June 08, 2016

Chege apigia chapuo collabo na Don Jazzy

Baada ya kumshirikisha Runtown na Uhuru kwenye hit single yake, Sweety Sweety, Chege amedai kuwa mipango ijayo ni kumshirikisha bosi wa Mav... thumbnail 1 summary
Baada ya kumshirikisha Runtown na Uhuru kwenye hit single yake, Sweety Sweety, Chege amedai kuwa mipango ijayo ni kumshirikisha bosi wa Mavin Records ya Nigeria, Don Jazzy.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Amber Rose na Wiz Khalifa wawashangaza mashabiki kwa kusherehekea talaka yao wakiwa pamoja

Jumatatu hii Amber Rose na Wiz Khalifa wamesherehekea talaka yao wakiwa pamoja kwenye strip club huko Los Angeles. Kwa mujibu wa TMZ, W... thumbnail 1 summary
Jumatatu hii Amber Rose na Wiz Khalifa wamesherehekea talaka yao wakiwa pamoja kwenye strip club huko Los Angeles.
Kwa mujibu wa TMZ, Wiz Khalifa amemlipa ex wake huyo [Amber Rose]

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Baraka Da Prince Amdhalilisha Linah Ukumbini, Anaswa Akishika Kifua cha Linah

Baraka na Linah waliokuwa miongoni mwa mastaa waliokuwa kwenye ratiba ya kuburudisha siku hiyo, walifanya tukio hilo walipokuwa nyuma ya ... thumbnail 1 summary
Baraka na Linah waliokuwa miongoni mwa mastaa waliokuwa kwenye ratiba ya kuburudisha siku hiyo, walifanya tukio hilo walipokuwa nyuma ya jukwaa (back stage) walipokuwa wakisubiri muda wao wa kutumbuiza ufike.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIBA ATOA NENO KUHUSU LEBO YA DIAMOND (WCB)

Abdul Kiba amesema yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kama hela itawekwa mezani. Bifu la Alikiba na Diamond l... thumbnail 1 summary
Abdul Kiba amesema yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kama hela itawekwa mezani.
Bifu la Alikiba na Diamond linaonekana kuathiri mpaka mfumo wa watu wa pembeni wanaowazunguka wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mourinho afanya usajili wake wa kwanza kwa Bailly

Timu ya Manchester United imekamilisha usajili ya beki, Eric Bertrand Bailly kutoka Villarreal kwa mkataba wa miaka minne wa dau la paundi ... thumbnail 1 summary
Timu ya Manchester United imekamilisha usajili ya beki, Eric Bertrand Bailly kutoka Villarreal kwa mkataba wa miaka minne wa dau la paundi milioni 30.
Baada ya kutangazwa rasmi kuwa mchezaji wa timu hiyo, Bailly alisema, “It is a dream

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mgogoro wa Roc Nation: Jay Z na Rita Ora wamaliza tofauti zao

Jay Z na Rita Ora wamemaliza tofauti zao baada ya hivi karibuni kupelekana kortini. Ora alianza December mwaka jana kwa kuishtaki label y... thumbnail 1 summary
Jay Z na Rita Ora wamemaliza tofauti zao baada ya hivi karibuni kupelekana kortini.
Ora alianza December mwaka jana kwa kuishtaki label ya Roc Nation na baadaye label hiyo nayo kumshtaki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZITTO KABWE ATIWA NDANI. OPERESHENI DEMOKRASIA YAMTOKEA PUANI.

Kahama/Dar es Salaam.  Mzimu wa intelijensia ya polisi umeendelea kuwaandama Chadema, huku ukisababisha Mji wa Kahama mkoani Shinyanga ku... thumbnail 1 summary
Kahama/Dar es Salaam. 
Mzimu wa intelijensia ya polisi umeendelea kuwaandama Chadema, huku ukisababisha Mji wa Kahama mkoani Shinyanga kusimama kwa saa kadhaa baada ya Polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya viongozi wa chama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PIGANIA NDOA YAKO, USIPIGANE NA MICHEPUKO YA MUMEO

Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa... thumbnail 1 summary
Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa na mahusiano na mume wa dada yangu. Nilimchukia sana. Dada yangu alimchukia sana. Wote tulimchukia. Alikuwa mlevi. Malaya na anayependa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASSA AZIDI KUIPASUA CCM. WABUNGE HAWA WA CCM WADAIWA KUMUUNGA MKONO UCHAGUZI 2020.

Dodoma/Songea.  Wabunge wa CCM wameunda kamati maalumu ya wabunge 15 kwenda kutathmini uchaguzi mkuu, badala ya kutegemea ripoti zinazoto... thumbnail 1 summary
Dodoma/Songea. 
Wabunge wa CCM wameunda kamati maalumu ya wabunge 15 kwenda kutathmini uchaguzi mkuu, badala ya kutegemea ripoti zinazotolewa na makatibu wa wilaya na mikoa pekee.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Studio ya Wasafi Records yafungwa

Studio ya Wasafi Records yasimama kufanya kazi zake kwa muda kutokana na marekebisho yanayofanyika ndani ya studio hiyo, Diamond amethibiti... thumbnail 1 summary
Studio ya Wasafi Records yasimama kufanya kazi zake kwa muda kutokana na marekebisho yanayofanyika ndani ya studio hiyo, Diamond amethibitisha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meno ya Dhahabu Aliyoweka Diamond Platnumz Yana Thamani Ya Bei Hii Hapa.

Msanii Diamond amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za kar... thumbnail 1 summary
Msanii Diamond amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERA YA VIWANDA BADO GIZA NENE.

Dar es Salaam.  Kiwango cha Sh107 trilioni zinahitajika kugharamia utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo, unaotekelezwa kwa miaka... thumbnail 1 summary
Dar es Salaam. 
Kiwango cha Sh107 trilioni zinahitajika kugharamia utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo, unaotekelezwa kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2016 hadi 2021. Mpango huo utategemea zaidi makusanyo ya kodi, ukijikita

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HU UKWELI KUHUSU MAHUSIANO YA LINNAH NA RAPA BILLNASS

Linnah ametoa maelezo kuhusu mahusiano yake na rapa wa Chafu Pozi ‘Billnass’ ambaye hivi karibuni ametoa video mpya ya wimbo huo na ime... thumbnail 1 summary

Linnah ametoa maelezo kuhusu mahusiano yake na rapa wa Chafu Pozi ‘Billnass’ ambaye hivi karibuni ametoa video mpya ya wimbo huo na imewekwa kwenye Bio ya Linah ya Instagram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mose Iyobo: Ninavyoishi na Aunt Ezekiel ni Ndoa Tosha, Ila Tutathibitisha Zaidi.

Dancer maarufu wa Diamond, Mose Iyobo amesema jinsi anavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha lakini atafunga ndoa ili watu wa verify kama... thumbnail 1 summary
Dancer maarufu wa Diamond, Mose Iyobo amesema jinsi anavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha lakini atafunga ndoa ili watu wa verify kama instagram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dili La Msanii Tiwa savage Kusainiwa Katika Label Ya Roc Nation Ya Rapper Jay Z Limefika Hapa.

Msanii Tiwa savage kutoka Nigeria kusainiwa katika label ya Roc Nation ya Rapper Jay Z Yaweza kuwa sio tetesi tena, hiyo inatokana na Ti... thumbnail 1 summary
Msanii Tiwa savage kutoka Nigeria kusainiwa katika label ya Roc Nation ya Rapper Jay Z Yaweza kuwa sio tetesi tena, hiyo inatokana na Tiwa Savage pamoja na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Chris Brown achora ‘tattoo’ ya sura ya mwanae Royalty.

Msanii Chris Brown ameonyesha tattoo ya mtoto wake wa kike kwenye mgongo wake. Tattoo hii imekamilika June 5 2016 na inaonyesha sura ya m... thumbnail 1 summary
Msanii Chris Brown ameonyesha tattoo ya mtoto wake wa kike kwenye mgongo wake. Tattoo hii imekamilika June 5 2016 na inaonyesha sura ya mtoto wake Royalty.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa Ndi Mastaa waliopiga picha chini ya maji kama heshima kwa Muhammed Ali kwenye photoshoot ya mwaka1961.

Alicia Keys na Micheal B Jordan Mastaa wawili nchini Marekani wamepiga picha chini ya Maji kama photo shoot ya mwaka 1961 ya bondia Muham... thumbnail 1 summary
Alicia Keys na Micheal B Jordan Mastaa wawili nchini Marekani wamepiga picha chini ya Maji kama photo shoot ya mwaka 1961 ya bondia Muhammed Ali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nameless awazungumzia Diamond na Alikiba na utofauti wao kimuziki

Muimbaji nguli wa Kenya, Nameless amewazungumzia Diamond na Alikiba na tofauti walizonazo kimuziki. Akijibu swali la mtangazaji wa kipi... thumbnail 1 summary

Muimbaji nguli wa Kenya, Nameless amewazungumzia Diamond na Alikiba na tofauti walizonazo kimuziki.
Akijibu swali la mtangazaji wa kipindi cha Super Mega cha Kings FM ya Njombe, Divine Kweka kuhusu nani mkali kati ya wasanii hao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mazungumzo ya Rich Mavoko kujiunga na label ya Wasafi ya Diamond Platnumz yalianza November mwaka 2015.

. Akiongea na Bongo5, Rich amedai kuwa ilichukua zaidi ya miezi sita hadi kutangazwa rasmi wiki iliyopita kwasababu uongozi wa WCB ... thumbnail 1 summary
.

Akiongea na Bongo5, Rich amedai kuwa ilichukua zaidi ya miezi sita hadi kutangazwa rasmi wiki iliyopita kwasababu uongozi wa WCB haukutaka kukurupuka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 8, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 8 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
June 8 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook >> https://www.facebook.com/bongopublisher/

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: