June 08, 2014

UNAAMBIWA HUU NI UGONJWA MWINGINE WA WEMA SEPETU, SOMA HAPA

Kuna baadhi ya watu huwa wana fikia mahali wanapenda vitu hadi wakikikosa wanakuwa wanyonge hadi kuumwa, mbfali na perfumes Diva maar... thumbnail 1 summary

Kuna baadhi ya watu huwa wana fikia mahali wanapenda vitu hadi wakikikosa wanakuwa wanyonge hadi kuumwa, mbfali na perfumes Diva maarufu hapa Bongo Wema Sepetu yupo addicted sana na mbwa, ila huyu si mbwa tu, maarufu kama Chiwawa, Divas wengi maarufu duniani huwa hawakosi aina hii ya mbwa wao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jennifer Lopez Ampiga Chini Boyfriend Wake!!

Mwana mama Jennifer Lopez (44) ametengana na  Boyfriend, Casper Smart Split (27) baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili na nusu... thumbnail 1 summary
Mwana mama Jennifer Lopez (44) ametengana na  Boyfriend, Casper Smart Split (27) baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili na nusu sasa. (Dah jamaa alikuwa anakula mmama eh).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA 12 KUTOKA NYUMBANI KWA MZEE SMALL LEO MCHANA

Kutoka nyumbani kwa marehemu Mzee Small Tabata Kimanga taratibu za mazishi mpaka sasa familia imepanga mazishi yatafanyika kwenye makaburi ... thumbnail 1 summary

9tysonKutoka nyumbani kwa marehemu Mzee Small Tabata Kimanga taratibu za mazishi mpaka sasa familia imepanga mazishi yatafanyika kwenye makaburi ya Segerea kesho saa 10 jioni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACOB ZUMA HALI TETE, ALAZWA

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma. Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa afya atapumzika kwa muda inga... thumbnail 1 summary
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa afya atapumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu akiwa nyumbani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UDOM YATOA MSHINDI WA MISS HIGHER LEARNING YALIYOFANYIKA DODOMA,MADUDU YAFANYIAKA, WANAFUNZI WAMZOMEA MWANDAAJI,WASANII WAGOMA KUPANDA JUKWAANI

Mashindano ya kumtafuta mrembo wa Vyuo vya elimu ya juu tanzania yamefanyika usiku wa kuamkia tarehe 08.06.2014 katika ukumbi wa Royal Vi... thumbnail 1 summary

Mashindano ya kumtafuta mrembo wa Vyuo vya elimu ya juu tanzania yamefanyika usiku wa kuamkia tarehe 08.06.2014 katika ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma.
Mrembo SOPHIE MASEI kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma ambaye pia alishinda Miss UDOM mapema mwezi April ameweza kuibuka mshindi mara baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE TABIA MBAYA ZA MUME ZINAWEZA KUBADILI MSIMAMO MZURI WA MKE? JIBU LIPO HAPA.

Leo tuongee wapendwa wangu, Inasemekana kuwa baadh ya tabia za wanawake walio wengi huwa ni nzuri sana, kipindi cha mwanzo na hasa katika... thumbnail 1 summary

Leo tuongee wapendwa wangu,
Inasemekana kuwa baadh ya tabia za wanawake walio wengi huwa ni nzuri sana, kipindi cha mwanzo na hasa katika upande wa mapenzi, lakin kadri siku zinavyozidi kwenda, mambo hubadilika na kuwa kinyume, wanaume wanabadili tabia kiasi cha mke kujuta kwanini aliolewa, 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA DIAMOND KUKOSA TUZO: INSTAGRAM KWA CHAFUKA.....DIVA AJITOA TEAM WEMA!

Daah hii ni NOUMA sana...Kama mnavyojua, Msanii wetu hapa 255,  Diamond hakufanikiwa kupata TUZO  za MTVmamaAWARD hapo jana  huko Sout... thumbnail 1 summary
Daah hii ni NOUMA sana...Kama mnavyojua, Msanii wetu hapa 255,  Diamond hakufanikiwa kupata TUZO  za MTVmamaAWARD hapo jana  huko South Africa. (Sio mbaya sana kushiriki tu kwangu Diamond ni ushindi)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIRI IMEFICHUKA!! JANJA YA WADADA WANATIKISIKA MAKALIO KUMBE HUWA WANAFANYA HIVIIIIII....JIONEE HAPA

Dah kumbe muda mwingine sio mchina ila ni taiti isiyobana M AKALIO ..na hapo lazima yawe yanatikisika Kama  #condom  iliyojaa maji..! Zot... thumbnail 1 summary
Dah kumbe muda mwingine sio mchina ila ni taiti isiyobana MAKALIO..na hapo lazima yawe yanatikisika Kama #condom iliyojaa maji..! Zote ni njia za kishetani ili wanaume tuungie

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DISCLOSURE RMIX: SIKILIZA KIBAO KIPYA CHA PHARRELL ft JAY-Z ( FRONTIN )

Hawa ni marafiki wa karibu sana na wamewahi kufanya nyimbo nyingi pamoja lakini hivi sasa imetoka disclosure remix ya wimbo wa Frontin am... thumbnail 1 summary
dddfHawa ni marafiki wa karibu sana na wamewahi kufanya nyimbo nyingi pamoja lakini hivi sasa imetoka disclosure remix ya wimbo wa Frontin ambao ulitoka kitambo kidogo. Enjoy kusikiliza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

XCLUSIVE VIDEO: TYGA KUTOKA YOUNG MONEY ATOA VIDEO MPYA

Wimbo wa video hii unaitwa Hookah amemshirikisha Young Thug. Enjoy kuucheki hapa. thumbnail 1 summary
tigerWimbo wa video hii unaitwa Hookah amemshirikisha Young Thug. Enjoy kuucheki hapa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKING NEWZZZ: MUIGIZAJI MKONGWE NCHINI AMEFARIKI DUNIA, SOMA TAARIFA KAMILI HAPA

Mzee Small Said Ngamba "Mzee Small" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupatwa na pressure na kukimbizwa hospital... thumbnail 1 summary
Mzee Small
Said Ngamba "Mzee Small" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupatwa na pressure na kukimbizwa hospitali ya taifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIO KAULI YA KWANZA YA DIAMOND BAADA YA KUGARAGAZWA NA DAVIDO MTV AWARDS..

Baada ya tuzo za Mtv Base kufanyika na Diamond Platnumz kutoka patupu, hii ndiyo kauli yake ya Kwanza kuhusu kilichotokea thumbnail 1 summary
Baada ya tuzo za Mtv Base kufanyika na Diamond Platnumz kutoka patupu, hii ndiyo kauli yake ya Kwanza kuhusu kilichotokea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWAAAA!! ETI WEMA ALIAMBIWA AVAE TENA NGUO NYEUSI ILI DIAMOND ASHINDE KAMA ILIVYOKUWA TUZO ZA KILI!!!!

Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zilizofanyika  usiku wa kumkia leo  huko mjini Durban South Afrika, wa... thumbnail 1 summary

Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zilizofanyika  usiku wa kumkia leo  huko mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. NI SUPERB! Lakini leo nilikuwa nasikiliza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ETI KILI NI TUZO ZA USHEMEJI SIO MTV, WABONGO BHANA,,,,,CHEKI MCHEZO ULIVYOKUWA KWENYE HICHO KINYNG'ANYIRO CHA TUZO ZA MTV

Huku kila mtanzania akiwa na shauku ya kujua kinachoendelea nchini Afrika kusini na hatima ya kijana wetu Diamond Platnumz lakini taar... thumbnail 1 summary
Davido-Best-Male-and-Artist-of-the-year-MAMA-awards-2014

Huku kila mtanzania akiwa na shauku ya kujua kinachoendelea nchini Afrika kusini na hatima ya kijana wetu Diamond Platnumz lakini taarifa ni kwamba Diamond Platnumz ameshindwa kushukua tuzo yoyote. katika vipengele viwili alivyokua anagombania, tuzo ya best collaboration ilienda kwa uhuru na nyimbo yake ya tjukutcha aliyomshirikisha professor

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAPOKUWA KAANGUKIA PUA TUZO ZA MTV, LAKINI ALIFUNIKA SANA KATIKA HII PERFORMANCE...TAZAMA VIDEO AKIFANYA MAKAMUZI JUKWAANI

Kama kawa vibe tumejipanga kuakikisha kwa njia yoyote haukosi kilichoendelea katiks utoaji wa tuzo za MAMA. Hii ni video ya Performa... thumbnail 1 summary


Kama kawa vibe tumejipanga kuakikisha kwa njia yoyote haukosi kilichoendelea katiks utoaji wa tuzo za MAMA. Hii ni video ya Performance ya Diamond na Davido….

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIST YA WASHINDI WOOTE WA MTV AFRICA MUSIC AWARDS HII HAPA...

list of winners: Updates from the 2014 MTV Africa Music Awards live in Durban South Africa thumbnail 1 summary


list of winners:Updates from the 2014 MTV Africa Music Awards live in Durban South Africa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: