September 11, 2014

PENZI LA OMMY DIMPOZ LAWACHANGANYA JOKATE NA VANESSA MDEE..

Ommy Dimpoz na Jokate  Latest celebrities' gossip ni kuhusu Jokate Mwegelo ambaye pia ni actress, singer, designer and presenter ku... thumbnail 1 summary

Ommy Dimpoz na Jokate 
Latest celebrities' gossip ni kuhusu Jokate Mwegelo ambaye pia ni actress, singer, designer and presenter kutoka kimapenzi na Ommy Dimpoz ambaye ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Good news!! Mtanzania mwingine kwenye headlines… kapewa vyeo BET.

Kabla ya kuanza kukupa info kuhusu huyu Mtanzania nataka nikukumbushe headlines chache za Watanzania walioingia kwenye thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-11 at 6.22.19 AMKabla ya kuanza kukupa info kuhusu huyu Mtanzania nataka nikukumbushe headlines chache za Watanzania walioingia kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ni kwa wale Wanafunzi waliotaka kujiunga na vyuo vikuu Tanzania

Kwa ufupi ni kwamba Tume ya vyuo vikuu imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao thumbnail 1 summary
Students 1Kwa ufupi ni kwamba Tume ya vyuo vikuu imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USINGIZI NOMA SANA...HUYU JAMAA AVUNJA REKODI HUKO JAPANI....TAZAMA VIDEO HAPA

Usingizi ni kitu kingine ambacho kinaweza kuwa kigumu kukizuia pale kinapotaka thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-09-11 at 6.39.05 AMUsingizi ni kitu kingine ambacho kinaweza kuwa kigumu kukizuia pale kinapotaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAUAJI YA WANAWAKE ARUSHA , MAMA FEZZA KESSY NAE ANUSIRIKA KUUWAWA

WAKATI hofu ya mauaji ya wanawake ikiwa bado imetanda mkoani Arusha, mama mzazi wa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa, Feza Kessy ... thumbnail 1 summary
WAKATI hofu ya mauaji ya wanawake ikiwa bado imetanda mkoani Arusha, mama mzazi wa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa, Feza Kessy ameponea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANZANIA YAWA MIONGONI MWA NCHI ZINAZOTUMIA VIBAYA INSTAGRAM..SOMA KUJUA UNDANI

Mtandao wa Instagram unaohusisha uwekaji picha umeendelea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania lakini wengi kati ya watumiaji hao wame... thumbnail 1 summary

Mtandao wa Instagram unaohusisha uwekaji picha umeendelea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania lakini wengi kati ya watumiaji hao wameisababisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIJUI NI BANGI AU NI NINI??? CHEKI JUSTIN BIEBER ALIVYOVUA NGUO LIVE AKIWA JUKWAANI

Mwimbaji Justin Bieber amejitoa ufahamu wakati akiwa katika show ya mitindo iliyokuwa ikirushwa Live kwenye TV, Jumanne, September 9... thumbnail 1 summary

Mwimbaji Justin Bieber amejitoa ufahamu wakati akiwa katika show ya mitindo iliyokuwa ikirushwa Live kwenye TV, Jumanne, September 9 na kuchojoa nguo mbele ya kadamnasi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JK AKUTANA NA MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)alipokutana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadil... thumbnail 1 summary

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)alipokutana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAZIRI NAGU AKIWA NCHINI UBELGIJI

Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Dr Mary Michael Nagu akibadilishana mawazo na wamiliki wa Viwanda wa Wetteren Ubelgiji baada ya kum... thumbnail 1 summary
Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Dr Mary Michael Nagu akibadilishana mawazo na wamiliki wa Viwanda wa Wetteren Ubelgiji baada ya kumaliza ziara ya kutembelea baadhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RICHARD KIEL 'MENO YA CHUMA' WA JAMES BOND AFARIKI DUNIA

MWIGIZAJI wa Marekani, Richard Kiel aliyecheza filamu za James Bond akiwa na meno ya chuma amefariki dunia akiwa na miaka 74 jijini Califo... thumbnail 1 summary
MWIGIZAJI wa Marekani, Richard Kiel aliyecheza filamu za James Bond akiwa na meno ya chuma amefariki dunia akiwa na miaka 74 jijini California.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIVA: ZITTO NI MUME WANGU

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, am... thumbnail 1 summary
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU AMEMNASA MENEJA WA WEMA SEPETU

Taarifa ikufikie kwamba sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amemnasa aliyekuwa meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Ka... thumbnail 1 summary
Taarifa ikufikie kwamba sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amemnasa aliyekuwa meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda ambaye ndiye atakuwa meneja wake
kwa sasa.
Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akizungumza na Amani kwenye Hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro iliyopo Posta jijini Dar hivi karibuni waliponaswa wamegandana kama ruba, Kadinda alimuwahi mwanahabari wetu na kumsihi kuwa hawana uhusiano wa kimapenzi bali kuna habari mpya.
Kadinda ambaye hivi karibuni alimwaga kibarua kwa Wema, alisema kwamba aliongozana na Lulu hotelini hapo kwa kuwa kulikuwa na Fainali ya Shindano la Miss Ilala, Dar, wakiwa ni mtu na meneja wake kama alivyokuwa kipindi yuko na Wema.
Martin

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASTARA AMPA SOMO LA NDOA LUCY KOMBA

SIKU chache baada ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Lucy Komba kuolewa, msanii mwenzake, Wastara Juma ameibuka na kumpa somo la ndoa huk... thumbnail 1 summary
SIKU chache baada ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Lucy Komba kuolewa, msanii mwenzake, Wastara Juma ameibuka na kumpa somo la ndoa huku akimtaka kuwa mvumilivu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: