January 09, 2014

BASI LA MTEI LATEKETEZWA KWA MOTO BAADA YA KUGONGA NA KUUA SINGIDA

Basi la mtei likiteketea kwa moto baada ya kuchomwa na watu wenye hasira kali. thumbnail 1 summary
Basi la mtei likiteketea kwa moto baada ya kuchomwa na watu wenye hasira kali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO MCHUNGAJI ALIVYONASWA AKIMTOMASA MUUMINI WAKE....

KATIKA  hali ya kushangaza , mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta akiaibika baada ya video yake aliyokuwa  akimtomasa ... thumbnail 1 summary





KATIKA  hali ya kushangaza , mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta akiaibika baada ya video yake aliyokuwa  akimtomasa  mwanamke  wakati wa  maombi  kuvuja na kusambaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"MWANAFUNZI WANGU WA KIKE ANANITAKA KIMAPENZI.. KILA SIKU HUKAA MBELE TENA KIHASARA"...MWALIMU

habari zenu MAMBOMSETO, Mimi  ni mwalimu wa shule moja  ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye  yu... thumbnail 1 summary



habari zenu MAMBOMSETO,
Mimi  ni mwalimu wa shule moja  ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye  yuko  kidato  cha  tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIRTHDAY YA MAMA KANUMBA ..... JIONEE LULU ALICHOANDIKA

Mama Kanumba atakuwa ametimiza miaka kadhaa hivi sasa na amepokea zawadi ya keki kutoka kwa muigizaji Elizabeth Michael. thumbnail 1 summary


l1



Mama Kanumba atakuwa ametimiza miaka kadhaa hivi sasa na amepokea zawadi ya keki kutoka kwa muigizaji Elizabeth Michael.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NILIFUKUZWA SHULE MIAKA 19 ILIYOPITA KWA AJILI YAKE (MAPENZI), SASA ANATAKA TURUDIANE ..... NAOMBA USHAURI

Tulikutana mwaka 1986 nilipo pelekwa Mihayo Primary (kabla haijabadilishwa kuwa secondary) kuanza std 1, sikuhiyo tulipokewa na mwl... thumbnail 1 summary



Tulikutana mwaka 1986 nilipo pelekwa Mihayo Primary (kabla haijabadilishwa kuwa secondary) kuanza std 1, sikuhiyo tulipokewa na mwl Neema.
baada ya kubadilishwa kuwa secondary tukahamishiwa Gongoni primary kwa mwl Rupiya wakati tulikua tukimwita ticha bigi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU APIGA PICHA CHAFU AKITAMBAA SAKAFUNI ...JIONEE MWENYEWE

Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu maarufu nchini amejikuta akiuaga mwaka vibaya baada ya picha zake chafu kuvuja.... ... thumbnail 1 summary


Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu maarufu nchini amejikuta akiuaga mwaka vibaya baada ya picha zake chafu kuvuja....
Katika picha hizo, mwanafunzi huyo anaonekana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA HOI!!! TAARIFA YA JOHN MYIKA KUJIUZULU .. SOMA HAPA KUIJUA

Jana mitandao ya kijamii ilijazwa taarifa kwamba jana jioni, John Mnyika (Mb) alimwandikia barua ya kujiuzulu Katibu  Mkuu wa CHAD... thumbnail 1 summary
clip_image002


Jana mitandao ya kijamii ilijazwa taarifa kwamba jana jioni, John Mnyika (Mb) alimwandikia barua ya kujiuzulu Katibu  Mkuu wa CHADEMA.
Ofisa Habari Mwandamizi wa CHADEMA, Tumaini Makene (0752 691569) alijibu kwa kukanusha kuhusu taarifa hizo na kuongeza kuwa kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EEEHEE .... MATATANI KWA KUMWITA RAIS KIAZI SOMA ZAIDI

Frank Bwalya. MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha Alliance for a Bet... thumbnail 1 summary
Frank Bwalya.
MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha Alliance for a Better Zambia (ABZ), Frank Bwalya, amekamatwa  na polisi na kufunguliwa  mashtaka kwa madai ya kumkashifu rais wa nchi hiyo, Michael Satta, kwa kumwita kiazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YANGA NDANI YA TURKISH AIRLINE SAFARI UTURUKI.

Wachezaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia na Haruna Niyonzima kushoto wakiwa ndani ya ndege ya Turkish Airline kwa safari ya Uturuki Alf... thumbnail 1 summary
Wachezaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia na Haruna Niyonzima kushoto wakiwa ndani ya ndege ya Turkish Airline kwa safari ya Uturuki Alfajiri ya leo ambako wanakwenda kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na michuano ya Ligi ya Mabingwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HODI HODI ... MAGONJWA YA MLIPUKO YANUKIA DAR‏

Picha juu na chini ni magari ya kuzolea taka ngumu ya kampuni mbalimbali yakiwa kwen... thumbnail 1 summary
Picha juu na chini ni magari ya kuzolea taka ngumu ya kampuni mbalimbali yakiwa kwenye foleni ya kuingia Dampo la Pugu Kinyamwezi ambalo miundo mbinu yake ni mibovu na kupelekea zoezi hilo kuchukua zaidi ya siku 4 mpaka kufanikisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BASI LA MTEI LATEKETEZWA KWA MOTO BAADA YA KUGONGA NA KUUA SINGIDA

Mojawapo ya basi la Mtei sio lililopata ajali. Habari ambazo mtandao huu umezipat... thumbnail 1 summary


Mojawapo ya basi la Mtei sio lililopata ajali.
Habari ambazo mtandao huu umezipata kutoka Singida sasa hivi zinasema Basi la abiria la Matei linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Dar  limechomwa moto na kuteketea kabisa na watu wenye hasira kali baada ya kugonda bodaboda ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII FALLY IPUPA ANUSURIKA KUFA KWENYE AJALI MBAYA YA GARI .... JIONEE

Msanii maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hak... thumbnail 1 summary


Msanii maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chinialiumia vibaya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOOOMA .... WANAFUNZI WA KIKE WAIBUKA WASHINDI KATIKA SHINDANO LA KUFANYA MAPENZI NA WANAUME WATATU KILA WIKI...! CHEKI HAPA

Prepare to be amazed... A 20-year-old Computer Science student in Britain was bestowed the honor of being Britain's Horniest... thumbnail 1 summary



Prepare to be amazed...

A 20-year-old Computer Science student in Britain was bestowed the honor of being Britain's Horniest Student in 2013 after boasting of sleeping with up to three men every week.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DARAJA KIGAMBONI KUKAMILIKA JULAI MWAKANI

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni unatarajia kukamilika Julai mwakani badala ya Januari mwakani Awali ilielezwa kuwa kazi hiyo ing... thumbnail 1 summary
darajapx 048f2
Ujenzi wa Daraja la Kigamboni unatarajia kukamilika Julai mwakani badala ya Januari mwakani
Awali ilielezwa kuwa kazi hiyo ingekamilika Januari mwakani lakini changamoto walizokutana nazo wahandisi chini ya bahari zimesababisha ujenzi kuchelewa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND MWISHO WA MATATIZO....HII NDO SWIMMING POOL YAKE ANAYO JENGA KWA SASA .... JIONEE MWENYEWE

Superstar Diamond Platnumz ametupia picha za project yake ya mjengo wake mpya unaoendelea kujengwa ukiwa na swimmi... thumbnail 1 summary


Superstar Diamond Platnumz ametupia picha za project yake ya mjengo wake mpya unaoendelea kujengwa ukiwa na swimming pool. Diamond hakika ni mpenzi wa kuogelea na tueweza kuona hilo kupita picha zake nyingi ambazo huwa anatupia kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA 'AWACHANA' WASANII WANAOJIVUNIA ZIARA ZA NJE YA NCHI..... SOMA ZAIDI

Msanii wa filamu ambaye pia ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Baby Madaha ambaye ... thumbnail 1 summary


Msanii wa filamu ambaye pia ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Baby Madaha ambaye yupo chini ya kampuni inayojulikana kwa jina la Candy n Candy amefafanua kuwa msanii hatakiwi kutumia kigezo cha kufanya ziara nje ya nchi kama ukuaji wa muziki wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BBC NCHINI UINGEREZA YAMTAJA DIAMOND PLATNUMZ NI MSANII ATAKAE FANYA VIZURI SANA BARANI AFRICA MWAKA HUU (2014) ..SOMA ZAID HAPA

DJ wa kituo cha radio maarufu kwa burudani nchini Uingereza kilicho chini ya shirika la habari la Uingereza, ... thumbnail 1 summary

http://laivu.com/maraha/files/2013/04/diamond-platnumz-l.jpg
DJ wa kituo cha radio maarufu kwa burudani nchini Uingereza kilicho chini ya shirika la habari la Uingereza, BBC cha BBC Radio 1Xtra, DJ Edu, amemtaja Diamond Platnumz, miongoni mwa wasanii watano wenye dalili za kufanya vizuri barani Afrika mwaka 2014.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAYA ASAKAMWA MADAI YA RUSHWA, AONGEA .... HABARI ZAIDI

Na Mwandishi Wetu BAADA ya kuzagaa kwa habari kuwa viongozi wa kamati ya uchaguzi wa K... thumbnail 1 summary
Na Mwandishi Wetu
BAADA ya kuzagaa kwa habari kuwa viongozi wa kamati ya uchaguzi wa Klabu ya Bongo Movie wamebwia rushwa, Mayasa Mrisho ‘Maya’ ameibuka na kukanusha taarifa hizo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEWEEE… ACHA MAYOWE, TAFUTA MAWE ( PESA) !!

YAP…yap…inakuwaje wanangu? Maduu na mameni niajeee kipande hiyo? Hapa jamvini ndo kama... thumbnail 1 summary
YAP…yap…inakuwaje wanangu? Maduu na mameni niajeee kipande hiyo? Hapa jamvini ndo kama hivyo kaka mkubwa nipo kwa mahewa tayari kwa kulisongesha libeneke. Ama nini?
Mwezi dume vipi? Kama nawaona wanangu Jafe na Braya wanavyopiga miayo kozi walifuta mabovu yote wakati wa holidei.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZITTO AZIDI KUWA MZITO CHADEMA.... SOMA ZAIDI

Haruni Sanchawa na Jelard Lucas HUKUMU iliyosomwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, John Utumwa, Jumanne iliyopita (juz... thumbnail 1 summary

Haruni Sanchawa na Jelard Lucas
HUKUMU iliyosomwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, John Utumwa, Jumanne iliyopita (juzi), imemuongezea uzito Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, sasa amekuwa mzito zaidi ndani ya chama chake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

A - Z KUTEKWA, KUTESWA KWA MWENYEKITI CHADEMA

Makongoro Oging na Haruni Sanchawa MWENYEKITI wa Chadema wilayani Temeke, jijini Dar... thumbnail 1 summary
Makongoro Oging na Haruni Sanchawa
MWENYEKITI wa Chadema wilayani Temeke, jijini Dar Joseph Yona,33, ameeleza A-Z sakata la kutekwa, kuteswa kwake na vijana sita wakati akienda nyumbani kwake Mtoni kwa Azizi Ally.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... Mimba ya Jini- 4

ILIPOISHIA: “Sasa tutafanyaje na muda unakaribia?” “Hatuna jinsi kwa vile hakutupa maelekezo pia namba yake haipatikani,” Mustafa alinya... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
“Sasa tutafanyaje na muda unakaribia?”
“Hatuna jinsi kwa vile hakutupa maelekezo pia namba yake haipatikani,”
Mustafa alinyamaza baada ya simu yake kuita, aliichukua na kuitazama na kujikuta akitamka kwa sauti.
SASA ENDELEA...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: