May 30, 2015

JAMANI NITOKE NJE YA NDOA...?? NAHITAJI USHAURI WENU..

Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa!Hakuna kabisa furaha,... thumbnail 1 summary


Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa!Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini huwa anadai hakuna tatizo! Najiuliza sana hivi kutoka nje ya ndoa kutanosaidia nini? Nitachinwa pesa bure na ndo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MANENO MAZURI YA KUMPANDISHA HISIA MPENZI WAKO KABLA YA TENDO ! Kwa WENYE Zaidi ya Miaka 18 Tu

Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwam... thumbnail 1 summary

Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Je, unajua mwenza wako anakupendea kitu gani?

MARA nyingi kosa la kutohangaika kujua wenza wetuwamevutiwa na vitu gani kuhusu sisi, huwa ni kubwa na mwisho wake siku zote huwa maj... thumbnail 1 summary


MARA nyingi kosa la kutohangaika kujua wenza wetuwamevutiwa na vitu gani kuhusu sisi, huwa ni kubwa na mwisho wake siku zote huwa majuto ni mjukuu.Wengi wetu hujiingiza kwenye uhusiano kichwa kichwa hasa baada ya kutawaliwa na mapenzi, hali ambayo humfanya mtu awe kipofu hata katika mambo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHTUKA! Fahamu Mbinu za kutofautisha rafiki na mpenzi!

SUALA la kushindwa kutofautisha rafiki uliyenaye kama ni rafiki tu na mpenzi wa kweli, ni la kawaida sana katika jamii na mara nyingi... thumbnail 1 summary


SUALA la kushindwa kutofautisha rafiki uliyenaye kama ni rafiki tu na mpenzi wa kweli, ni la kawaida sana katika jamii na mara nyingi huwapata zaidi wanawake.Wengi wao hushindwa kutambua mwanamume ambaye anaweza kuwa mpenzi au rafiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zijue Njia 10 za kumfanya Mpenzi wako ashindwe kujielewa juu ya penzi lako na kuku ganda kama Luba,,, Bonya hapa usome

1. Wivu Wa Kupindukia Ni Jambo Jema Kwa Mwanamume Kumtakia Heri Mpenzi Wake Na Kufanya Kila Awezalo Kuhakikisha Kuwa Hapati Madhara, ... thumbnail 1 summary

1. Wivu Wa Kupindukia
Ni Jambo Jema Kwa Mwanamume Kumtakia Heri Mpenzi Wake Na Kufanya Kila Awezalo Kuhakikisha Kuwa Hapati Madhara, Lakini Iwapo Utakuwa Mtu Wa Wasiwasi Na Mashaka Pale Unapomwona Mpenzi Wako Akizungumza Na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE, WAJUA WANAWAKE WANAVUTIWA NA NINI ZAIDI KWA WANAUME??..

Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.USAFI BINAFSIAsil... thumbnail 1 summary


Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.USAFI BINAFSIAsilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu sana kukutana na mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana wanaitwamapambo ya nyumba au la nyumba! Ni kwa sababu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHECK OUT SEXY HAMISA MOBETO RIGHT AFTER GIVING BIRTH!!

She gave birth to her first child recently but model and actress Hamisa Mobeto still looks hot...... thumbnail 1 summary
She gave birth to her first child recently but model and actress Hamisa Mobeto still looks hot......

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIO VISIWA KUMI VYENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI… AFRIKA KIKO KIMOJA TU, NI TZ AU? (PICHAZ)

Nimeona nikusogezee pichaz za hivi visiwa 10 ambavyo viko kwenye list ya vinavyoongoza kwa kuwa na mwonekano mzuri zaidi duniani.. Afrika... thumbnail 1 summary
Nimeona nikusogezee pichaz za hivi visiwa 10 ambavyo viko kwenye list ya vinavyoongoza kwa kuwa na mwonekano mzuri zaidi duniani.. Afrika tunawakilishwa na kimoja,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: