January 06, 2016

SERIKALI YANUNUA MASHINE MPYA YA CT -SCAN KATIKA HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI

Na Magreth Kina-Maelezo Serikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo... thumbnail 1 summary
Na Magreth Kina-Maelezo
Serikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE AJUTA KUCHOA TATTOO YA NUHU MZIWANDA KIFUANI KWAKE...ADAI ''SITACHORA TENA TATTOO YA JINA LA MPENZI WANGU

Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake. thumbnail 1 summary
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHUNGAJI LWAKATARE APINGA NYUMBA YAKE KUBOMOLEWA...MWANASHERIA WAKE AITAKA SERIKALI KUHESHIMU HUKUMU YA MAHAKAMA

Mchungaji a Kanisa la Assemblies of God,Mikocheni, Dr Getrude Lwakatare amepinga nyumba yake kubomolewa ikiwa ni siku chache b... thumbnail 1 summary
Mchungaji a Kanisa la Assemblies of God,Mikocheni, Dr Getrude Lwakatare amepinga nyumba yake kubomolewa ikiwa ni siku chache baada ya wizara ya maliasili na utalii kupitia wakala wa misitu Tanzania (TFS ), kuweka alama ya X

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lulu Michael Akanusha Kula Uroda na Tekno, Atoa Maelezo ya Kina

Elizabeth ‘Lulu’ Michael amelazimika kuandika maelezo marefu kukanusha tetesi zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa alivunja amri ya s... thumbnail 1 summary
Elizabeth ‘Lulu’ Michael amelazimika kuandika maelezo marefu kukanusha tetesi zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa alivunja amri ya sita na hitmaker wa Duro, Tekno aliyekuwepo Dar siku ya mwaka mpya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madaktari Watangaza Kungundua Dawa ya Kutibu Ugonjwa wa Ukimwi...

Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya... thumbnail 1 summary
Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shule za Sekondari Nchini Kuanza Kufundisha Lugha ya Kichina

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imeteua shule sita za sekondari nchini kuingia katika mpango maalumu wa wanafunzi wake kufun... thumbnail 1 summary
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imeteua shule sita za sekondari nchini kuingia katika mpango maalumu wa wanafunzi wake kufundishwa somo la lugha ya Kichina kuanzia mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wananchi Waliobomolewa Nyumba zao Wacharuka..Watumia Mabango Kufikisha Ujumbe Kwa Rais Magufuli...

Wakati muda wa `mapumziko’ ya bomoabomoa ukimalizika leo huku jaribio la kupata zuio la muda likiwa limewekwa kiporo, wakazi wa Jangwani ... thumbnail 1 summary
Wakati muda wa `mapumziko’ ya bomoabomoa ukimalizika leo huku jaribio la kupata zuio la muda likiwa limewekwa kiporo, wakazi wa Jangwani ambako nyumba zitaanza kubomolewa leo, jana waliweka mabango barabarani yanayotuma ujumbe wa aina mbalimbali kwa Rais John Magufuli.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magufuli Afuta Hati ya Hekta 1,870 Kapunga

Rais John Magufuli amemaliza mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa Kapunga na mwekezaji wa Kapunga Rice Project Limited na sasa hekta 1,7... thumbnail 1 summary
Rais John Magufuli amemaliza mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa Kapunga na mwekezaji wa Kapunga Rice Project Limited na sasa hekta 1,780 zitakuwa mali ya wananchi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mahakama ya Mafisadi na Wahujumu Uchumi Inafanyiwa Kazi- Mwakyembe

WAZIRI wa Katiba na Sheria,Dk.Harrison Mwakyembe amesema kuwa suala la kuanzisha mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi wanafanyia kazi ... thumbnail 1 summary
WAZIRI wa Katiba na Sheria,Dk.Harrison Mwakyembe amesema kuwa suala la kuanzisha mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi wanafanyia kazi na muda sio mrefu watatoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanaume Wana Shida! This Kenyan Guy Embarrassed Himself Badly as He Was Seducing a Lady.

Some Kenyan men needs to be taught how to seduce a lady and if you doubt this, see how this idiot embarrassed himself badly as he was try... thumbnail 1 summary
Some Kenyan men needs to be taught how to seduce a lady and if you doubt this, see how this idiot embarrassed himself badly as he was trying to sweet talk a lady.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa Haya Anayonifanyia Shemeji Ananitaka au Mawazo Yangu Tu?

Wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi... thumbnail 1 summary
Wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mauaji ya ‘Tajiri Mtoto’ Yaendelea Kuzua Utata

Mtandao wa kikundi kinachozalisha pombe kali bandia kinachodaiwa kuwa na uhusiano na baadhi ya watumishi wasiowaaminifu wa Mamlaka ya Mapat... thumbnail 1 summary
Mtandao wa kikundi kinachozalisha pombe kali bandia kinachodaiwa kuwa na uhusiano na baadhi ya watumishi wasiowaaminifu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), unahusishwa na mipango ya kumuua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: