yameliwa na Wajanja?

Wakati wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa na matumaini makubwa ya kuondokana na msongamano wa magari kutokana na ujenzi wa barabar... thumbnail 1 summary

Wakati wakazi wa jiji la Dar es Salaam
wakiwa na matumaini makubwa ya
kuondokana na msongamano wa magari
kutokana na ujenzi wa barabara ya mabasi
yaendayo haraka (BRT), uchunguzi wa
NIPASHE umebaini kwamba mradi huo
utaleta maafa makubwa.
NIPASHE imethibitisha kwamba barabara
mpya inayojengwa sambamba na ya
mabasi yaendayo haraka, imepunguzwa
upana wake kutoka mita sita hadi tano,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba: Sina bifu na Diamond lakini alinikosea na nikaumizwa na nilisha samehe

Msanii Alikiba ameamua kufungaka na kuweka waZi kili kinacho hitwa tofauti au bifu kati yake na Msanii Diamond!Kwanza lazima tukubalia... thumbnail 1 summary

Msanii Alikiba ameamua kufungaka na
kuweka waZi kili kinacho hitwa tofauti au
bifu kati yake na Msanii Diamond!Kwanza
lazima tukubaliane kuwa ALikiba ni mmoja
wa Wasanii wasio penda maneno na
malumbano na wasanii wenzie ndio maana
hukaa kimya. Kwanza Alikiba alisema hana
bifu na diamond na hana sababu ya kuwa
na bifu nae japo yanayo ongelewa yana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKIN NEWZZ!!:- RAIS WA CHUO KIKUU CHA BUGANDO MWANZA BAADA YA UTATA WA KUPOTEA KWAKE AMEOKOTWA JANA USIKU AKIWA HANA FAHAMU HABARI LIVE!!

Bw.Mussa Leonard Mdede Aliyesimama. Rais wa chuo kikuu cha CUHAS (Bugando) na Mwenyekiti wa Shirikisho la wanafunzi vyuo vikuu nchini ... thumbnail 1 summary
Bw.Mussa Leonard Mdede Aliyesimama.
Rais wa chuo kikuu cha CUHAS (Bugando) na Mwenyekiti wa Shirikisho la wanafunzi vyuo vikuu nchini (TAHLISO), Bw.Mussa Leonard Mdede ameokotwa usiku huu  katika maeneo ya Usagara nje kidogo ya jiji la Mwanza, akiwa amepoteza fahamu (hajitambui)  lakini hana majeraha yoyote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAKATA LA MUME WA FROLA MBASHA WANAUME MKO WAPI UMELALA? HEBU SOMA HII

ANOTHER TIME BOMB IN THE WAITING HII CINEMA ILIANZA KAMA MCHEZO MCHEZO LAKINI KAMA UNAISOMA KWA MAKINI SASA IT IS SLOWLY TURNING UGLY TENA... thumbnail 1 summary
ANOTHER TIME BOMB IN THE WAITING HII CINEMA ILIANZA KAMA MCHEZO MCHEZO LAKINI KAMA UNAISOMA KWA MAKINI SASA IT IS SLOWLY TURNING UGLY TENA POLE POLE NA HUKU WANANCHI TUKIANGALIA KWA MACHO YETU, NA TUKISIKIA KWA MASIKIO YETU HATUJUI UKWELI WA NDANI WA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAINDA:MNIACHE NA ULOKOLE WANGU

Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’  amefunguka kuwa kwa sasa hatakubali tena kusumbuliwa na wanaohoji juu ya maisha yake mapya ya ... thumbnail 1 summary
Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’  amefunguka kuwa kwa sasa hatakubali tena kusumbuliwa na wanaohoji juu ya maisha yake mapya ya wokovu.
Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais wa Malawi aoa kwa Shilingi Milioni 155

Baada ya miaka 30 ya kuishi bila ya ndoa, Rais mpya wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, hatimaye amefunga pingu za maisha na mbunge wa ... thumbnail 1 summary

Baada ya miaka 30 ya kuishi bila ya ndoa, Rais mpya wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, hatimaye amefunga pingu za maisha na mbunge wa zamani wa Jimbo la Balaka, Gertrude Maseko.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya story za Diamond na Wema, sasa imeamia kwa Cindy Rulz na Gosby.

Mbali na zil story za Diamond na Wema Sepetu zakuachana naa kurudiana, ambao kwa hivi sasa imeanza kuwa historia , kuna wasanii wawili wa... thumbnail 1 summary
collagejds
Mbali na zil story za Diamond na Wema Sepetu zakuachana naa kurudiana, ambao kwa hivi sasa imeanza kuwa historia , kuna wasanii wawili waliokuwa wameiva sana katika penzi lao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali ya Kenya yawataka Wakenya kuangalia mechi za Kombe la dunia nyumbani.

Serikali ya Kenya imewataka wananchi kuangalia mechi za michuano ya kombe la dunia katika maeneo ya majumbani badala ya sehemu za wazi ... thumbnail 1 summary

Serikali ya Kenya imewataka wananchi kuangalia mechi za michuano ya kombe la dunia katika maeneo ya majumbani badala ya sehemu za wazi zilizojazana na ambazo hakuna ulinzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kauli ya Uganda baada ya kuwekewa vikwazo na Marekani kwa kupinga ushoga

Katibu mkuu wizara ya mambo ya nje wa Uganda, Balozi James Mugume, amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani ka... thumbnail 1 summary

Katibu mkuu wizara ya mambo ya nje wa Uganda, Balozi James Mugume, amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kama hatua ya kupinga sheria yake kali kuhusu Ushoga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nuh Mziwada: Utaficha wapi Sura yako Shiole akikupiga chini?

Siku chache baada ya mpenzi wa Zuwena Mohamed 'Shiole'  Nuhu  Mziwanda  kuweka kwenye mtandao   wa  'instagram' pich... thumbnail 1 summary

Siku chache baada ya mpenzi wa Zuwena Mohamed 'Shiole'  Nuhu  Mziwanda  kuweka kwenye mtandao   wa  'instagram' picha zikionyesha tatoo aliyojichora yenye jina la mpenzi wake huyo, wadau wa filamu nchini wamesema kijana huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwimbaji wa Nigeria ajitoa kwa Boko Haram ili wasichana 200 waachwe huru....Asema yupo tayari kuhudumia wanaume 12

Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu wasichana zaidi ya 2... thumbnail 1 summary

Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: